Simba tuvae vitambaa vyeusi kichwani uwanjani kusema imetosha

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
52,367
24,076
Kama tumewachoka viongozi basi hii njia itakuwa nzuri ziaidi, vaeni vitambaa vyeusi kichwani wote na wengine vaeni tshirt za maandishi kama mmewachoka viongozi.

Hizi porojo za kila siku redioni hazina maana na hazotawasaidia kamwe.

Nawarakia kipigo chema cha uhakika na heshima.
 
Nawaza tu hapa!! Hivi ikitokea wakafungwa, au kutoa sare na Asec Mimosa hiyo tarehe 25!! Ni nani mwingine atatolewa sadaka?
Ni Mangungu, au Bodi yote ya timu itawajibika?
 
Simba hii mbovu isitegemee maajabu kwenye msimu huu ni kukandwa na timua timua tu kwa kwenda mbele! Makolokwinyo wazoee tu maumivu!

Nimemsikia kiongozi mmoja akisema Mabango ya kukera ya 5G khamsa yatasalia barabarani miezi 6 hadi mechi ya derby ijayo!!pesa ya udhamini IPO!
 
Nawaza tu hapa!! Hivi ikitokea wakafungwa, au kutoa sare na Asec Mimosa hiyo tarehe 25!! Ni nani mwingine atatolewa sadaka?
Ni Mangungu, au Bodi yote ya timu itawajibika?
Wanapambana saana walau waipate hiyo droo dhidi ya Asec, wakipigwa tena na Asec ni kilio kingine kizito.
 
Acha kujifariji na lawama za kishabiki hata angedaka De Gea khamsa zingemhusu, Max Nzegeli ni level ingine bro! Kubali tu Yanga Makolokwinyo hamuiwezi! Msiwaangushie jumba bovu wachezaji shida ya Simba ni uongozi kubana pesa za usajili!

Manula Hana Kosa lolote timu nzima ilishindwa Mzee baba , kwani we uliangalia mechi ukiwa wapi? Hakuna goli ambalo ni Kosa la Manula , beki inavuja ulitegemea Nini kama si kugeuzwa asusa kama JKT na Kmc, furahia tu mabango ya 5G tu unune vizuri mtani!

5G itawauma miaka mingi na Bado inakuja wiki (7-0) Ili mjinyonge kabisa!!
Huo ndo ukweli.manula alilazimisha kudaka yeye na alitishia kuvunja mkataba kama asingepangwa.
Kumbe alibet aliweka utopolo win anda over 4.5
 
Bora watu msimu huu waache kunua jezi na kwenda uwanjani hadi msimu ujao, hili linaweza saidia kupunguza propaganda za viongozi na janja ya nyani
 
Kama tumewachoka viongozi basi hii njia itakuwa nzuri ziaidi, vaeni vitambaa vyeusi kichwani wote na wengine vaeni tshirt za maandishi kama mmewachoka viongozi.

Hizi porojo za kila siku redioni hazina maana na hazotawasaidia kamwe.

Nawarakia kipigo chema cha uhakika na heshima.
Kwani si walishatatua mambo yao baada ya kumfukuza kocha
 
Kwahiyo kapombe alivochoka kiongozi anahusika pale!!?

Mbona ameipa simba jina kubwa sana enzi zake na wengine wooote wanaomfuata kwenye uchokevu wake!!!!??

Jifunze kuheshimu watu.
Sasa Kapombe kama kachoka kwanini awe hapo kama siyo kosa la uongozi kukaa na wazee
 
FB_IMG_17003257863441916.jpg
 
Timuatimua fc....
Za chini chini nasikia tarehe 27 mashabikiwa wa Asec watakunywa supu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom