Tiktoker Nchini Kenya taabani kwa kudaiwa kula Buibui

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Mtayarishaji wa maudhui katika Mtandao wa #Tiktok nchini Kenya #Aq9ine amelazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya baada ya kuripotiwa kula buibui baada ya kuanza kuumwa kifua huku joto la mwili likifika 48 ℃

‘Tiktoker’ huyo, anadaiwa mapema, Jumamosi, alichapisha katika mtandao wa Instagram video inayomwonesha kuvimba uso na mkono akitaja ni madhara ya kula buibui, akiwaomba wafuasi wake wamwombee hatua iliyowaudhi wafuasi hao waliomuonya aache kuchezea maisha kwa kivuli cha kutengeneza maudhui

Baadaye Aq9ine alijibu mapigo kutoka kwa baadhi ya Wafuasi kwenye mitandao ya kijamii baada ya video hiyo kusambaa na kusema kuwa akipona, atapika na kula chura na nyoka

==========

Controversial Kenyan content creator Aq9ine has now been admitted to hospital in serious condition after reportedly eating a spider.

According to a post on his Instagram stories, the TikToker was admitted “after his chest started aching and fever was at 48℃.”

This comes after Aq9ine had only a few hours earlier, on Saturday, posted a video showing his face and hand swollen asking his followers to pray for him.

“Guys make your last prayers kabla niende. Mniombe tu bana mi naenda…Naskia ni kama sina uso, nimefura kila mahali. Nimedishi spider bana and this is happening to my whole face,” he said in the video.

He captioned the video as: “If this is my last video, it has been fun entertaining you and risking my life as well..I love risks coz we live a risk..We all gon die so f--k it..Much love comrades.”

Aq9ine later responded to backlash from a section of Kenyans on social media after the video went viral, saying he would remain unbowed; further even adding that, if he recovers, he will cook and eat a frog and a snake.

“Mnaboo bana..mnacatch juu ya mashida zangu why? Mimi nikikufa ntazikwa na mnisahau. Haufai kushtuka juu mimi si wenu.. Nikipona next ni chura na nyoka. Nlisema ntapika adi nikufe. I guess niko almost.. kwani ni kiswa hamradii nini??” He posted.

“Uzuri yangu sitawai wapostia Till munichangie pesa ya hospitali. Bora mnipromise nikikufa mtapull up kwa mazishi yangu Kenya mzima na msaidie familia yangu kupanga mazishi

Source: Citizen Digital
 
…………………………

Atafune pia mavi ya ndovu. Hakuna shida.
 
Kenyanzi huwa hawako nyuma kuutangaza utalii wa kiwendawazimu kama ule wa kuuza matako Mombasa
 
Back
Top Bottom