kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Zaidi ya Waangalizi 18,000 kufuatilia Uchaguzi Mkuu Kenya

    Zaidi ya waangalizi 18,000 na mamia ya waandishi wa habari wa kimataifa wamewasili Nchini Kenya kufuatilia Uchaguzi huo, idadi hiyo imetajwa kama kiashiria cha namna Uchaguzi huo unavyotazamwa Duniani kote - Uchaguzi huo una wagombea 16,098, wanne wakiwania kiti cha Urais na idadi inayobaki...
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tasnia ya Mpira wa miguu Kenya Vs Mpira wa miguu Tanzania

    Katika Afrika Mashariki ,watu wengi hupenda huu mchezo Kwa ranki za kimataifa Afrika mashariki kwa timu ni uganda inayoongoza,ila kwa vilabu bado soka la Tanzania lina ushindani mkubwa , uwekezaji na wafatiliaji wengi kuliko nchi zote.Kwa upande wa Kenya mambo bado si mazuri inahitaji nguu kubwa...
  3. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 US secretary of State Anthony Blinken aitakia Kenya uchaguzi wenye amani

    Huyu jamaa kumbe anajua Kenya ni nchi muhimu ukanda huu. Aitakia Kenya uchaguzi mwema.
  4. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tazama hapa pensheni ya ustaafu ya Rais wa Kenya

    Salaam Wakuu, Kweli Urais sio jambo la kitoto. tazama hapa malupulupu anayopata Rais wa Kenya akiondoka madarakani. malupulupu ya ustaafu kwa Rais wa Kenya
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Baada ya bei kushushwa, unga wa Ugali waadimika, Serikali yaonya wauzaji wanaouficha

    Siku 10 tangu Serikali ya Kenya kutangaza kushusha bei ya unga wa mahindi kuwa Ksh. 100 kutoka Ksh. 200 kwa kilogram 2, uhaba wa bidhaa hiyo umekuwa mkubwa katika maduka mengi. Wauzaji wengi hawana unga na wale wachache wenye unga huo ambao zaidi unatumika kupikia Ugali wanauza kwa zaidi ya...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya directs all banks to stop dealing with Chipper Cash, Flutterwave, saying they are unlicensed

    A day after Central Bank of Kenya (CBK), Kenya’s monetary authority, said that Chipper Cash and Flutterwave were not licensed to operate in the East African country, the regulator has directed all financial institutions to cease doing business with the two fintechs. The CBK’s bank supervision...
  7. Singo Batan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Bi. Martha Karua na siri ya Ushindi wa Urais wa Mzee Raila (Baba)

    Nchi ya Kenya inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais wa awamu ya 5 mapema mwezi Agosti 2022. Duru za uchaguzi zinaonesha kumpa nafasi zaidi Bwana Raila Odinga ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Idadi kubwa ya Wapiga kura wa Kenya, wana imani zaidi na kambi ya Mzee Raila sio kwasababu ya...
  8. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kununua umeme kutoka Ethiopia baada ya kusaini makubaliano

    Kenya itaanza kununua umeme kutoka Ethiopia. Hii inafuatia makubaliano ya power purchase agreement (PPA) kutiwa saini na nchi zote mbili. https://www.the-star.co.ke/news/2022-07-29-ethiopian-electric-power-to-become-second-largest-supplier-to-kenya-power/
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Bilioni 3.9 za Mgombea Mwenza wa Urais Kenya zataifishwa na Serikali

    Mahakama Kuu nchini humo imeruhusu Serikali kutaifisha Tsh. Bilioni 3.9 sawa na Ksh.200,000,000 za Mgombea Mwenza wa Urais wa Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua kwa kushindwa kueleza jinsi alivyozipata kutoka kwa Mashirika ya Serikali. Mnamo 2020, Mahakama Kuu ilizuia kuhamisha au kutumia fedha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania haipo katika nchi kumi tajiri Afrika, tumezidiwa hata na Sudan na Kenya

    Kwa mujibu wa ripoti ya IMF Tanzania haipo katika nchi tajiri barani Afrika. Kweli Tanzania ni ya kuzidiwa hata na Sudan wanaoshika nafasi ya 10 huku Kenya ikishika nafasi ya 7. Hii ni aibu Watanzania tujitafakari hili suala halikubaliki kwa nchi yenye rasirimali nyingi kama Tanzania.
  11. Bensoy

    JamiiForums Tanzania Swali kwa waliohitimu elimu ya sekondari Shule za Kenya

    Tunajua kule kenya ukihitimu form 4 unaenda moja kwa moja chuo kikuu. Je, kwa mwanafunzi aliyesomea kenya form four na anataka aje asome hapa tz anaweza kwenda vyuo vikuu vya hapa? Kwa wazoefu naomba kujua huo utaratibu ukoje.
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi ya Oman yaikana meli iliyopitia Tanzania kuleta gesi Kenya

    Ni hivi, meli imeandikisha kwamba imetoa gesi Oman, kisha ikashusha Tanzania, na kawaida Watanzania walivyo, wakapokea freshi kichwa kichwa tu bila umakini au ukaguzi, hiyo gesi inapitishwa mpakani na kuletwa Kenya, sasa Oman wametoa tahadhari na kusema hiyo meli haikutoka kwao na hiyo gesi sio...
  13. The Dictator

    JamiiForums Tanzania NALA MONEY yafungua ofisi yake ya kwanza Afrika jijini Nairobi, Kenya

    Kampuni ya NALA MONEY Nala ya kijana Mtanzania Benjamini Fernandes imefungua rasmi ofisi yake ya kwanza Afrika, mjini Nairobi nchini Kenya. Ufunguzi wa ofisi hiyo uliambatana na utiaji saini mkataba wa kibiashara kati ya NALA na benki ya Equity nchini Kenya ili kuwawezesha Watu kutuma fedha...
  14. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Tanzania (JWTZ) vs Kenya (KDF) military power comparison

    Habari zenu wana JF wenzangu. ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF wenzangu, leo asubuhi mimi na watanzania wenzangu tulikuwa tumealikwa katika birthday ya rafiki yetu mkenya, ambayo imefanyika nyumbani kwake huko Melvin hapa Johannesburg. Kama...
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Unafiki na siajabu Uongo Gesi ya Rostamu kuzuiwa Kenya!

    Nimesoma mahali kwamba sijui hiyo inayoitwa gesi ya Rostamu kuzuiwa kuwekeza nchini Kenya, kwangu mimi huu ni usanii na naweza hata kwenda mbali kusema kwamba labda ni Uongo mkubwa na kuna vitu hawasemi. Raisi Samia na raisi wa Kenya wanaelewana sana na hata walikuwa pamoja juzi kati Arusha na...
  16. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi yenye mzigo mdogo wa deni Afrika Mashariki kwa sasa

    Wale wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunakopa na tumekopa Sana msikilize huyu Mwamba vizuri ndio utaelewa kwanini Mungu alimleta Rais Samia wakati huu, Mkuu wa mkoa wa Simiyu akihojiwa na kituo cha redio cha E-FM amedadavua kwa undani Sana swala hili la deni la Taifa, RC Kafulila anasema...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya tumeweka ruzuku kwenye mafuta. Rais Museveni asema hiyo haisaidii yeye ataka Magari ya Umeme

    Wakati Tanzania tunapata unafuu wa Bei za mafuta kupitia ruzuku lakini Rais Museveni wa Uganda amesema ruzuku haisaidii lolote. Uganda wameanza Mfumo wa kuyabadili magari yaanze kutumia Umeme. Rais Museveni alikuwa akichangia nada kwenye kikao cha wakuu wa nchi za EA. Chanzo: ITV Habari
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Facebook yafuta maelfu ya machapisho kwa kukiuka sera zake kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kampuni ya teknolojia ya Meta imeondoa maelfu ya machapisho yanayowalenga watumiaji wa Kenya kwenye mtandao wake wa kijamii wa Facebook kwa kukiuka sera zake. Facebook imesema kuwa imeondoa machapisho zaidi 37,000 yaliyohamasisha chuki na 42,000 kwa kukiuka sera yake ya ghasia katika muda wa...
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana

    Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana ama wakati mwingine biashara za Tanzania zinazuiwa kabisa Kenya, ni kwa nini? Kwa anaejua sababu tafadhali
  20. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yathibitisha rasmi kuiogopa Tanzania katika biashara. Yakataa kuidhinisha ujenzi wa kiwanda cha gesi cha Rostam

    Kenya has frozen plans by a Tanzanian billionaire to set up a gas plant and storage facilities at the Mombasa port, threatening a trade spat between the two neighbouring countries. The Energy regulator has declined to clear the application by Taifa Gas, which is owned by tycoon Rostam Aziz...
Back
Top Bottom