Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
William Ruto amemjibu Raila Odinga kuwa asithubutu kuingiza wananchi barabarani kwani Kenya inaongozwa kwa sheria sio maandamano.
Ikumbukwe kuwa Raila Odinga alihitisha maandamano ya kitaifa tarehe 20, jumatatu ijayo, sababu ikiwa ni ugumu wa maisha, kuporwa kwa kura wakati wa uchaguzi...
Ingekuwa poa sana kama mngefuatilia mwenendo wake. Maana katika michezo 19 ya Ligi yao pale Kenya mpaka sasa, tayari ameshatupia goli 19!! What a striker katika umri wake huo wa miaka 21 tu!!
Dogo ana nguvu, anafunga kwa miguu yote!! Imagine ameanza kucheza ligi kuu akiwa bado ni mwanafunzi wa...
Baadhi ya wafuasi wa Azimio wameshiriki katika maandamano yaliyofanyika katika Mji wa Kisumu wakipinga gharama ya maisha kuwa juu na kushinikiza Serikali ya Rais William Ruto kuchukua hatua.
Baadhi yao wakiwa wakiwa na masufuria, miko mabango yaliyoandikwa ‘Njaaaa!’ huku wakisikika wakiimba...
Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamemtembelea kiongozi huyo wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem Sect, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’ anayeishi Kaunti ya Bungoma ambaye anajinasibu yeye ni Yesu ambaye yupo kwenye mchakato wa kuiokoa Dunia.
Kumekuwa na Wakenya wengi...
Rais Kikwete alirudisha hela tuliyopigwa kwenye ununuzi wa rada na hela hiyo ikapelekwa kununua madawati.
Rais Magufuli alirudisha dhahabu iliyokuwa imefichwa Kenya kwa miaka mingi.
Rais Samia unashindwa nini kurudisha hela uliyodai wewe mwenyewe kuwa imefichwa China? Aliyekuwa DPP Biswalo...
Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu.
Kenya. Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’amelazimika kwenda kutoa taarifa polisi ili kuokoa uhai wake baada ya...
Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba.
Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake Kijiji cha Kolondo Mashariki mwa Homa Bay, ambapo inaelezwa lengo lake ilikuwa ni kumrudisha mke wake...
Kenya kuna uhaba wa dola za Marekani sahii tunauziwa dola moja kwa shiligi za kenya 137. Shilingi ya kenya ilikua shilingi 21 za bongo sahii ni 18.
Bongo dola ni pesa ngapi
Wafuasi wa Azimio katika Kaunti ya Migori wamefunga sehemu ya barabara wakilalamikia gharama ya juu ya maisha na kuunga mkono mwito wa Raila Odinga wa maandamano makubwa.
===============
Azimio supporters in Migori County block section of a road in protest over the high cost of living and...
Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo:
1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa ukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
Wizara ya Elimu nchini Kenya imeanzisha msako mkali dhidi ya kile ilichotaja kuwa kupenyezwa kwa ajenda ya LGBTQ shuleni. Kwa mujibu wa Waziri wa Elimu, Ezekiel Machogu aliwaambia maseneta siku ya Alhamisi.
==========
Kenya's education ministry has launched a crackdown on what it described as...
Nimeona uzi wa mdau mmoja Upepo wa Pesa nadhani akilalamika ni kwanini nala wawekeze USD 5 Million in Kenya wakati kampuni imeasisiwa na mtanzania?
Mods nawaomba msiunganishe huu uzi kwasababu nataka uwe na discussion tofauti.
Kuna kitu kwa wachumi na pia kwenye uwekezaji huwa tunakiita...
Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana kwa vizazi vijavyo, labda wanaharakati wa mashoga ni wale wanaume ambao hawazai au hawatazaa, kwasababu kitendo cha kuona mtoto uliyemzaa anakuwa shoga ni kitendo cha aibu sana, inafikia mahali nchi hiyo mashoga wanafungua forum yao inayoitwa...
Mbunge wa Viti Maalum CCM - Kagera Mhe. Neema Kichiki Lugangira, Anaandika;
Namshukuru Mhe. David Kihenzile, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kwa kunipa fursa ya kuwasilisha Mada kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika CAADPBR kwa Tanzania...
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?
Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni...
Mwanasiasa wa Kenya na kiongozi wa Chama cha Roots, George Wajackoyah amedai kuwa licha ya kuruhusiwa kuingia Tanzania siku mbili zilizopita akiwa mgeni wa CHADEMA, alinyanyaswa na mamlaka upande wa Tanzania.
Anadai akia Arusha alizuiwa muda mrefu kwa kile alichoambiwa kuna zuioa la yeye...
"Kwa Miezi hii Mitano tu nimefanikiwa Kupambana na Uchumi wa Kenya kwani Serikali iliyopita imetuachia Deni Kubwa la Urefu wa kutoka hapa Nairobi hadi Johannesburg" amesema Rais wa Kenya Ruto.
Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe
GENTAMYCINE sijashangaa sana kwani kuna Rais wa nchi moja (...
Rais wa Kenya, William Ruto na mkewe wametambulisha mfumo mpya wa kufanya maombi kwa ajili ya Nchi hiyo kwa kufunga kutokula na kufanya maombi mara moja kwa wiki ikidaiwa kuwa utaratibu huo pia unaweza kuanza kutumiwa na wafanyakazi wa Ikulu.
Utaratibu unatarajiwa kufanyika kila Jumatano ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.