kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Mnyororo wa thamani uko wapi; Malighafi za Tanzania au bidhaa zinazozalishwa Kenya?

    MNYORORO WA THAMANI UKO WAPI; MALIGHAFI ZA TANZANIA AU BIDHAA ZINAZOZALISHWA KENYA!? Je, ni kweli kilimo ni biashara kichaa!! Jibu ni hapana. Je, hakuna masoko ya Kilimo!? Jibu ni hapana, wapo watakaokushawishi kulima lakini mazao yakikomaa watakukwepa!! Hii ni sababu ya mnyororo wa thamani...
  2. J

    Rais Ruto aomba ahutubie kwa Kiingereza baadhi ya mawaziri waomba ahutubie kwa Kiswahili, Gesi ya Mtwara kufika Kenya!

    Ingekuwa enzi za mwendazake Maguful maneno yangekuwa mengi oooh hajui kiinglish.....oooh sijui nini lakin pale Ikulu leo waalikwa wamemuomba Rais Ruto azungumze kwa Kiswahili Ruto amesema Gesi ya Mtwara itapita Dar es salaam hadi Mombasa kisha Nairobi na hilo atalisimamia kikamilifu J3...
  3. S

    Kenya fails to strike oil in area claimed by Somalia

    Kenya has failed to strike oil and gas deposits in the coastal strip that has for years been at the centre of an international border dispute with neighbouring Somalia. Seismic surveys at Mlima-1 well, which is known as Block L11B in the Lamu Basin, revealed that the wells were dry, ending a...
  4. J

    Zaidi ya malori 600 yamekwama mpakani mwa Kenya na Tanzania kwa zaidi ya wiki moja

    ITV wametangaza kuwepo kwa foleni ya malori inayofika kilomita 7 kule Namanga yakisubiri kuingia Kenya Madereva wamelalamika sana na kusema hawaelewi sababu za msingi Waziri wa Biashara Namanga kuna tatizo gani? J5 ubarikiwe sana ==== Zaidi ya Malori 600 ya kusafirisha bidhaa kutoka...
  5. B

    THE FALL THAT KILLED A CITY: How the death of Kenya Bus Service brought forth disorder in Nairobi.

    How powerful people brought down the once organised Nairobi city transport system and the mess that followed. Enock Sikolia reports. Source : Kenyan Historian
  6. Ni ukweli kiasi gani kwamba ukiigusa Kenya umemgusa Biden na EU

    Katika mahojiano VOA Swahili amesikika mkenya mmoja akidai kuwa ukiichokoza Kenya umemchokoza Biden na Europe kwa ujumla ni baada ya kijana wa Museveni kuandika kwenye Twitter utani wa kuivamia Kenya. Naombeni ufafanuzi wa madai haya ya mkenya bandugu .
  7. Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

    Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto. Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si...
  8. Rais Samia kwenye daladala huko Kenya

    Habari wakuu, Leo nineona daladala imewekwa picha ya rais wa Kenya, William Ruto naamini Ruto ana ushawishi/supporters/fans/wannabes hapa Tanzania. Swali langu ni Je vipi Samia huko Kenya? Au Ni mwanasiasa gani wa Tanzania ana ushawishi huko?
  9. Kenya imejitosheleza kijeshi kukabiliana na mikwara ya jeshi la Uganda? Can KDF supress the Ugandan forces??

    Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ? Naona wazi kabisa huyu kijana wa Mu7 akiachiwa madaraka ananaweza kutesti mitambo. Tanzania walishamalizana nao mpaka leo hii...
  10. Nataka kujua mawili matatu kuhusu biashara ya nafaka mpakani sirali (mpaka wa mara na kenya)

    Habari za muda huu wakuu, Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF "Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari" Mwisho wa nukuu
  11. Kisa cha hoteli ya Treetops na Zulia la Blue kwenye kanisa la Mt. PHILLIP Kenya 🇰🇪

    Katikati ya mbuga ya wanyama ya Arbedare iliyopo nchini Kenya, kuna hoteli inayoitwa Treetops. (Pichani). Humo ndimo Eliza alitwaa kiti cha Umalkia wa Uingereza na kupata hadhi ya kuitwa Malkia Elizabeth II mnamo mwaka 1952 punde tu baada ya kupokea taarifa za kifo cha baba yake, King George...
  12. S

    Kenya Turns to Magufuli's Legacy Project to Revive BRT System

    KURA, on Friday, September 30, deployed a team of engineers to Tanzania to benchmark how the neighbouring country rolled out the project that improved their urban mobility. Led by engineer Jacinta Mwangi, KURA, which is tasked with developing city roads, toured the DART project to also learn...
  13. Mtanzania asakwa nchini Kenya kwa kumuua mwenzake kisa ugali

    Polisi nchini Kenya wanamsaka Mtanzania anayeshukiwa kumchoma kisu mwenzake katika eneo la uchimbaji dhahabu huko Narok katika mzozo wa kugombea bakuli la ugali. Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Narok Kizito Mutoro alisema wanaume hao wawili walikuwa wakipata mlo wa jioni baada ya kutwa nzima...
  14. Haya ndio malipo na faida za Mawaziri wa Kenya ikiwemo kulipwa Tsh Milioni 17.6 kwa mwezi

    Wakati Baraza la Mawaziri la Kenya lililoteuliwa wiki hii likisubiri kuidhinishwa na Bunge imebainika kuwa malipo ya mwezi kwa kila Waziri ni Ksh. 924,000 (Tsh 17,656,624). Malipo hayo yanajumuisha Mshahara Ksh 554,400 (Tsh. 10,593,974), posho ya nyumba Ksh.200,000 (Tsh. 3,821,780) na malipo ya...
  15. N

    Katiba ya kenya ina 'checks and balance', IGP anakuwa vetted na Bunge

    Dah yaani Rais anateua IGP ila inabidi akathibitishwe na bunge na kumbuka siyo bunge la kina msukuma, huko kuna upinzani wa ODM. Pamoja na matatizo baadhi waliyonayo hawa watu wametuacha mbali sana kiakili na kini thabiti, kilichobaki huku kwetu ni comedy, unafiki na propaganda za kiduwanzi...
  16. Rais Ruto: Kenya iko tayari kununua mafuta kutoka Urusi

    Ikiwa baadhi ya Nchi Duniani zimekata ushirikiano na Russia tangu vita yake dhidi ya Ukraine, Rais William Ruto amesema wanazingatia machaguo yote yaliyopo ili kupunguza bei ya Mafuta Nchini humo Amesema, "Sasa nitaendelea na ajenda ya kuhakikisha kuwa tuna uhusiano kati ya Serikali na Serikali...
  17. Serikali ya Kenya itaacha majengo mabovu yaue watu hadi lini?

    Kiambu Governor Kimani Wamatangi (in white helmet) at Kirigiti, Kiambu where a six-storey building under construction collapsed killing a mother and her two children in an adjacent apartment. Simon Ciuru | Nation Media Group Three people among them a mother and her two children died in...
  18. Kenya yaondoa ulazima wa kutumia SGR kusafirisha mizigo kutoka Mombasa

    Wafanyabiashara sasa wako huru kuondoa mizigo yao Mombasa na kutumia njia yoyote ya usafiri kusafirisha mizigo yao kutoka bandari ya Mombasa hadi Nairobi na maeneo mengine ya pembezoni. Hii ni baada ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (KPA) kutoa notisi ya kufutilia mbali marufuku ya...
  19. Kenya: Rais Ruto akosolewa kwa kuchelewa kutaja Baraza la Mawaziri

    Ukosoaji huyo umeanza kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Twitter, huku Mbunge wa Kathiani, Robert Mbui akidai Rais anajivuta sana kutangaza Serikali yake wakati kuna mambo ya dharula yanaikumbuka nchi hiyo Mbunge huyo amesema “Rais anatakiwa kuchagua Baraza la Mawaziri ili tuanze kushughulikia...
  20. S

    Wakati Tanzania fedha ikiwekwa benki inapigwa Tozo wenzetu Kenya watajaziwa zaidi. Hongera rais Ruto.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…