Ewe kijana Mpananaji Mpira na Mapenzi visikupotezee Mda wako

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,300
Hii ni maalumu kwa hustlers yaani vijana wapambanajj wenye ndoto zao za kufika mbali kimaisha, Kuna vitu lazima ukate minyororo ili upate utulivu wa akili katika kufanya Mipango yako....

Miaka 25 mpaka 40 ni miaka ya kuvunja jasho la damu. Ni miaka ya kutafuta kwa namna yoyote ile. trial and errors zinakuwaga nyingi sana hadi ukae kwenye mstari.....umri huu ndiyo utatafasiri uzee wako.

Huu ni umri ambao unatakiwa uachane na unnecessary destructions ambazo zinaweza kukupotezea mwelekeo wako.....usichoke kutafuta na kujaribu njia mbalimbali kufikia malengo yako......maisha siyo rahisi kihivyo.....inahitaji kujituma kwelikweli

Imagine kuna vijana hadi saa 6 usiku yuko macho anaangalia gemu sijui arsenal mara liver. Huo mda unautoa wapi wewe kijana mpambansaji utakufa kapuku.....Mpira ni occasionally tu labda uko sehemu umekaa na Mitikasi yako afu kuna gemu inaendelea fine.

Usikubali kuvunja ratiba na Mipango yako ya siku kisa mpira au appointment na pisi kali haya mambo yanatakiwa yaje mwisho baada ya Mipango ya msingi kukamilika

Mpira, mapenzi na social media za hovyo usikubali zikapora muda wako hata kidogo...tumia weekend kuangalia mipango yako ya week Imeendaje usahihishe wapi na itakuwaje kwa next week...

Mambo ni mengi ila ni hayo tu kwa leo....."USIKATE TAMAA MAKOSA KATIKA KUJARIBU LEO YATAKUFANYA UWE BORA ZAIDI KESHO"..

The burning spear
 
Hii ni maalumu kwa hustlers yaani vijana wapambanajj wenye ndoto zao za kufika mbali kimaisha, Kuna vitu lazima ukate minyororo ili upate utulivu wa akili katika kufanya Mipango yako....

Miaka 25 mpaka 40 ni miaka ya kuvunja jasho la damu. Ni miaka ya kutafuta kwa namna yoyote ile. trial and errors zinakuwaga nyingi sana hadi ukae kwenye mstari.....umri huu ndiyo utatafasiri uzee wako.

Huu ni umri ambao unatakiwa uachane na unnecessary destructions ambazo zinaweza kukupotezea mwelekeo wako.....usichoke kutafuta na kujaribu njia mbalimbali kufikia malengo yako......maisha siyo rahisi kihivyo.....inahitaji kujituma kwelikweli

imagine kuna vijana hadi sa6 usiku yuko macho anaangalia gemu sijui arsenal mara liver. Huo mda unautoa wapi wewe kijana mpambansaji utakufa kapuku.....Mpira ni occasionally tu labda uko sehemu umekaa na Mitikasi yako afu kuna gemu inaendelea fine.

Usikubali kuvunja ratiba na Mipango yako ya siku kisa mpira au appointment na pisi kali haya mambo yanatakiwa yaje mwisho baada ya Mipango ya msingi kukamilika

Mpira. mapenzi na social media za hovyo usikubali zikapora mda wako hata kidogo. ..tumia weekend kuangalia mipango yako ya week Imeendaje usahihishe wapi na itakuwaje kwa next week...

Unachoongea ni kweli kaka ila kuna watu lazima watakupinga tuu😅
 
Unachoongea ni sahihi kwa yule anayeanza safari ya mafanikio kiuchumi. Hata cr7 alianza bila kuwa na wanawake, aliwapata baada ya mafanikio.

Labda uwe na mwanamke anayekupenda na anayekuelewa,zaidi ya hapo,avoid women at all costs mpaka ufanikiwe.
 
Mara nyingi tumekuwa tukitumia leo kusahihisha makosa ya jana na kwa namna hio hatuwezi kuiandaa kesho kwa sababu tupo na kazi ya kusahihisha makosa kabla ya kumaliza leo nayo inaisha tunabakiwa na deni, hivyo kila tukiamkia leo tuna kazi ya kurekebisha badala ya kuandaa.

Kesho njema huandaliwa na leo, ili kupata maandalizi mazuri inabidi leo iwe nzuri, bahati mbaya hatupati leo nzuri kwa sababu ya jana iliyo mbaya, hivyo kesho nayo itakua mbaya.

Asante mleta mada kwa kutukumbusha ku focus kwenye mambo ya msingi na kuokoa muda au kujali muda .
 
Hii ni maalumu kwa hustlers yaani vijana wapambanajj wenye ndoto zao za kufika mbali kimaisha, Kuna vitu lazima ukate minyororo ili upate utulivu wa akili katika kufanya Mipango yako....

Miaka 25 mpaka 40 ni miaka ya kuvunja jasho la damu. Ni miaka ya kutafuta kwa namna yoyote ile. trial and errors zinakuwaga nyingi sana hadi ukae kwenye mstari.....umri huu ndiyo utatafasiri uzee wako.

Huu ni umri ambao unatakiwa uachane na unnecessary destructions ambazo zinaweza kukupotezea mwelekeo wako.....usichoke kutafuta na kujaribu njia mbalimbali kufikia malengo yako......maisha siyo rahisi kihivyo.....inahitaji kujituma kwelikweli

imagine kuna vijana hadi sa6 usiku yuko macho anaangalia gemu sijui arsenal mara liver. Huo mda unautoa wapi wewe kijana mpambansaji utakufa kapuku.....Mpira ni occasionally tu labda uko sehemu umekaa na Mitikasi yako afu kuna gemu inaendelea fine.

Usikubali kuvunja ratiba na Mipango yako ya siku kisa mpira au appointment na pisi kali haya mambo yanatakiwa yaje mwisho baada ya Mipango ya msingi kukamilika

Mpira. mapenzi na social media za hovyo usikubali zikapora mda wako hata kidogo. ..tumia weekend kuangalia mipango yako ya week Imeendaje usahihishe wapi na itakuwaje kwa next week...

Mambo ni mengi ila ni hayo tu kwa leo....."USIKATE TAMAA MAKOSA KATIKA KUJARIBU LEO YATAKUFANYA UWE BORA ZAIDI KESHO"..

The burning spear
Umenena kweli, ila Vijana wa hovyo watakupinga
 
Mara nyingi tumekuwa tukitumia leo kusahihisha makosa ya jana na kwa namna hio hatuwezi kuiandaa kesho kwa sababu tupo na kazi ya kusahihisha makosa kabla ya kumaliza leo nayo inaisha tunabakiwa na deni, hivyo kila tukiamkia leo tuna kazi ya kurekebisha badala ya kuandaa.

Kesho njema huandaliwa na leo, ili kupata maandalizi mazuri inabidi leo iwe nzuri, bahati mbaya hatupati leo nzuri kwa sababu ya jana iliyo mbaya, hivyo kesho nayo itakua mbaya.

Asante mleta mada kwa kutukumbusha ku focus kwenye mambo ya msingi na kuokoa muda au kujali muda .
Asante pia kwa nondo
 
Unamzungumziaje Lionel Messi katika mafanikio yake!?
Messi ndo Mtakatifu kabisa, kaanza kuwa na mwanamke baada ya kuanza kulipwa Barcelona.

Kadumu na mwanamke mmoja tu, na anawakimbia wanawake, yule jamaa wanamuapproach sana, interviews nyingi akiona wanawake wanamkaribia anawakimbia kabisa, utadhani Antonella kampa dawa.
 
Back
Top Bottom