Mwanamke akipata pesa, kitu kinachomjia kichwani cha kwanza ni kujitegemea na kujitawala bila kuwa na mwanaume

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,976
28,108
Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake.

Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua.

Utakuta wengine wikendi kama hivi ni full kubembeleza mwanamke fulani wanayemtaka akubali watoke ili wakale pesa zake.

Wengine hawawezi kabisa kutoka pekee yao kwenda kujirusha, ataokoteza mwanamke yeyote tu huko viwanjani ndipo aone ladha ya pesa zake!

Mi ndo natoka hivi, tukutane viwanjani tule maisha.
 
Umepata 100%
 
Wanawake wapo ili wanaume tufarahi. Ni wewe kuamua tu mtindo wa kufurahia uwepo wao. Ukipata pesa zako kihalali tumia utakavyo ila usisahau ndoto ya yule jamaa kwenye biblia ya ng'ome walionona na ng'ombe waliokonda.
 
Back
Top Bottom