Video: Traffic akoswa na kifo Barabarani

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Ofisa wa usalama barabarani nchini Marekani amenusurika kufa kwenye ajali wakati akiwa kwenye majukumu yake mji wa Oklahoma.

Traffic huyo anaonekana akizungumza na dereva wa gari aliyoisimamisha, na ghafla gari nyingine inatokea na kuigonga ile iliyosimama.

ANGALIA VIDEO HAPA


Written by Mjanja M1
📹 BBC
 
Ofisa wa usalama barabarani nchini Marekani amenusurika kufa kwenye ajali wakati akiwa kwenye majukumu yake mji wa Oklahoma.

Traffic huyo anaonekana akizungumza na dereva wa gari aliyoisimamisha, na ghafra gari nyingine inatokea na kuigonga ile iliyosimama.

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2888133

Written by Mjanja M1
📹 BBC
Hujaona kuwa madereva wa hayo magari mawili ndio walikuwa hatarini zaidi? Askari kasukumwa tu ila dereva mmoja gari imepigwa upande wake
 
Back
Top Bottom