Upatikanaji wa loss report ni kero

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Jeshi la polisi lilijinasibu limehamia ktk teknolojia hususani ktk huduma kadhaa ikiwemo upatikanaji wa taarifa ya kupotea kitu.

Ideally matumizi ya system ni excellent sababu inaokoa muda LKN siku za hivi karibuni upatikanaj wa huduma hiyo ni kero

Unaweza ukajaza taarifa online then ukaitajika kuthibitisha hiyo report kazi inakuja upatikanaji wa hao wanaothibitisha report
 
Kama mambo ni hivyo basi hali ni mbaya!
Yah hali ndio ipo hivyo mm tangu asubuhi napita vituoni kuthibitishiwa ila hao wanao thibitisha naambiwa hawapo nimetoka màwasiliano pale now naenda kawe ...yaan kweli Tz hatujui maana ya online system
 
Na mbaya zaidi pesa ya malipo inalambwa, yaani wangetaka kutushawishi kwamba system zao zinasumbua zile transactions zingekuwa zinagoma

Nili request loss repport mwaka jana kabla ya uchaguzi lakini mpaka leo hakuna loss report niliyopewa na jero langu wakapita nalo. Na ukisema uende ukachukulie polisi wanakurudisha ukajihudumie mwenyewe online
 
Jeshi la polisi lilijinasibu limehamia ktk teknolojia hususani ktk huduma kadhaa ikiwemo upatikanaji wa taarifa ya kupotea kitu.

Ideally matumizi ya system ni excellent sababu inaokoa muda LKN siku za hivi karibuni upatikanaj wa huduma hiyo ni kero

Unaweza ukajaza taarifa online then ukaitajika kuthibitisha hiyo report kazi inakuja upatikanaji wa hao wanaothibitisha report
Tumia kitambulisho cha NIDA
 
Kma inasumbua bora uend ktuon ukafungue taarifa wakupe loss report wenyewe
 
Nimetoka kituo cha kawe kwa ajili ya uthibitisho wana niambia eti mpaka Kesho..
Imagine ndio mtu kakuibia simu on sunday thennakapiga tukio thenntu hujapata loss report. Hapo jaman si ndio sheria isha kukuta na hatia
Jeshi lina bidi libadilike
 
Back
Top Bottom