Gen Z wamepinda, cheka kidogo

Gen Z wamepinda, cheka kidogo

Nimemkumbuka chemical Ali wa Iraq
Wamarekani walipomaliza misheni yao walimuacha huyo kiumbe kwa dharau sana.Siku Saddam ameondolewa na sanamu zake kuvunjwa mbele ya macho yake lakini jamaa bado alitoa taarifa potoshi.Girishon,what a chemical "Aly" of the modern era!🤔🤔🤔🤔
 
Hahahhahahahahaahahahahahaahaaaaaahahahhah.

Waandishi wa Habari makofi jamanii
 
Back
Top Bottom