kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  2. OLS

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi hawakuwa wanaijua Katiba wakati wa Kifo cha Magufuli

    Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha kuonesha kuwa Viongozi wengi walikuwa hawana ufahamu na katiba Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baraza la Madiwani ladai Kifo cha Hayati Magufuli kimekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Chato

    BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, limembebesha mzigo mzito Mkuu mpya wa Wilaya hiyo wakimtaka kufuatilia sababu za kukwama kwa ujenzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Chato, tangu kutokea kifo cha Hayati Rais Dk. John Magufuli. Kauli hiyo imetolewa na...
  4. Tamu3

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mkulima

    KIFO CHA MKULIMA 1. Hadithi nawaletea, sikiliza kwa makini, Zamani kulitokea, porini kundi la nyani, Mitini walirukia, mara juu mara chini, Nyani walifurahia, kwa kifo cha mkulima. 2. Waliposikia njaa, lienda huko shambani, Mahindi wakachukua, kurudi nayo porini, Wakanywa na maji pia, kwenye...
  5. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wamebakia watiifu wakweli wa hayati JPM wako pamoja nae hata baada ya kifo

    Doto James, Ngusa Samike, Medard Kalemani wamebakia watiifu kwa hayati JPM hata baada ya kifo chake. Wengineo ni mamluki tu, hata yule wa Dodoma mzee wa “atake asitake tutamuongezea” sijamuona kwenye ibada ya swahiba wake!
  6. GLOBALIST

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu Meseji ya CDF Mabeyo kuhusu kifo cha Hayati Magufuli

    Nimeona maandiko kadhaa yenye kumsifu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya mahojiano yake ya video na Daily News Digital kuhusu namna alivyo-play role yake katika dakika za majeruhi za uhai wa Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wameadhimisha wapi Kifo cha Magufuli?

    Jana 17/03/2024 ilikuwa ni siku ya kumbukizi ya Kifo cha Raisi wa Awamu ya Tano, tena akiwa Kazini lakini sijasikia kauli yeyote ya Serikali au CCM kuenzi au kuyaendeleza mazuri ya Kiongozi huyo. Naona shughuli zilizofanyika imekuwa kama ya kifamilia zaidi na sio ya MTU aliyewahi kuwa Kiongozi...
  8. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17 March 2021, Makamu wa Rais akitangaza kifo cha aliyekuwa rais Ndugu Hayati Magufuli ulikuwa wapi?

    Binafsi taarifa za msiba wa Rais nilizipata nikiwa njiani, nimepanda basi la Majinja likilokuwa linàfanya safari za wizi za usiku, likitoka Dar kuelekea Mbeya. Safari yangu ilikuwa ikiishia Mafinga mkoani Iringa. Nilikuwa nime tune Radio 1, ndipo wakakata matangazo na tukaunganishwa na TBC...
  9. Barca

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya Hayati Magufuli, anaishi kwenye mawazo na fikra za watanzania

    MIAKA MITATU YA JPM;HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI ANAISHI KWENYE MAWAZO NA FIKRA ZA WATANZANIA. Leo 17:30hrs 15/03/2024 Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tabora: Anayeidai TRA Milioni 986, Ramadhani Ntuzwe adaiwa 'kujiua kwa risasi'

    Mfanyabiashara Ramadhani Ntuzwe ‘Babu Rama’ aliyekuwa akipaza sauti katika vyombo mbalimbali vya habari kwa takriba miaka saba kwamba anaida fidia ya Sh 986 milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), anadaiwa kujiua kwa risasi leo Jumatano Machi 6, 2024 nyumbani kwake Urambo mkoani Tabora...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Kulala chini ya Saa 6 kunaweza kuongeza hatari ya kupata Saratani na Kifo

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Marekani (Heart.Org) kwa Watu wenye miaka kati ya 20 hadi 70 umeonesha Watu wasiopata muda mrefu wa Kulala Usingizi kwa zaidi ya Saa 7 kila siku wanakuwa hatarini kupata Saratani au Kifo cha Ghafla. Utafiti huo uliochapishwa kupitia Journal...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Utata mkubwa kifo cha Dkt. Mkamilo wa TARI

    Dk. Mkamilo akizungumza wakati wa kukabidhi Ofisi baada ya kumaliza muda wake kama Mkurugenzi wa TARI hii ilikuwa Februari 20, 2024 baada ya kutoka kwenye tukio hilo akafariki tarehe 2.3.2024 Kifo cha Dk. Mkamilo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI kimeacha simanzi na huzuni kubwa kwa wanataaluma...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Stan Katabaro kilivyoharibu legacy ya hayati Mzee Mwinyi

    Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara. Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu. Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo. Waandishi wote either...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nilichomfanyia Bosi wangu hatakuja kusahau mpaka kifo chake

    Ilikuwa miaka kama 6 hivi iliyopita, watumishi wa kada yetu tulikuwa wachache, muda wa kazi au masaa ya kazi kwa wiki au mwezi yalikuwa mengi zaidi ya yale masaa ya shirika la kazi duniani. Hatukulipwa posho ya muda wa ziada (extra duty allowance). Tulikuwa tunafanya kazi mpaka unahisi homa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vifo hasa vya viongozi wakuu ni ukumbusho kwa sisi tuliobaki

    Binaadam yoyote akifa hana thamani tena ndani ya jamii Hakuna anaekubali kulala na maiti ktk chumba kimoja hasa hio maiti iwe ya tajiri au kiongozi mkuu Wakiondoka viongozi basi sisi wa chini tunatakiwa tuingie akili kwamba hatuna chetu ktk dunia. 1. Kiongozi kwa upande wa kiislam akifa nguo...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Raia sita wa Morocco wahukumiwa adhabu ya kifo Nchini Somalia

    Mahakama ya kijeshi Kaskazini mwa Somalia imewahukumu kifo raia sita wa Morocco ikielezwa kuwa wana uhusiano na kundi la kigaidi. Majina ya wahusika ni Mohamed Hassan, Ahmed Najwi, Khalid Latha, Mohamed Binu Mohamed Ahmed, Ridwan Abdulkadir Osmany na Ahmed Hussein Ibrahim, wana nafasi ya kukata...
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Sura ya dada iliyomfufua mtu kutoka kwenye kifo

    Dunia ina maajabu na hayajawahi kuisha maajabu hayo...kila unaposikia moja la kuajabisha jua kuna mambo elfu moja ya kuajabisha zaidi ya hilo lakini hujalijua.. Essie Dunbar.. mwanamke aliyekuwa na miaka 30 mwaka 1915 alikuwa anaugua ugonjwa kifafa (epilepsy attack). Siku moja akadondoka...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea ikiwa marehemu aliombwa akifa azikwe sehemu fulani lakini akazikiwa sehemu nyingine?

    Nini kitatokea ikiwa marehemu aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini akazuiwa sehemu nyingine? Naomba kufahamishwa wajuzi wenye historia waliowahi shuhudia matukio haya ikiwa marehemu wakati wa Uhai wake aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini baada ya kifo Ndugu/jamaa...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
Back
Top Bottom