kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Ijue dhana ya uhai na kifo kama mizania ya fumbo la imani

    Hapo kabla NGUVU KUU iliyokuwa mahali pamoja ilipata kugawanyika katika sehemu kuu tatu. Japo chanzo cha kugawanyika kwa nguvu hizo hakijawahi kuwa bayana. Nazo nguvu hizo ni nguvu ya UHAI, KIFO na MIZANIA YA UHAI NA KIFO. Ghafla ikatokea kuyumba kwa mizania ambapo KIFO nguvu yake ikazidi ile...
  2. JamiiForums Tanzania Bukoba: Kauli ya kanisa juu ya Padri anayedaiwa kuhusika kifo cha Mtoto mwenye Ualibino.

    kwa majibu wa taarifa iliyotolewea na msaidizi wa askofu samuel mchunguzi ni kuwa suala hilo nao wanashangaa na hawajui kama mtajwa ni padri wao la maana hawakuhusishwa au kuulizwa kabla ya kutoa taarifa hizo. mtazame kwa mjibu wa millardayo https://www.youtube.com/watch?v=Wo0HElBQcTs
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la mtoto albino Kagera, mheshimiwa Rais weka saini adhabu ya kifo

    Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe. Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme...
  4. JamiiForums Tanzania Kifo cha mtoto albino kinataka amri ya Rais sio masikitiko ya Rais

    Akiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera. Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kifo cha Leila Sheikh Namkumbuka Bibi Titi Mohamed

    Mwaka mmoja umetimu toka Leila Sheikh arejee kwa Mola Wake. Tunamuombea dua Allah amsamehe makosa yake na amtie Firdaus. Amin. https://youtu.be/ja_cL5te4Lw?si=bPBJoBLV7xEMjdGP
  6. JamiiForums Tanzania Hivi, ukipewa bahasha yenye details za kifo chako utafungua?

    Eti Wadau, Ghafla paaap, bahasha hiyo hapo, huko ndani kuna karatasi yenye details zote za kifo chako Mfano: Tarehe, Mwaka na Mahali Utafungua????🤣🤣🤣🤣🤣 My take: Mie nitafungua jamani, I'm such a curious being. Nitafungua ili nijue lini naacha kazi nianze kula mafao yangu😭 Zile report...
  7. JamiiForums Tanzania Kifo cha Andrew na utata wa Wanawake waliopotea kimiujiza

    - Hili ndo' sakata la 'wanted man' wa Uingereza na kupotea kwa wanawake wawili huko mji wa Aba, Nigeria. Mwezi ulopita, mkuu wa jeshi la Polisi la Nigeria, IGP Kayode Egbetokun, hakuwa na namna nyingine zaidi ya kuivaa kesi hii matata kwakuwa ubalozi wa Ghana, familia ya wahanga pamoja na...
  8. JamiiForums Tanzania Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

    Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
  9. JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo ndani ya Miezi 6

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa. Uamuzi huo umefikiwa kufuatia ombi lililowasilishwa na mlalamikaji Dominick Damian dhidi ya Jamhuri ya Muungano ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu Deep Poll na cheti cha kifo

    Habari ZENU, Mimi nilivyomaliza shule ya Msingi nilipelekwa Lushoto, huko sikusoma form one ilikuwa direct form two na kaka angu mtoto wa ba mkubwa ndie alikuwa ananisimamia kusema nina akili nisisome form one. Baadae akaniambia jina langu limegoma hivyo akaniandikia jina la mdogo wake ambae...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wanaogopa sana kifo kuliko vijana?

    Habari wana JF, Katika uzoefu wangu na utafiti usio rasmi nimegundua watu wazima hasa wazee waliozeeka haswaaa, ni waoga wa kifo kuliko vijana. Sisi vijana tunatake risk nyingi sana za kuogopesha na kuweka rehani maisha yetu, wala hatuna woga uliopitiliza wa kifo. Lakini wazee wetu wengi ni...
  12. JamiiForums Tanzania PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

    Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama 110---652 ambaye nilipoteza ajira tangu may 2023, mwaka huu mwezi wa kwanza mama yangu alipata changamoto ya maradhi ya moyo baada ya nyumba yetu kudondoka kutokana na mvua kubwa zilizonyesha ilipelekea akapooza, kwakuwa mimi ni kijana...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kijana kwenye ujana

    Ugumu wa maisha unasababishwa na baadhi ya vijana ambao wameamua kuwa ronyaronya. Vijana wanakuwa machawa. Hawana uwezo wa kufikiri kufanya masuala ya msingi. Vijana aliyosema Mwl Nyerere wako wapi sasa hivi? Hili ni janga kubwa la taifa. Tutakosa watu wa kufanya maamuzi ndani ya nchi yetu.
  14. JamiiForums Tanzania Nilinusurika Kifo Baada ya Kuzama kwa Meli ya Titanic”

    ILIANZA nikiwatembelea wazazi na mjomba wangu wazee huko Jacksonville, Florida. Hii ilikuwa muda mfupi kabla ya mjomba wangu kufariki miezi michache iliyopita. Kama kawaida, tulienda kwenye Ibada ya Mashahidi wa Yehova siku ya Jumapili na kusikiliza hotuba iliyotolewa yenye Kichwa “Je...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Ataja Sababu Kifo cha Muziki wa Dansi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema Wizara yake iko kwenye mkakati wa kurejesha katika hadhi muziki wa Dansi kwa kuwa muziki huo umewahi kutumika hata kwenye ukombozi. Amesema muziki wa Dansi umeshuka kutokana na masoko, ambapo amesisitiza kufufuliwa kwa muziki huo...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini 50% ya Raia wa Iran wamefurahia na hadi Kukufuru kabisa Kifo cha Rais wao Raisi?

    Nasubiria hizo sababu kwani hata Mimi GENTAMYCINE najiandaa kuwa Rais nchi moja hivyo sitaki Niwaudhi Wananchi.
  17. JamiiForums Tanzania Kama kifo ni mipango ya Mungu, mbona imani yenu wa Iran inaonekana kukataa kuhusu kifo cha Raisi?

    Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea. Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
  18. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waandishi Maarufu wa Quran baada ya Kifo cha Muhamad

    Tukumbuke kuwa Muhamad hakuwa akijua kusoma wala kuandika. Alikuwa maamuma katika mambo hayo. But he was a very clever man ukimsoma utatambua hilo. Na hii ilimsaidia sana kuweza jipatia wafuasi hata katika safari mbalimbali ambazo alifanya akienda kupora na kuchukua mateka. Alikuwa na jeshi...
  19. JamiiForums Tanzania Mwalimu ajinyonga huko Moshi kisa riba kubwa ya mkopo

    Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoani Kilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga. Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika ujumbe unaoelezea kisa cha yeye kuchukua maamuzi hayo magumu. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo...
  20. JamiiForums Tanzania Mtu akifa anatakiwa azikwe wapi? Migogoro ya kuzika maiti

    MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama. Nilijifunza mengi kupitia yeye, madhaifu na ubora wake. Mazuri na mabaya yake. Maziko ya Bibi yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…