KENYA - KANISA LABADILISHWA KUWA MSIKITI BAADA YA WAFUASI WA KIKRISTO KUSILIMU

Nami kama mleta mada sisemi mengi tupo laivu kiberaaaa. Tusisahau donations wakuu namba hio pichani😂😂
Screenshot_20230430-124825.png
Screenshot_20230430-124843.png
Screenshot_20230430-124903.png
Screenshot_20230430-124921.png
Screenshot_20230430-125007.png
Screenshot_20230430-125042.png
Screenshot_20230430-125124.png
Screenshot_20230430-125158.png
Screenshot_20230430-125214.png
Screenshot_20230430-125239.png
Screenshot_20230430-125311.png
Screenshot_20230430-125336.png
 
Mambo ya donation 😂😂😂 Ww bibi kizee em tuma pesa huko hayo mapicha picha yako hayawasaidii kitu zaidi ya pesa yako.
 
Nilipita jukwaa la Kenya asubuhi sana nikakuta hii mada, ikiwa na views 136, haina likes wala komenti.

Huyu aliyefuatia kaanzisha mada same like ikaungwa na ile ya adhuhuri but nothing again.

Ngoja tuone.
 
Nilipita jukwaa la Kenya asubuhi sana nikakuta hii mada, ikiwa na views 136, haina likes wala komenti.

Huyu aliyefuatia kaanzisha mada same like ikaungwa na ile ya hadhuhuri but nothing again.

Ngoja tuone.
Bibi kizee ameona kule haitoonekana na wengi akaamua ailete na huku 😂
 
Bibi kizee ameona kule haitoonekana na wengi akaamua ailete na huku 😂
Imesuswa na bado ipo Kenya News and Politics.

Ila ngoja tui_update kwa kukomenti ili ionekane, coz watu wameisusa hii thread 😁😀😅!
 
Mambo ya donation 😂😂😂 Ww bibi kizee em tuma pesa huko hayo mapicha picha yako hayawasaidii kitu zaidi ya pesa yako.
Kila Muislam ni ndugu ya Muislam mwenzake, kumbuka hilo na huna haja ya kutukumbusha wajib wetu.

Wewe unangoja nini kutoka kizani?
 
Nilipita jukwaa la Kenya asubuhi sana nikakuta hii mada, ikiwa na views 136, haina likes wala komenti.

Huyu aliyefuatia kaanzisha mada same like ikaungwa na ile ya adhuhuri but nothing again.

Ngoja tuone.
Uzuri ni kuwa ipo hapa na wengi wamei copy na ku forward kwenye mefia zingine.

Usiwe na wasi wasi, Allah Kadir.
 
Back
Top Bottom