kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kenya wanatupa somo kwamba wao ni mabingwa wa demokrasia. Chebukati anatuonesha jinsi ya kusimamia uchaguzi

    Demokrasia iliyopo Kenya kwa sasa ni darasa kubwa kwetu. Kenya wamepiga hatua kubwa sana ya kusimamia uchaguzi, na ndio faida na umuhimu wa tume huru ya uchaguzi. Kuwa na tume huru ya uchaguzi ni jambo lingine lakini pia kumpata mwenyekiti asiyegemea upande wowote ni jambo lingine. Chebukati...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Habari wakuu! Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi Kenya: Matokeo rasmi ya kura za Urais Kenya 2022

    William Ruto (UDA) 50.49% 7,176,121 Votes Raila Odinga (AZIMIO) 48.85% 6,942,930 Votes George Wajackoyah (RPK) 0.44% 61,969 Votes David Waihiga (AGANO) 0.23% 31,987 Votes ============== Wakati Wakenya wakisubiri majibu ya Uchaguzi wa Urais, upande wa timu ya Raila Odinga wamedai kuwa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Anayetuhumiwa kwa mauaji ya msaidizi wa mpinzani ashinda Ubunge Kenya

    Didmus Barasa amechaguliwa tena kuwa Mbunge wa Kimilili baada ya kupata kura 26,000 akimshinda mpinzani wake wa DAP-K Brian Khaemba aliyepata kura 9,000. Barasa aliyegombea kupitia UDA, anadaiwa kumpiga risasi na kumuua msaidizi wa Olunga baada ya kukutana eneo la Shule ya Msingi ya Chebukwabi...
  5. system hacker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi Kenya unatukumbusha mtanange wa Hayati John Magufuli vs Edward Lowassa

    Odinga atapata kura sio zaidi ya milioni 8. William Ruto kura si zaidi ya milioni 6 Ndivyo itakavyotokea. Hata kwa akina Magufuli vs Lowassa ilitokea hivi. Lets wait and see!
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Twitter imeanza kuonesha matokeo ya Uchaguzi wa Kenya yasiyo sahihi

    Twitter imeanzisha kipengele cha kuripoti matokeo ya Uchaguzi Mkuu yasiyo rasmi yanayowekwa na wafuasi na kambi mbili za wagombea Urais Kenya Taarifa itaonekana chini ya matokeo ya kura yaliyowekwa na watu binafsi, na kutahadharisha watumiaji kuwa matokeo hayo hayatokani na Tume Huru ya...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Mwanamuziki Gabu ashindwa katika kura

    Mwanamuziki wa Kenya, Gabriel Kagundu ‘Gabu’ ameshindwa katika uchaguzi alipokuwa akiwania nafasi ya uwakilishi wa Woodley kupitia tiketi ya ANC ambapo amezidiwa na Davidson Ngibuini 'DNG' wa UDA. Baada ya matokeo, Gabu ambaye amewahi kuwa memba wa Kundi la P-Unit ameshukuru wafuasi wake na...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Blinken anasema Marekani haitaingilia siasa za Kenya

    Blinken amesema ipo tabia mbaya ambapo mataifa makubwa yanapenda kuingilia siasa za nchi nyingine.. Akizungumza jana alipokuwa Afrika Kusini alisema nchi yake haitaingilia masuala ya demokrasi katika nchi ya Kenya na Nigeria. Amesema nchi za Kiafrika zikatae masharti zinazopewa na nchi za...
  9. Lanlady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ni kweli hii imetokea Kenya kwenye uchaguzi huu au ni ya kitambo?

    Naona wanaharakati wa nchini kila mahali ni kusifia kenya na kuiponda Tanzania. Hizi vurugu ni za lini?
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Uchaguzi wasogeza mbele muda wa kufungua shule

    Serikali ya Kenya imesogeza mbele muda wa kufungua shule hadi Agosti 15, 2022 badala ya Agosti 11 kama ilivyokuwa awali kwa kuwa bado mchakato wa kuhesabu kuwa za uchaguzi mkuu unaendelea. Waziri wa Elimu wa Kenya, George Magoha amewataka wazazi kupuuza taarifa walizopewa shuleni za kuwarejesha...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Uchaguzi wa Kenya: Tuwape nafasi Matajiri na Watafutaji

    Siasa za Kenya sizitofautishi sana na siasa za Marekani! Wao wanaamini sana katika kumpa nafasi mtu anayeonesha ana uwezo wa kutafuta pesa na kupambana kupata pesa! Ndo mana inawezekana hata kiuchumi wako vizuri kuzidi sisi ingawa na sie tunajikongoja kuwafikia Wakenya sio waumini sana wa...
  12. Mpwayungu Village

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Itachukua miaka 1,000 Tanzania kufikia chaguzi za Kenya kama tutaendelea kuwa hivi

    Jamani kila siku napiga kelele nchi nyingi za Afrika zimeshaelimika mda sana kwenye uhuru wa demokrasia ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya, Ghana na South Africa. Inatia sana hasira kuona bongo bado tunapelekwa na CCM wanavyotaka nakutugeuza uchafu ebu oneni wenzetu Kenya mpaka saizi hujui Nani...
  13. Mag3

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

    Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli. Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame. Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuwa na ushawishi wowote kwenye uchaguzi wa Kenya?

    Leo ni siku ya uchaguzi nchini Kenya upinzani mkali uko baina ya Laila Odinga kutoka Nyanza province na Ruto alie kua makamu wa Raisi wa Uhuru Kenyatta, ni Mkalejini Nandi province. Nchi yetu Tz ni Big brother wa Kenya na iko strategically important kwa nchi ya Kenya kiuchumi kijeshi ki eneo...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga: King'ang'anizi katika kuutaka urais wa Kenya, uchaguzi huu anagombea kwa mara ya tano (5)

    Raila Odinga alijiapiza kuwa lazima awe rais wa kenya kabla hajafa!! Leo anagombea kwa mara ya tano akiwa na miaka 77. Na jamaa huyu hujaribu bahati yake kupitia vyama mbali mbali, na mwaka huu anagombea kupitia umoja wa vyama uitwao AZIMIA LA UMOJA. Swali, je akiangukia pua mwaka huu ataweza...
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya leo matatizo Ni prana. Raila amechoshwa sana na kampeni

    Prana ni neno la Kihindi,maana yake 'pumzi'. Raila amefanya kampeni kwa bidii na anechoka sana. Hatujawahi kumuona Raila anechoka namna Ile. Lakini sasa kampeni imekwisha nadhani he will get his breath back. Siyo rahisi kutabiri nani atashinda. Hata Wainjilisti wanaopenda kutabiri wameshindwa...
  17. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunajifunza nini kuhusu uchaguzi wa Kenya? Tubadilike

    Naona vyombo vya habari vingi vinajifanya kama havina habari kabisa kuhusu uchaguzi wa kenya yaani wanachukulia kama vile uchaguzi wa kumchagua mjumbe nyumba 10 10. Serikali y a CCM mnalo la kujifanza hapa msijifanye hampo na hamna habari, angalieni chaguzi ya Kenya inavyofanyika pamoja na...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Wagombea Urais William Ruto kutokea Umoja wa Vyama vya Kenya na Raila Odinga

    Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa nyakati tofauti, amekutana na kufanya mazungumzo na Wagombea Urais William Ruto kutokea Umoja wa Vyama vya Kenya Kwanza, na Raila Odinga wa Umoja wa Vyama vya...
  19. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania

    Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania. Kuna ukweli hapa?
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete, akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya akutana na Wageni mbalimbali

    Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya tarehe 9 Agosti 2022...
Back
Top Bottom