kigezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kuwa na Sifa ya Ujaji Hakifanyi Maamuzi yake kuwa ni ya Haki

    Kumekuwa na dhana inayotengenezwa na serikali ya CCM kwamba kwa kuwa Mwenyekiti wa NEC ni mtu mwenye nyadhifa ya ujaji basi ni wazi kwamba maamuzi yote atakayoyapitisha yatakua ni haki,na hayapaswi kupingwa na mtu yeyote au chombo chochote. Jamii inapaswa ielewe kwamba heshima ya maamuzi ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Ukilipia kuingia Magufuli stendi wanarudisha chenji nusu kwa kigezo cha "hatuna chenji"

    Ni mchezo mchafu wa wanaotoza hela kwa wanaotaka kuingia Magufuli stendi, ni mara kadhaa kila nikifika pale ukiwa na sh. 500 au 1000 nk watakwambia hawana shilini 100 au 200. Mara nyingi wanafaya mchezo huo wakati kukiwa na msongamano wa foleni wanakwambia uchukue chenji nusu au wakurudishie...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo gani hutumika na viongozi wa kitaifa kutoa pole kwa familia iliyoondokewa na mpendwa wao?

    Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya kijamii anapaswa kuzingatia vigezo gani? Je, anapotumia barua rasmi ya Ikulu kutoa pole utumia...
  4. JamiiForums Tanzania Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

    Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini. Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology. Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Spika na Mbunge Mwanajeshi wavutana kisa kigezo cha JKT

    Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika. Kwa mtazamo wangu naona kuna haja ya viongozi wengi wanaopewa nafasi za mamlaka na maamuzi wakawa wameiva vilivyo kuhusu masuala...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge laondoa kigezo cha kupitia JKT na JKU kuajiriwa vyombo vya ulinzi

    Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wanaangalia kigezo cha kimo kwenye kuajiri?

    Ambaye anafahamu usahili wa uhamiaji wanazingatia kigezo Cha ufupi? Naomba majibu
  8. JamiiForums Tanzania Kwani kuotea ndevu nyumbani ndio kigezo cha kufukuzwa? Naambiwa nikajitegemee wanataka (wazazi) nife kwa njaa!

    ...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Eti ninyi waoaji, mnapotaka kuoa huwa mnazingatia kigezo kipi kati ya Uzuri, akili na kipato cha mwanamke?

    Kuna maoni mseto katika kila kigezo. Uzuri unaweza kutoweka kwa magonjwa ama ajali. Akili inaweza isifanye kazi kutokana na mazingira na jiografia ya eneo anapoolewa. Kipato chake kinaweza kutoweka kwasabb zozote zile. Ikiwa kila kigezo kina shida zake, ni kipi basi mtu anapaswa kukizingatia...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Slaa, Mtumishi wa Wizara yako akinunua ardhi ikawa na mgogoro, ni kigezo cha kumsimamisha kazi?

    Kidogo nimeshangazwa na habari inayotembea mtandaoni, mtumishi wa wizara ya ardhi anadai kununua ardhi, ardhi ikawa na mgongano na mtu mwingine, je hii ni sababu ya kumsimamisha kazi? Kwamba watumishi wa wizara wakinunua ardhi mitaani, ikawa na mgogoro hata wa mipaka, anasimamishwa kazi? Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc!!

    Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa. Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Walitumia kigezo gani kupanga mshahara wa Mwalimu?

    Hii kitu inafikirisha sana kuona mwalimu analipwa 300,000 kwa mwezi Sawa na Bei ya pair MOJA ya kiatu/Raba air Jordan og grade one pale england
  13. JamiiForums Tanzania Kigezo cha Ufaulu chawatema Wanafunzi 200 kwenye Samia Scholarship

    Wakati wanafunzi 226 wakitemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship’ kutokana na kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo, Serikali imewahakikishia kupata mikopo ili waendelee na masomo yao. Wanafunzi hao ni kati ya 640 walionufaika na ufadhili huo katika...
  14. JamiiForums Tanzania Matamanio ya watu yana "evolve", ndio maana zamani makalio hayakuwa kigezo katika mapenzi na urembo

    Angalia ndugu, dunia ya mapenzi, urembo na fashion inaendeshwa kutokana na matamanio ya mwanaume. Vile desires za mwanaume zilivyokuwa zina evolve (kubadilika kutokana na muda) ndivyo vile ilivyopelekea kubadilika kwa nature ya mapenzi na urembo. Mwanadamu asili yake ni kuhitaji zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Simu nyingi sikuhizi zina camera nzuri, bado camera ni kigezo kikubwa kwenye kuchagua simu?

    Sikuhizi waweza kununua hata simu ya laki na nusu ila ina kamera nzur inaeleweka, ukipiga picha inaridhisha, mfano wa simu bei chee kama sony xperia xz1 dukani ni shilingi 175,000 kamera ni nzuri, ukiwa na maradufu ya bajeti unaweza kupata simu kama google pixel 4a 5g ina kamera nzuri ila ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Draw ya makundi Caf Champions league: Simba ndani ya chungu namba 2, Yanga ndani ya chungu namba 3

    CAF hufanya draw ya makundi kwa kuzigawa timu kwenye pots/vyungu 4 kwa kigezo cha ubora wao. Pot no. 1: Al Ahly, Wydad WC,Esperance, na Mamelodi Sundowns. Pot no 2: Simba, CR Belouizdad, Pyramids na Petro de Luanda. Pot no.3: TP Mazembe, Al Hilal, ASEC Mimosa, na Yanga. Pot no. 4: Etuile...
  17. JamiiForums Tanzania Uingereza: Kuwa shoga kusiwe kigezo cha kukubaliwa kuwa mkimbizi

    Waziri wa mambo ya ndani Uingereza, Suella Braverman, amesema mtu kusema ananyanyaswa ama kutishiwa kushitakiwa au uhai wake, kwenye nchi yake ya asili kwa vile tu ni shoga, kusiwe sifa ya mtu kukubaliwa kuwa mkimbizi kwenye nchi za ulaya na Marekani.
  18. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini: Wananchi wanaojichukulia Sheria mkononi kwa kigezo cha hasira kali kukiona

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita ACP Safia Jongo, wakati alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga Wilayani Chato katika Mkoa wa Geita Septemba 20, 2023. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mdau hapa nauliza:- Kama kigezo ni kujitolea kwanini kuwe na ubaguzi?? Yaani mtu anayejitolea taasisi A, Asiombe kazi taasisi B

    Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi. Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF. So...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Elimu iwe kigezo cha kwanza kwa mtu anayeutaka udiwani, ubunge na urais

    Kigezo kiwe ni -urais , minimum qualification Masters ubunge minimum qualification burchelor degree. Udiwani minimum qualification Diploma. Uongozi unataka mtu mwenye upeo mkubwa tukiacha vipaji lkn elimu inamfanya mtu awe na upeo Mpana zaidi wa kufanya reasoning&judgement, ili kuendana na Kasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…