matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,587
- 15,373
Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile unachokielewa basi wewe hukielewi na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.
Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.
Nini maoni yako?