Wana MMU, kijana wenu yanataka kunishinda tena, nataka sasa kuwa 'senior bachelor'

kindikinyer leborosier

JF-Expert Member
Jan 6, 2018
430
780
Hello bila shaka mu wazima, poleni kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, Mola awape ujasiri wa kukabiliana nao na kuushinda!

Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu, nimemtambulisha mpaka nyumbani na kwa ndugu zangu, sijawahi kufanya hivi kwa mwanamke yeyote, hiki ni kiashiria cha kwanza nilizama.

Changamoto inakuja hapa, mwezi mmoja uliopita hatukua kwenye mawasiliano mazuri, yeye akidai anakua amebanana na kazi, kitu ambacho ni sahihi, na mimi pia nikaamua kuwa busy pia baada ya kumwona mtu haelewi kila siku unapomwambia madhara ya mpenzi kuwa amebanana sana!

Ghafla wiki kama mbili na siku kadhaa zilizopita akanitaarifu anataka kuja mkoa nilipo kuja kulijengea kaburi la baba yake, nilimkaribisha na kumwambia atafikia kwangu, na nilifurahi pia kwani tulikata mwaka mzima unaelekea wa pili hatujaonana, eti tumebanana na kazi za watu.

Hakuniambia tarehe husika anakuja lini, cha kushangaza kesho yake namtafuta, akaniambia yupo stendi anaanza safari, sikua na shida kwa sababu hamna maandalizi ningepaswa kuyaandaa au nahofia eti labda kuna mwanamke angenikuta nae.

Alifika usiku sana, nilimkaribisha na wote tulifurahi sana, kwa kuwa alifika usiku aliwakuta wadogo zangu wamelala chumba chao, hivyo ikanilazimu nilale nae.

Asubuhi kulipokucha wadogo zangu kidogo hawakuelewa, maana haijawahi kutokea hata mara moja anakuja mwanamke analala kwangu, niliwaeleza yule ni nani, na nikawaambia wakae nae nyumbani, walizoeana sana na kufurahi pamoja, mapaka akawanunulia zawadi bila mimi kujua. kwa kuwa mimi nilikua sina likizo nilikua natoka na kurudi jioni.

Alifanya mambo yote kijijini kwao ya ujenzi wa kaburi la baba yake, nahatimae siku anarudi akanikaribisha kwa baba yake mdogo, nikaenda tukakaa tukala, tukaaga na kurudi kwangu!

Kesho yake akaniaga na kurudi kazini, nilimsindikiza akapanda basi, na kuondoka na mambo yakaendelea.

Baada ya kurudi, tukawasiliana sana, hata ule ubize ukapungua, chakushangaza wiki ya pili sasa hapatikani, simu amezima marafiki zake hawampati hewani, nimejiuliza mengi sana, mpaka nimeona pengine labda ndo amepanga tuachane kwa hivyo!

Mwanzo alinipa namba ya mama yake lakini ile namba ilikuja kupotea, nimejiuliza mengi sana, nimekosa majibu, ushauri wenu wana jamvi!!
 
Wiki ya pili hapatikani 🤣

Marafiki pia hawampati hewani 🤣🤣

Kwa ba mdogo napajua 🤣🤣🤣

Mi nataka kua senior bachelor 🤣🤣🤣🤣

Ila nimekuja online mnipe ushauri kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unataka kumuoa, cha kwanza fuatilia kwa ukaribu kabla hujafanya maamuzi!!

Anapofanya kazi unapajua? Funga safari, fika mkoa husika fikia lodge, tafuta washkaji kimya kimya wa hiyo ofisi upate kwanza taarifa za awali!! Baada ya hapo chunguza kwake wapi ufike ghafla usiku na reason hapatikani!! Unless hujamchumbia ila kama ni mchumba wako, fanya hivyo....!!!

Kijana!! Ndoa za siku hizi hazidumu sababu waoaji mnalea maovu ya awali!! Lakini pia zamani kuoa ilikuwa lazima uoe mtu mnayefahamiana nae sana ndiyo maana walikuwa wanachaguliwa wake!! Hii kukurupuka na mtu mmeonana miezi sita kumbe kazi yake umalaya utakuja kulia kilio cha jibwa jizi....!!!

1. Take time kumchunguza yeye na familia yake. Nilichunguza familia yake nipo Mbeya ipo Arusha, nilipoiona fresh nikaoa. Mke tulivu kabisa
2. Jua tabia na makundi aliyonayo, itakusaidia kwa mfano unataka mwanamke wa kukubembeleza halafu ukaoe Mkurya au Mnyakusa badala ya kuoa Wazaramo na Wabondei!! Hapo ni chanzo kingine cha ndoa kuvunjika!!
3. Kaa kiume, swala la kiune solve kiume na mahala pa kubembeleza unabembeleza ipasavyo!! We unashindwa kufuatilia mchumba wako, ukimfumania mpige busu sepa!! Imeisha hio, tamthilia za kifilipino zinaharibu vijana
 
ushauri umenyooka sana!! nitafuatilia
 
Hello bila shaka mu wazima, poleni kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, Mola awape ujasiri wa kukabiliana nao na kuushinda!

Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu, nimemtambulisha mpaka nyumbani na kwa ndugu zangu, sijawahi kufanya hivi kwa mwanamke yeyote, hiki ni kiashiria cha kwanza nilizama.

Changamoto inakuja hapa, mwezi mmoja uliopita hatukua kwenye mawasiliano mazuri, yeye akidai anakua amebanana na kazi, kitu ambacho ni sahihi, na mimi pia nikaamua kuwa busy pia baada ya kumwona mtu haelewi kila siku unapomwambia madhara ya mpenzi kuwa amebanana sana!

Ghafla wiki kama mbili na siku kadhaa zilizopita akanitaarifu anataka kuja mkoa nilipo kuja kulijengea kaburi la baba yake, nilimkaribisha na kumwambia atafikia kwangu, na nilifurahi pia kwani tulikata mwaka mzima unaelekea wa pili hatujaonana, eti tumebanana na kazi za watu.

Hakuniambia tarehe husika anakuja lini, cha kushangaza kesho yake namtafuta, akaniambia yupo stendi anaanza safari, sikua na shida kwa sababu hamna maandalizi ningepaswa kuyaandaa au nahofia eti labda kuna mwanamke angenikuta nae.

Alifika usiku sana, nilimkaribisha na wote tulifurahi sana, kwa kuwa alifika usiku aliwakuta wadogo zangu wamelala chumba chao, hivyo ikanilazimu nilale nae.

Asubuhi kulipokucha wadogo zangu kidogo hawakuelewa, maana haijawahi kutokea hata mara moja anakuja mwanamke analala kwangu, niliwaeleza yule ni nani, na nikawaambia wakae nae nyumbani, walizoeana sana na kufurahi pamoja, mapaka akawanunulia zawadi bila mimi kujua. kwa kuwa mimi nilikua sina likizo nilikua natoka na kurudi jioni.

Alifanya mambo yote kijijini kwao ya ujenzi wa kaburi la baba yake, nahatimae siku anarudi akanikaribisha kwa baba yake mdogo, nikaenda tukakaa tukala, tukaaga na kurudi kwangu!

Kesho yake akaniaga na kurudi kazini, nilimsindikiza akapanda basi, na kuondoka na mambo yakaendelea.

Baada ya kurudi, tukawasiliana sana, hata ule ubize ukapungua, chakushangaza wiki ya pili sasa hapatikani, simu amezima marafiki zake hawampati hewani, nimejiuliza mengi sana, mpaka nimeona pengine labda ndo amepanga tuachane kwa hivyo!

Mwanzo alinipa namba ya mama yake lakini ile namba ilikuja kupotea, nimejiuliza mengi sana, nimekosa majibu, ushauri wenu wana jamvi!!

Stop being a wimp bro, elewa ujumbe. Jaribu kumtafuta kwa namba nyingine. Ila akikupotezea jump out
 
Subiri mkuu dronedrake akupe mwongozo. Pole sana
 
Probably huyo ni mke wa mtu. Kuwa busy 24hrs ni kwamba, asubuhi-jioni kazini, usiku nyumbani kulea familia.
 
Kuna mawili, eidha ana mtu anamdrive crazy huko anakusahau maramoja moja.

Au anauhakika kua wewe huchomoi kwake, yaani beki zako hazikabi. Hata afanyaje wewe huchomoki.

Sign ya kwanza ya mtu ambae kazama ni kuanza kumtambulisha mwenza wake kwa ndgu hata bila kuombwa wala kuulizwa iwe ke/me. Ukijiona wewe kwa kiherehere chako ukaanza ooh hiyu ni dada ooh huyu ni mamdogo jua hapo mwenzio anakuchora tu.

Kama anakupenda atatafuta muda aongee na wewe kama hakupendi atasubiri free time ndo akutafute kidogo kupunguza lawama.
 
Back
Top Bottom