kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu na Maadhimisho ya kifo cha Mwl. J. K. Nyerere

    Mtoto wa chifu aliyekuwa na Wake 22, akaanza shule akiwa na miaka 12 akahitimu kama Tanganyika One(T.O). Akasoma Tabora Boys, Makerere na Edinburgh huko Scotland. Akafundisha Pugu na Mkapa alikuwa mwanafunzi wake,akaacha kufundisha akapambania uhuru. Leo ni miaka 22 bila Mwalimu. ukutana kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kifo kwa kipigo baada ya kujitambulisha kazi yangu

    Ilikuwa siku ya jumamosi tulivu ambapo jiji la Dar es Salaam na Tanzania nzima kwa ujumla macho na akili zao zilikuwa zimeelekezwa wilayani Temeke kushuhudia mtanange wa watani wa jadi, Simba na Yanga wakichiana kugombea ngao ya Jamii. Mimi na rafiki yangu Dr. Gill Biz na mkewe Hawa, tulikuwa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli anapohukumiwa kwa kifo chake

    Kifo ni tukio la kiasili. Katika imani kadhaa za kidini zina elezea kifo kilitokea baada ya Adamu na Hawa (Eva) kwenda kinyume na mapenzi ya muumba wao (MUNGU). Ndipo Mungu alitamka kuwa tutakufa, au kurejea katika mavumbi. Binadamu wa kwanza kufa alikuwa Abeli. Ambaye aliuliwa na kakaye aitwae...
  4. JamiiForums Tanzania Kifo cha baba wa kiroho huwaacha waumini wengi njia panda

    Kumekuwa na hii tabia hasa kwenye makanisa ya kilokole kumuita Mchungaji wako kuwa ni baba yako wa kiroho. Huyu ni mtu ambaye hutakiwi kufanya jambo lolote bila kumshirikisha. Ukitaka kuoa au kuolewa lazima ukamuulize kwanza, umepata kiwanja lazima umuulize kuwa ununue au usinunue, unataka...
  5. JamiiForums Tanzania Kifo cha Dkt. Magufuli kuipasua CCM 2025

    Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida. Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida. WanaCcm wanaopenda...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

    Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
  7. JamiiForums Tanzania Kifo cha Hans Poppe: Mahakama yakubali Ombi la Mawakili wa utetezi

    Upande wa utetezi katika kesi ya kughushi inayowakabili viongozi watatu wa klabu ya Simba wameomba mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kuahirisha kesi hiyo kutokana na kifo cha Zacharia Hans Poppe aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo iliyochukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara nne mfululizo...
  8. JamiiForums Tanzania Wasanii Roma, Nay wa Mitego na nusura ya kifo

    WASANII ROMA, NAY WA MITEGO NA NUSURA YA KIFO. Ilikuwa alfajiri majira ya saa 10, nikatoka ndani ya Ukumbi wa Silver Sand uliokwepo pembezoni kwa bahari ya Hindi nikaelekea hadi nje ya geti ili kukwepa makelele ya muziki ndani na kupata wasaa wa kuongea na Msanii Nay wa Mitego aliyechelewa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hali duni ya maisha inaweza athiri afya na kupelekea kifo

    Nidhahiri Hali duni ya kimaisha, hasa pale mtu anapougua na hali ya kipato chake cha maisha ni duni. Hii huweza kupelekea kukosa matibabu sahihi kwa wakati na hatimaye kupelekea kupoteza maisha. Vituo vya afya vya Serikali unaambiwa lipa kwanza upewe huduma, wakati huo mchana MTu hajui atakula...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naishindaje hofu ya kifo inayoniandama?

    Wakuu salama? Hivi karibuni, hasa kwa mwaka huu wa 2021 nimoepoteza watu wa karibu wengi sana tangu huu mwaka uanze; Nimepoteza wazee wangu-baba wakubwa wanne, pia nimepoteza marafiki zangu wale wa inner cycle watatu,akiwemo rafiki yangu mmoja wa karibu sana aliefariki kwa kansa ya utumbo, na...
  11. JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kama ikitokea Rais na Makamu wake wote wakifa kwa pamoja?

    Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu. Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja? Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu? Kama inawezekana familia moja...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Nitaishije Maisha Yenye Faida

    Hivi ulishajiuliza kwanini upo hai mpaka leo? Hili ni swali gumu sana lakini sio kila mmoja anaweza kutoa majibu sahihi, kwa ufasaha wa swali hili ni lazima mtu awe alishajiuliza ni kwanini kwanza anaishi. Ndipo aje ajiulize juu ya ukomo wa maisha. Lazima tukubali hakuna kitu kinaweza kutokea...
  13. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Kuna faida gani kuishi maisha ya kifahari Sana huku mwisho wako ni kifo?

    Wasalaaaam! Kuna haja ya kujiuliza Kisha kupata jawabu sahihi. Je, kuna faida gani kuwa na maisha ya kifahari sana huku ufahari huo utauacha ndani ya sekunde moja ya ukamilisho wa maisha yako? Katika jamii yetu ya Kitanzania, kuna watu walio katika Magroup ya uhitaji na hawana msaada, mfano...
  14. JamiiForums Tanzania Wanasayansi waelezea hatari za kifo cha ghafla wakati wa tendo la ndoa

    Tendo la ndoa hufurahisha, na kadiri wakati umeendelea kusonga tangu enzi za mababu zetu, ni tendo ambalo limetokea kufurahiwa na wanaume na wanawake. Hatahivyo wale wanaofanya tendo la ndoa wanaweza kuwa katika hatari ya kufa kifo cha ghafla, au wote wanaweza kupata maambukizi au kuugua wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Ng'ombe 25 wafa baada ya kupata chanjo dhidi ya homa ya mapafu

    Dar es Salaam. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ameagiza kusakwa na kukamatwa kwa wataalamu wa mifugo, waliotoa chanjo ya homa ya mapafu kwa mifugo katika Kijiji cha Mlazo, wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano, Septemba Mosi 2021 na Wizara ya Mifugo na...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Hamza Hassan Mohamed akimzungumzia Hayati Dkt. Magufuli

    Hii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani awapongeza polisi kwa kuhitimisha kifo cha muuaji katili

    Naomba kuungana na Balozi wa Marekani Nchini kwa pongezi alizotoa kwa jeshi letu, kweli walifanya kazi stahiki kwa wakati. Zipo clip zinadai askari mmoja aliyevaa kiraia nusura ashambuliwe na wenziwe, niwapongeze wananchi waliopaza sauti kuzuia polisi kushambuliana. Lakini pia niwapongeze...
  18. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo. Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi...
  19. JamiiForums Tanzania Mashabiki walimponza Mwl. Kashasha, aliambukizwa COVID-19

    KIFO ni fumbo. Hutamsoma tena Mwalimu Alex Kashasha kwenye kolamu yake aliyokuwa akiandika kwenye ukurasa wa 12 wa Mwanaspoti kila Jumamosi. Kifo kimemchukua, atazikwa Dar es Salaam Jumatatu. SOMA ZAIDI: Kilichomuua Mwalimu Kashasha hiki hapa Hutasikia tena ile misemo, mbwembwe zake akitangaza...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nguruwe akila pilipili anakufa?

    Wana JF habar naomben ukweli juu ya hili swala eti nguruwe akila pilipili anakufa? Na kwanini? Pia nini kifanyike ili kumuokoa asife? Msaada tafadhali ndugu wafugaji
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…