Kero ya taa za kuongozea magari Majumba 6

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Kama kichwa cha habari kilivyo.

Ukipita njia ya Tabata Segerea kuelekea Ukonga ukifikanpale Majumba Sita kuna trafic light pale kuna michoro ya zebra ambayo ni wazi dereva mgeni wa njia ile ni vigumu kutambua.

Kero hii imekuwa inachangiwa zaidi na trafiki ambao kazi yao ni kuandikia tu notification gari itakayo kanyaga zile zebra.

Uongozi unahusika mkachore upya zile alama pale ni kero.
 
Njia yangu hiii. Kanuni ya njia tatu. Ikifika mchana pale mataa traffic wanafanya mradi wa TRA. Hata kama unakata kwenda Tabata usikae kati, la sivyo umeliwa
 
Duh sasa ukitokea tabata ndio utajuta kale ka zebra. Kuna trafik wana upande wa kushoto ktk kibanda pale wao macho yao yapo ktk kqle ka zebra ambako hakaonekani ukikakanyaga tu UMELIWA
 
Niliwahi zozana na mdada traffic pale kisa kukanyaga hizo pundamilia zisizoonekana. Pona pona yangu nilipomsifia uniform zimempendeza akaniachia huku akijifanya ataniandikia nikikanyaga tena zebra.
 
Kama kichwa cha habari kilivyo.

Ukipita njia ya Tabata Segerea kuelekea Ukonga ukifikanpale Majumba Sita kuna trafic light pale kuna michoro ya zebra ambayo ni wazi dereva mgeni wa njia ile ni vigumu kutambua.

Kero hii imekuwa inachangiwa zaidi na trafiki ambao kazi yao ni kuandikia tu notification gari itakayo kanyaga zile zebra.

Uongozi unahusika mkachore upya zile alama pale ni kero.
hivi hayo majumba 6 yapo upande gani mkuu
 
Poleeee mkuu kwa kweli wale trafik wa pale wamekuwa wapigajii sanaa cha msingi kuwen makin pia kuna zebra moja ipo madafu pale cardinal Rugambwa hospitali nayo ni kitega uchumi cha wapiga brush
 
Niliwahi zozana na mdada traffic pale kisa kukanyaga hizo pundamilia zisizoonekana. Pona pona yangu nilipomsifia uniform zimempendeza akaniachia huku akijifanya ataniandikia nikikanyaga tena zebra.
Niliwahi kupewa mkeka mwaka jana kwa sababu ya hizo alama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom