kichwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Afanya upasuaji kwa kuweka cheni zenye dhahabu kichwani kwake kama nywele

    Rapa kutoka Mexico, Dan Sur @dansurig amefanyiwa upasuaji na kuondolewa nywele zake kichwani na kuwekewe cheni za dhahabu. Dan Sur anasema alitaka kufanya kitu tofauti, kuwa binadamu wa kwanza kuwa na cheni za dhahabu kichwani badala ya nywele, "Hizi cheni zimewekwa ndani ya ngozi yangu, mimi ni...
  2. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya machinga vimezikwa na hayati Rais Dkt John Magufuli huko Chato?

    Wakuu Wamachinga wa soko la Samunge maarufu kama NMC jijini Arusha wameieleza kilio chao kwa mbunge Mrisho Gambo cha kulipa ushuru wa shilingi 50 kila siku huku wanaowatoza wakiambiwa kuwa vitambulisho vya machinga vimezikwa na hayati Rais Dkt John Magufuli huko Chato. Machinga wa soko hilo...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Haji Manara asaidiwe kabla ya kuanza kuokota makopo na chupi kichwani

    Ukiachwa achika Vijembe anavyorusha kwa Mo Dewji na Simba Sc na bado hajibiwi vinaweza kumfanya huyu mtu akawa data na kuanza kuokota makopo. Hatua aliyofikia ni mbaya sana hakuna tofauti yeyote na mtu ambaye wehu ndo umeanza kuingia ingia, ameanza kutembea bila viatu amekushikilia suruali...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Sijui kama mtazamo wangu uko sawa, ila nawaona wote wanaopinga chanjo kama wana shortage kichwani!

    Mweshmiwa mbunge wa viti maalumu Humphrey Polepole yeye anasema tusipige chanjo ila tufanye mazoezi kwa wingi pia tule ugali wa dona na matembele kwa wingi na kuondoa hofu tutaishinda corona Askofu yeye anadai tumuomne sana Mungu kwani alikua ameshaliponya taifa na korona ikaisha, pia analaumu...
  5. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

    Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake. Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa. Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mtu anaechukua mkopo wa milioni 100 kujenga nyumba ya milioni 10, na anaemkopesha ndiye anayejenga (lazima); ana akili timamu kichwani kwake?

    Tuchukulie kwa mfano mtu anakuja kukushawishi akukopeshe pesa kiasi cha milioni 100 ili ujenge nyumba ya kuishi; ila sasa masharti ya huo mkopo ni kwamba lazima ramani za jemgo, vifaa vya kujengea, BOQ, na mafundi wote watoke kwake huyo anaekukopesha. Halafu huyo anaekukopesha anakuletea ramani...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka?

    Habarini za leo marafiki. Ndugu zangu mwenzangu ana tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka. Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.
  8. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Bob Marley alipigwa risasi kichwani akimuokoa mme wake, Vipi aina hiyo ya wanawake wapo Leo?

    Bob Marley's wife, Rita, once took a bullet to the head that was aimed at Marley in an attempted assassination in Kingston. Despite being shot in the head, she survived, due to her thick dreadlocks minimizing the impact of the bullet. Aina hii ya Wanawake bado wapo Tanzania, ??.
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Anayehusika na hii barabara ya Shaurimoyo (Al-haramain), ana akili sawasawa kweli kichwani?

    Hii hali ipo mwaka wa 5 huu, sasa utasema huyo mtu ana akili zilizotimia kichwani kwake, huu si ujinga huu kabisa?! Na hapa ni katikati ya jiji kabisa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuondoa mvi kichwani

    Wandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
Back
Top Bottom