kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz amezuiwa kuuza gesi yake Kenya kwa sababu ya mazingira

    Nimekutana na hii habari kwamba Rostam Azizi amezuiwa kuuza Gesi yake Kenya kisa eti maswala ya mazingira. Wakenya kwenye figusifigusi wako vizuri sana hawa jamaa hata Dange amewavulia kofia. Wao wana enjoy sana freedom ya kufanyabiashara Tanzania lakini Kampuni za Kitanzania kule Kenya huwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani Mdahalo wa Wagombea Wenza wa Urais Kenya ungetokea Kwa Tanzania mwaka 2015 au 2025 ili tujue Ugoigoi wa Watu

    Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa. 1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais) 2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo...
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

    Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri. Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kenya yapanga kuanza kusafirisha Chai Nyeusi kwenye soko la China

    Kenya inapanga kuanza kuuza chai nyeusi kwenye soko la China kufuatia kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa hiyo kwenye soko la China. Nia hiyo ya Kenya imejulikana kwenye ziara iliyofanywa na balozi mteule wa Kenya nchini China Bibi Muthoni Gichohi, kwenye kiwanda cha chai cha Nduti mjini Murang’a...
  5. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faith Kipyegon ainyakulia Kenya medali ya kwanza ya dhahabu kwenye mashindano ya World Athletics Championships, Oregon22

    Siku ni ya nne ya mashindano hayo ya riadha(IAAF), ambayo yanaendelea kule mji wa Oregon, USA. Kenya tayari ina medali zingine mbili, moja ya fedha na nyingine ya shaba. NAIROBI, Kenya, Jul 19 – Faith Kipyegon underscored her status as the greatest 1500m athlete of all time with an imperious...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja mkataba wa kuiuzia korosho kampuni ya Kenya

    Serikali ya Tanzania imesema mkataba wake na kampuni ya Kenya ya kununua korosho tani laki moja umesitishwa. Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Joseph Kakunda , wakati akihojiwa na gazeti la Tanzania la "The CITIZEN" na kusema kuwa kampuni hiyo ya Indo Power wameshindwa kufuata masharti...
  7. mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei ya Unga kushuka kutoka Ksh. 230 hadi Ksh. 100 baada ya ruzuku ya Serikali

    Bei ya Unga wa mahindi nchini Kenya itashuka kutoka Ksh. 230-100 kuanzia leo Julai 18 Hii ni baada ya Serikali ya Kenya kutoa ruzuku kwa bei ya uzalishaji wa bidhaa hiyo kwa muda wa wiki 4. Katika muda wa wiki 4, Wizara ya Kilimo italipa sehemu ya gharama ya kuzalisha Unga, ili kuwaepusha...
  8. chinchilla coat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yahofiwa kukumbwa na yaliyoitokea Sri Lanka

    Nimeona hii habari kwenye ukurasa wa chombo kimoja cha habari huko Kenya. Kuwa wachambuzi wa masuala ya uchumi na siasa wanahofia Kenya inaweza kukumbwa na kilichoitokea Sri Lanka sababu hali ya nchi hiyo inaelezwa kufanana na ile ya Sri Lanka. Sri Lanka ni nchi iliyoelemewa na madeni na...
  9. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya majina kutoka Kenya yameongezwa kwenye Oxford English dictionary

    Baadhi ya majina kutoka Kenya ambayo yameongezwa kwenye Oxford English dictionary ni pamoja na "chapo", "githeri", "mpango wa kando", "chang'aa" na kadhalika. Chapo, Githeri, Mpango Wa Kando Among Kenyan Words Added To Oxford Dictionary By Joseph Muia For Citizen Digital Published on: July 15...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tiktoker Nchini Kenya taabani kwa kudaiwa kula Buibui

    Mtayarishaji wa maudhui katika Mtandao wa #Tiktok nchini Kenya #Aq9ine amelazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya baada ya kuripotiwa kula buibui baada ya kuanza kuumwa kifua huku joto la mwili likifika 48 ℃ ‘Tiktoker’ huyo, anadaiwa mapema, Jumamosi, alichapisha katika mtandao wa Instagram...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Putin aitaka Kenya kumaliza njaa badala ya badala ya kuifunza Urusi namna ya kumaliza migogoro ya Kimataifa

    Rais wa Urusi Vladimir Putin, amelitaka Taifa la Kenya kumaliza kwanza njaa nchi Kenya badala ya kuifunza Urusi namna ya kumaliza migogoro ya Kimataifa. Putin amemfananisha Balozi wa Kenya Umoja wa Mataifa kama kijana mdogo anayejaribu kuutikisa mbuyu na kuishia
  12. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhusiano mzuri kati ya Kenya na Somalia umerudi

    Uhusiano mwema kati ya Kenya na Somalia umerudi. Kenya sasa itaruhusiwa kuexport miraa kelekea Somalia. KQ pia itaruhusiwa kuoperate Nairobi-Mogadishu route. ====== Somalia has allowed the resumption of miraa exports from Kenya and permitted Kenya Airways to start scheduled flights to...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Polisi nchini Kenya yapiga marufuku Maandano ya kupinga kuondolewa kwa wamasai wa Loliondo

  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwanda kuwa ya pili EAC kurusha satellite baada ya Kenya

    Afrika panazidi kukucha, Rwanda imeamua kuondoa upweke ambao huikumba Kenya kwenye kilele cha haya mavitu ya kutumia ubongo. Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt...
  15. mtwa mkulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mfahamu George wajackoyah: Mgombea urais Kenya anayesisimua kwa Bangi na sumu ya Nyoka

    Mgombea George Wajackoyah Wakati mmoja alikuwa mtoto wa kurandaranda mitaani nchini Kenya na wakati mwengine akawa mchimba kaburi nchini Uingereza, George Wajackoyah amekuwa kivutio cha kisiasa kwa kugombea urais wa Kenya kupitia ahadi ya kuligeuza taifa hilo la Afrika Mashariki kuwa muuzaji...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Baraza la Habari laagiza uchunguzi wa kushambuliwa kwa wanahabari kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Baraza la Habari la Kenya (MCK), limewataka Polisi kuchunguza kwa haraka mashambulizi dhidi ya Wanahabari, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, siku chache baada ya kushambuliwa kwa Mwanahabari wa Nation Media Group, Ian Byron Mwanahabari huyo mnamo Julai 10, anadaiwa kushambuliwa na watu...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wamefungwa kwa taabu Sana 36 - 0 na Namibia

    Kwenye mchezo wa rugby timu ya taifa ya Kenya imepigwa kwa taabu Sana goli 36 kwa bila na timu ya taifa ya Namibia. Ikumbukwe kuwa timu ya Namibia huwa Ni utopolo kwa timu ya Tanzania, ambapo mechi ya mwisho kukutana Namibia alilala goli 32.
  18. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Kenya kinara wa kuingiza watalii Tanzania

    Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoingiza watalii wengi. Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika taarifa yake iliyotolewa hivi karibuni kuhusu watalii walioingia Tanzania kati ya...
  19. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya

    Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya KAMA utani imetimia miaka 27 tangu vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Yanga ilipoandika rekodi ya aina yake jijini Kampala. Kwa waliosahau ni kwamba Januari, 1993 mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania, iliyosafiri kichovu kwenda...
  20. Imaniyanguitaniponyatu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unga wa mahindi Kenya kilo moja ni 4100 shilingi za Kitanzania

    Bei ya mahindi nchini Tanzania inaogofya sana hadi kufikia 100000-130000 kwa gunia la kilo 100 kwa baadhi ya mikoa ya nchi hii. Kupanda kwa bei ya mahindi imepelekea wananchi wa kawaida kununua unga wa kupikia ugali kati ya 1400-2000 kwa kilo moja, hali ya upatikanaji wa chakula hicho inazidi...
Back
Top Bottom