Natamani Mdahalo wa Wagombea Wenza wa Urais Kenya ungetokea Kwa Tanzania mwaka 2015 au 2025 ili tujue Ugoigoi wa Watu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,454
108,566
Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa.

1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais)

2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo.

3. Wagombea Wenza hawajadili Upuuzi au Utoto wa kupoteza muda.

4. Wagombea Wenza wanajiamini mno Kiuwasilishaji.

5. Wagombea Wenza Elimu zao ni za uhakika na hazina Mashaka.

6. Wagombea Wenza wanaijua vyema nchi ya Kenya.

7. Wagombea Wenza hawababaiki Kimaelezo na wala hawatumii Neno 'Nadhani' katika Ujengaji wao wa Hoja bali walikuwa na uhakika wa Masuala Mtambuka.

Asanteni Wakenya na Wagombea Wenza wenu wa Urais na sina shaka kwa nilivyowaona Jana yoyote akishinda Kenya yenu itakuwa mikono Salama chini ya ama Mzee Odinga au Brazameni Ruto.
 
Vipi kuhusu dira na uwezo wa kuitimiza? Maana mtu anaweza kuwa na mbwembwe zote tajwa na mengineyo, lakini mwisho wa siku akakosa haya mambo mawili ya msingi zaidi.

Education is not leadership, but leadership is education. Knowledge is not leadership, but leadership is knowledge. Brilliance of mind is not leadership, but leadership is brilliance of mind.
 
Karua ukimwangalia kwa makini, na kwa ujasiri mkubwa bila kupepesa macho anaonekana aliwahi kula Kitu ya Arusha na ingefaa zaidi awe mgombea mwenza wa wajakoya
Kuhusu Wakenya na kutumia Kitu cha Arusha nakubaliana nawe tena 100% kwani kwa 85% ya Wakenya niliobahatika Kusoma nao mpaka Wanawake wanavuta.

Ukiachana na Wakenya shughuli iko kwa Wanawake wa nchini Zambia Mkuu wanavuta Kitu cha Arusha utadhani Hayati Bob Marley aliwarithisha kabla hajalala mazima Udongoni.

Kuhusu Ulevi wa Pombe kwa Afrika nzima bado sijaona Taifa lenye Walevi Walioshindikana wa Bia na Pombe za Kienyeji kama Wanaume wa nchini Zambia wakifuatiwa na wa Afrika Kusini.
 
😀😀🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Rombo hawafui dafu?
 
Sahihi kabisaa...wana vipombe vya ajabu ajabu vya aina nyingi sana...sema ni wakarimu..
 
RWANDA hakuna mdahalo wa wagombea wala wagombea wenza.
Karibu bongo.
Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa.

1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais)

2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo.

3. Wagombea Wenza hawajadili Upuuzi au Utoto wa kupoteza muda.

4. Wagombea Wenza wanajiamini mno Kiuwasilishaji.

5. Wagombea Wenza Elimu zao ni za uhakika na hazina Mashaka.

6. Wagombea Wenza wanaijua vyema nchi ya Kenya.

7. Wagombea Wenza hawababaiki Kimaelezo na wala hawatumii Neno 'Nadhani' katika Ujengaji wao wa Hoja bali walikuwa na uhakika wa Masuala Mtambuka.

Asanteni Wakenya na Wagombea Wenza wenu wa Urais na sina shaka kwa nilivyowaona Jana yoyote akishinda Kenya yenu itakuwa mikono Salama chini ya ama Mzee Odinga au Brazameni Ruto.
 
Vipi kuhusu dira na uwezo wa kuitimiza? Maana mtu anaweza kuwa na mbwembwe zote tajwa na mengineyo, lakini mwisho wa siku akakosa haya mambo mawili ya msingi zaidi.

Education is not leadership, but leadership is education. Knowledge is not leadership, but leadership is knowledge. Brilliance of mind is not leadership, but leadership is brilliance of mind.
Hoja yako haina mashiko.

Nyota,njema huonekana qsubuhi. Hao wagombea wameonyesha kuijua Kenya, matatizo/changamito zake hivyo ni msingi mzuri kuliko kuwa,na,mtu ambaye hata hajui nini anapaswa kufanya. Kama wasipoweza kudeliver bado kuna uchaguzi mwingine hivyo watapimwa wakati huo.

Kama wewe una njia nyingine bora zaidi ya kupembua wagombea ili kujua kama huko mbeleni watadeliver au la iweke hapa ili ikionekana bora watu wataiadopt.
 
Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa.

1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais)

2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo.

3. Wagombea Wenza hawajadili Upuuzi au Utoto wa kupoteza muda.

4. Wagombea Wenza wanajiamini mno Kiuwasilishaji.

5. Wagombea Wenza Elimu zao ni za uhakika na hazina Mashaka.

6. Wagombea Wenza wanaijua vyema nchi ya Kenya.

7. Wagombea Wenza hawababaiki Kimaelezo na wala hawatumii Neno 'Nadhani' katika Ujengaji wao wa Hoja bali walikuwa na uhakika wa Masuala Mtambuka.

Asanteni Wakenya na Wagombea Wenza wenu wa Urais na sina shaka kwa nilivyowaona Jana yoyote akishinda Kenya yenu itakuwa mikono Salama chini ya ama Mzee Odinga au Brazameni Ruto.
Unafananisha kenya na huo utopolo wenu watz? Tutakage radhi wewe.
 
... hivi ni kwanini CCM hawapendi midahalo? Zaidi ya ule wa 1995 akiwemo Mkapa, Lyatonga, na Cheyo CCM hawajawahi tena kupenda midahalo! How comes chama kiongozi (since independence) kinakwepa midahalo?

Funny enough, 2015/2020 CCM ilimsimamisha PhD holder yet wakakwepa midahalo; kuna uhusiano gani kati ya CCM na kutopenda midahalo? Hebu political scientists mfanye research kupata jibu la hii kitu.
 
Hao Political Scientists wako wakifanya hiyo Research wakimaliza wakiwa Hai njoo unichape Viboko 1000 sawa?
 
... hivi ni kwanini CCM hawapendi midahalo? Zaidi ya ule wa 1995 akiwemo Mkapa, Lyatonga, na Cheyo CCM hawajawahi tena kupenda midahalo! How comes chama kiongozi (since independence) kinakwepa midahalo?

Funny enough, 2015/2020 CCM ilimsimamisha PhD holder yet wakakwepa midahalo; kuna uhusiano gani kati ya CCM na kutopenda midahalo? Hebu political scientists mfanye research kupata jibu la hii kitu.
Mdudu ndani ya nyumba...!! Kitu ya Arusha kazini
 
Back
Top Bottom