kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. hamisi ndingo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

    habari kamili see my linkedln Academia or Google Scholor
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Alfa na Alfu: Mapacha walio kufa kifo chenye utata jijini Dar Es Salaam

    Tukio hili limetokea Yombo jijini Dar Es Salaam siku mbili zilizopita. Inasemekana waliugulia tumbo na kupelekea mauti yao. Hakuna taarifa yoyote kama kuna uchunguzi wowote uliofanyika. Upo uwezekano mkubwa kwamba vijana hawa walinyweshwa sumu. Kama kuna waandishi humu ndani wafuatilie hilo...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa zamani wa Idara ya Upelelezi nchini Gambia wahukumiwa kifo

    Mahakama ya Gambia imewahukumu kifo Maafisa watano wa zamani wa Idara ya Upelelezi kwa mauaji ya Mwanaharakati wa Kisiasa wakati wa utawala wa Rais wa zamani, Yahya Jammeh Jaji wa Mahakama Kuu, Kumba Sillah-Camara ametoa hukumu dhidi ya Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Taifa (NIA)...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kiasi gani kikubwa cha pesa umewahi poteza, au kuokota?

    Fungua huu uzi usome komenti unaweza kumpata aliyeokota pesa yako humu humu Mimi kiasi kikubwa nimewahi okota ni 15,000 na kupoteza ni 10,000
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ulimpenda Mungu kwa kukiweka kifo?

    Mimi nilimpenda baada ya mtesi wa watu kufa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utakubali Mungu afute kifo lakini maisha yako na cheo kibaki hivyo hivyo

    Ikitokea Mungu anakuuliza afute kifo au kiendelee tu kuwepo utamshauri nini Mimi namwambia kiendelee tu ili tuheshimiane
  7. Gama

    JamiiForums Tanzania Kirusi kipya kinachosambazwa na mbu kinaweza kusababisha kiharusi na kifo

    Kirusi kipya "West Nile" virus kimeripotiwa huko Oklahoma ambapo visa 10 vimeripotiwa CDC, hali hii imetia hofu hasa kutokana na kuongezeka kwa ama kipindi hiki cha majira ya joto My take: Kuibuka kwa magonjwa mapya duniani kunashiria hatari zaidi ========= US health officials brace for...
  8. Starseed

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo

    Life after death ni thread special nimeiandaa ili tuweze kuichambua kwa kina. Je, wewe unaamini katika nadharia ipi ya kwamba mtu akifa huzaliwa upya au huenda peponi na waliotenda mabaya duniani hupelekwa motoni kama stori za vitabu vya dini inavyosema? Toa uzoefu wako hapo chini.
  9. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane biashara zilizoibuka na kufa kifo cha kimya kimya

    Kumekuwa na tabia ya ajabu ya biashara za aina flani kuibuka kibongo bongo na kuwa hyped ila ghafla zinakufa kibudu 😂! Hebu tuzitambue na tuelewane shida hasa huwa nini mbona hazi prosper kama jinsi biashara za wenzetu huko duniani zinavyokwenda sawa. Ntaanza na hizi chache... 1.Biashara ya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bweni la Shule ya Sekondari ya Bwiru lateketea kwa moto, Wanafunzi zaidi ya 70 wanusurika kifo

    Zaidi ya wanafunzi 70 wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Bwiru iliyopo Pasiansi Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza, wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wanalala kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2022 na kuunguza vitanda, magodoro, nguo pamoja na vifaa vyao vya shule Moto...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

    Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania. Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi hao wengi wao wakitokea katika nchi za Chad, Niger, Sudan kusini wangetakiwa kuchukuliwa kama...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Aliyenusurika kifo katika Klabu Afrika Kusini asema walikosa hewa kwa muda mrefu

    Binti mwenye umri wa miaka 17, mwanafunzi wa darasa la 12 katika shule ya Sekondari eneo hilo (jina limehifadhiwa) amesema kwamba walihudhuria sherehe katika klabu ya East London kwa sababu waliarifiwa kwamba iliandaliwa waigizaji mashuhuri Anasema kwamba watu walipozidi kuongezeka, baadhi ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni yupi aliyekuwa wakala wa kifo & ulemavu kabla ya kuja kwa bodaboda?

    Ni ukweli ulio wazi kuwa kwa sasa bodaboda ndio wanaongoza kwa kuua watu kwenye ajali plus kuwatia vilema Je, kabla ya ujio wa hawa bodaboda ni akina nani waliokuwa wakishika nafasi ya uwakala wa kifo
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ruaha mto uliolipiza kisasi cha kifo cha Mtwa Mkwawa 1898

    RUAHA MTO ULIOLIPIZA KISASI CHA KIFO CHA MTWA MKWAWA 1898 Katika askari mamluki walitoka Mozambique kuja German Ostafrika kuja kupigana katika jeshi la Wajerumani dhidi ya Mtwa Mkwawa na Abushiri bin Salim majina yao yanafahamika. Majina haya yamefahamika kwa sababu mtoto wa mmoja wa hawa...
  15. MimiNiMakini

    JamiiForums Tanzania Kanumba hayupo filamu zipo, Diamond akifa muziki utaendelea

    Imetoka List ya Wasanii wenye Ushawishi mkubwa Barani Africa, Diamond ametokea pia kwenye List hiyo na Mbaya Zaidi amejisifu kwamba Bila yeye bendera ya Tanzania haitapepea tena kimataifa iwapo hasa atafariki. Inachekesha Sana, Diamond ameshajikuta kwamba bila yeye mambo hayaendi, huu ni uongo...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale mnaokurupuka kuja kutoa Kwetu taarifa za Mgonjwa Mahututi au Kifo muwe makini kwani kuna Siku tutawasindikizeni na Vipigo tu

    Kuna Mtu Kanikera mno leo asubuhi kaja haraka haraka kunipa Taarifa ya Mtu aliye Mgonjwa Mahututi huku akiniharakisha Kuvaa ili twende Zahanati ya Awali ili Kumuona na tutoe Msaada Kwake cha Kushangaza kufika pale nikakuta Maelezo yake na nilichokikuta kwa Mgonjwa Mahututi husika ni Vitu viwili...
  17. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

    Well, previous I developed a topic for y’all lads centered on God’s omniscience-ness and I discussed a bit on how death can be affected by conscience. So this topicwill be serving as a tie-in spinoff and will be focusing on death and conscience respectively. Imekua kama jambo la kawaida kwa...
  18. Grealish10

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

    Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Wanaosherekea kifo cha Magufuli wanafukuza mwizi huku wameacha mlango wazi

    Kuna wengi wanaolalamika kwamba walipatwa kuumizwa na utawala wa magufuli. Kuumizwa huko kunahusishwa kibinafsi na utawala wa Magufuli, ikimaanisha walipitia waliyoyapitia tu kwa kuwa Magufuli alikuwa rais. Wanaolalamika sio wapinzani pekee bali pia wako wanachama wa chama cha mapinduzi ambao...
  20. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Waingereza wawili na Mmorocco waliokamatwa na jeshi la Urusi wahukumiwa kifo

    Waingereza wawili na mwanamume mmoja wa Morocco waliokamatwa na vikosi vya Urusi nchini Ukraine wamehukumiwa kifo, shirika la habari linalomilikiwa na Urusi RIA Novosti linaripoti. Aiden Aslin, 28, kutoka Nottinghamshire, Shaun Pinner, 48, kutoka Bedfordshire, na mtu wa tatu, raia wa Morocco...
Back
Top Bottom