kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia asikitishwa na kuumizwa sana na kifo cha kada wa CHADEMA. Asema anakichukia Kifo

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni ujumbe wa speaker wetu wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Mbunge wa Mbeya Mjini na ambaye pia ndiye Rais wa umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Daktari Tulia Ackson Mwansasu. Naweka ujumbe wake kama ulivyo bila kuongeza neno wala nukta. Lakini kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa na kifo ndiyo ukweli pekee katika maisha! Mengine yote afanyayo binadamu katika maisha yake ni maigizo

    Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa) Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo! Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote kiuhalisia! Kwa mfano: Ukiangalia watoto wanavyochezea makopo au wanavyoigiza kibaba baba au kimamamama...
  3. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyekufa na kurudi na kushuhudia maandiko kuhusu maisha baada ya kifo, je mwisho mwema ni upi?

    Kuna kauli huwa inatolewa ya Mwisho mwema hasa pale inapoonekana Mtu tajiri au hawa ma celebrities/watu maarufu wanavyofurahia maisha , kwenye comments za watu utakuta tujaliwe mwisho mwema . Je kufia imani , kutotafuta pesa na kuwa maskini , kutofurahia ya dunia kunakufanya kuwa na mwisho mwema ?
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usikilazimishe kifo kikupitie.

    Kwa experience yangu nimegundua kuwa kuna dhambi mtu akifanya tu kama hajatubu automatically anakuwa ameanza kufa ndani hivyo maisha yake yanapunguzwa au kukatwa kabisa. Siwezi kukuorodheshea aina ya dhambi za mauti ila jitahidi kuepuka dhambi. Kuna dhambi ukiitenda tu mbingu zinaandika kuwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naambiwa nikachukue Cheti cha Kifo mkoa mwingine nami nipo mkoa mwingine, nafanyaje kukipata?

    Habari ya majukumu, Mimi niliomba cheti cha kifo cha mzazi, majibu yametoka ‘fika ofisi za RITA Bukoba Kagera uchukue cheti chako’, nami kwasasa niko Arusha Naweza kufanyeje Ili nipate nakala ya cheti hicho? Asanteni kwa msaada wenu 🙏🙏
  6. Unavoidable Servant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

    Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai. Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke. Tuishi nao kwa akili.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Nitamtetea bure aliyezusha kifo cha binti aliyebakwa. Watanzania wanataka kuona waliombaka na kumlawiti wanakamatwa.

    Ikiwa POLISI watampeleka AMOSI, MAHAKAMANI, basi, NITAKWENDA KUMTETEA BURE. Watu wanataka kuona POLISI IKIWAKAMATA WABAKAJI NA WAFIRAJI. Hayo mengine ya “KUZUSHA KIFO CHA BINTI WA YOMBO”, ni masuala MADOGO SANA KISHERIA. Pia soma Aliyezusha kifo cha binti aliyebakwa Yombo atiwa mbaroni
  8. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Tanzia nabii Flora Peter, amefariki dunia katika Hospitali ya Kitengule Jijini Dar es salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya Kitengule Tegeta Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Polisi mkamateni Bony Mwaitege kwa kujizushia kifo ili atrend

    Huyu bwana kipaji cha kuimba hana ila anapambana sana,nimuite ni mpambanaji ila sio msanii mwenye takent. Kuna story vijiweni kuwa anajizushia vifo nara jadhaa ili atrend kazi zake zitrend. Kutokana na upeo wake mdogo hajui kama kujizushia kifo ni kosa kisheria maana anazusha taharuki kwa...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Siku hizi kifo kiko karibu zaidi ya miaka iliyopita. Epuka dhambi ya uzinzi, ufiraji, dhuluma na uuaji ili usife mapema

    Hello! Mauti iko mlangoni inasubiri mtu atoke imbebe. Jitahidi kuomba rehema kwa Mungu mara kwa mara. Epuka dhambi ya ufiraji , epuka uzinzi, epuka dhuluma, epuka ushirikina, epuka kumwaga damu (kuua) ili siku zako ziwe kamili Dhambi ziko nyingi ila hizo dhambi nilizozitaja hapo juu hufungua...
  11. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Trump Jana amenusurika kifo, leo kesi yake imetupiliwa mbali!!

    Mh, mwamba anapambana sana! Hata akishindwa tunalo la kujifunza nalo ni kutokukata tamaa kwa namna yoyote ile! US judge in Florida dismisses classified documents case against Trump A judge in Florida has dismissed the criminal case relating to classified documents that were found at Donald...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Babalevo: Diamond akifa nitalia kuliko hata Mpenzi wake Zuchu

    Mwenyezi Mungu anatufundisha kila Siku tu kuwa tusitegemee Wanadamu bali tumtegemee zaidi Yeye mtoa Ridhiki.
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hakuna kauli nyingine za kuombeleza kifo kwa Waswahili zaidi ya hizi

    Kila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo, 1. Maisha ni fumbo, 2. Tumeumbiwa kifo, 3. Kifo ni kitendawili 4. Tunatembea na kifo 5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa sielewei inamaanisha nini) Mtu anapokufa unatakiwa kusikitikia marehemu na waliobaki, sio kujisikitikia...
  14. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Tukiona wagonjwa na maiti kwenye majeneza pia tuseme 'one day yes'

    TUKIONA WAGONJWA NA MAITI KWENYE MAJENEZA PIA TUSEME 'ONE DAY YES.' Tukiona magari mazuri na majumba ya kifahari ya watu tunasema "ONE DAY YES." Tena tukiamini kwamba ipo siku nasi tutafanikiwa kumiliki mali kama ambazo wanamiliki wengine. Tukiona wagonjwa na maiti kwenye majeneza basi pia...
  15. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna siku sitakuwepo juu ya uso wa dunia?

    Wakuu hivi ni kweli itafika siku nitang'ata pamba na kuhifadhiwa futi 6 uko chini ya ardhi? Hivi ni kweli kuna siku nitatoweka jumlajumla na sitaonekana popote pale juu ya huu uso mzuri wa dunia? Wakuu mbona naona kama ni masihara. Ni kama ndoto yani. Yani kuna siku uwepo wa kaburi ndo...
  16. Undava King

    JamiiForums Tanzania Ijue dhana ya uhai na kifo kama mizania ya fumbo la imani

    Hapo kabla NGUVU KUU iliyokuwa mahali pamoja ilipata kugawanyika katika sehemu kuu tatu. Japo chanzo cha kugawanyika kwa nguvu hizo hakijawahi kuwa bayana. Nazo nguvu hizo ni nguvu ya UHAI, KIFO na MIZANIA YA UHAI NA KIFO. Ghafla ikatokea kuyumba kwa mizania ambapo KIFO nguvu yake ikazidi ile...
  17. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Kauli ya kanisa juu ya Padri anayedaiwa kuhusika kifo cha Mtoto mwenye Ualibino.

    kwa majibu wa taarifa iliyotolewea na msaidizi wa askofu samuel mchunguzi ni kuwa suala hilo nao wanashangaa na hawajui kama mtajwa ni padri wao la maana hawakuhusishwa au kuulizwa kabla ya kutoa taarifa hizo. mtazame kwa mjibu wa millardayo https://www.youtube.com/watch?v=Wo0HElBQcTs
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la mtoto albino Kagera, mheshimiwa Rais weka saini adhabu ya kifo

    Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe. Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mtoto albino kinataka amri ya Rais sio masikitiko ya Rais

    Akiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera. Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kifo cha Leila Sheikh Namkumbuka Bibi Titi Mohamed

    Mwaka mmoja umetimu toka Leila Sheikh arejee kwa Mola Wake. Tunamuombea dua Allah amsamehe makosa yake na amtie Firdaus. Amin. https://youtu.be/ja_cL5te4Lw?si=bPBJoBLV7xEMjdGP
Back
Top Bottom