Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,323
- 23,238
Uyu dada namfaham sabab alisoma nami shule Level nlimwacha kidogo madrasa. Akaja olewa na mshkaji ambaye tulikuwa naye ofisi moja. Kwenye harakati za mtu mweusi.
Wamefanikiwa kupata watoto watatu saSA. Katika watoto watatu hao mmoja tu ndo wa jamaa wawili wa mtu mwingine.
Jamaa kagundua kube demu akitaka kubeba mimba anaenda kujegedwa na mwanaume mmoja white. Maana ndo demu anavyomuita kwenye sms.
Anasema mtoto wa kwanza alitoka black halafu ni wa kike. Hakupenda. So akawa ametafuta mshkaji white ampatie mbegu white. Hayo jamaa kayakuta kwenye sms demu akimsifia jamaa kuwa kamsaidia kupaka rangi maana nyumbani kwa mumewe ni weusi.
Jamaa akaamua kupima DNA ndo kugundua wake mmoja tu wa kwanza.wale wawili ni kazi ya kiuno cha mtu mwingine. Jamaa ameondoka kwake toka alhamis ajarudi kwake. Leo ndo jamaa ananiambia kuwa amekataa tamaa kabisa hakutegemea jinsi ambavyo mke wake alikuwa anamsifia.
Mwanaume tolu na mweusi kumbe anawaza ushenzi. Na demu mwenyewe kumbe weupe wa kununua so ni People in Black wote wawili.
Hapo nimechoka sana. Nataka nipate demu zeru zeru kabisa ili mimi weusi wangu usije kuwa kikwazo na nitamwambia kabla sijamuoa kuwa kilamtoto tutapina DNA asije leta mambo ya kisengeeh kama ya uyu wa jamaa.
Sitotaka muamini tena muanamke ktk hal huu wacha tutegane yu.