Okrap JF-Expert Member Joined Jul 13, 2022 Posts 1,113 Reaction score 2,319 May 5, 2023 #1 Huyu mwanaume Paul Mackenzie anawapa wanawake huko Kenya usingizi wa usiku Nasikia najiandaa kuja bongo kuwapa usingizi.
Huyu mwanaume Paul Mackenzie anawapa wanawake huko Kenya usingizi wa usiku Nasikia najiandaa kuja bongo kuwapa usingizi.
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,815 Reaction score 10,717 May 5, 2023 #2 Akija Bongo wanawake wataisha ni kufukiwa tu.
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 5,184 Reaction score 6,499 May 5, 2023 #3 Uwezo wa kufikiria mdogo sanaa
Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 7,259 Reaction score 13,002 May 5, 2023 #4 😐😐
Killa Cam JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,930 Reaction score 8,205 May 5, 2023 #5 Mwambieni wanaume wa Tanzania tupo milimani tuna chapa shetani bakora😂😂
Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,916 Reaction score 6,526 May 5, 2023 #6 Iwe ni kweli au tetesi; katika haya maisha, shida/matatizo yakizidi, uwezo wa kutumia akili unapungua
Iwe ni kweli au tetesi; katika haya maisha, shida/matatizo yakizidi, uwezo wa kutumia akili unapungua