Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Wakuu,

Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana.

Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo sensitive sitaweza kuiweka hapa. Lakini inamuonesha mama akimchoma visu zaidi ya 100 mwanaye mwenye umri wa miaka 2.

Tukio hilo linaonekana kufanyika sebuleni, huku mama huyo akiwa uchi na kamkandamiza mtoto sakafuni. Wakati huo milango imefungwa na kuna wanaume wanaonekana nje wakijaribu kuvunja mlango waingie kuokoa, na mmoja akipiga kelele kumsihi mwanamke huyo asifanye unyama huo.

Sijajua kama yule ndiye baba wa mtoto au ni jirani, lakini taarifa zaidi zinasema mama huyo baada ya kutekeleza tukio hilo, alikula utumbo na figo za mtoto.

Chanzo kinadaiwa kuwa ni mgogoro wa kimapenzi kati ya mama na baba mtoto ambao umewafanya watengane.

Moyo wangu umevuja damu.

IMG_6931.jpeg

IMG_6932.jpeg

====

Olivia Naseren (27) mkazi wa Kitengela, Kaunti ya Kajiado, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua kwa kumchoa visu binti yake Glory Njeri (2) kisha kula sehemu ya viungo vya mwili wake kufuatia mgogoro wa kimapenzi uliosababisha kuvunjika kwa uhusiano kati yake na baba wa Mtoto.

Kwa mujibu wa ripoti ya Polisi, Mwanamke huyo alikuwa amejifungia ndani akicheza na mwanaye kabla majirani hawajasikia sauti tata zilizoashiria mambo kutokuwa sawa ndani ya nyumba hiyo.

Sehemu nyingine ya ripoti ya polisi inadai mwanamke huyo alianza kuvunja kwanza TV, kisha kumchoma visu mwanaye ambaye baada ya kufariki alikula pia sehemu ya utumbo na figo zake.

Hadi majirani wanafanikiwa kuvunja nyumba na kuingia ndani, tayari mtoto huyo alikuwa kachomwa zaidi ya visu 100, mwili wake unahifadhiwa kwenye Mochwari za moja ya hospitali iliyopo Kaunti ya Kitengela kwa uchunguzi wa kitabibu.

Chanzo: TV47
 
Shida yote iyo ni nyege. Kukosa muhogo ndio inapelekea kuua mtu kama huyo.

Inabidi tuje na adhabu tofauti kwa watu kama hawa sio kunyongq au kifungo cha maisha.

Akatwe vidole mdogo mdogo, siku nyingine achomwe na moto apitie mateso hadi kifo
 
Screenshot_20230425-101713.jpg

Mwanafunzi wa chuo kimoja kikuu nchini Kenya amemuua kinyama bintiye mwenye umri wa miaka miwili na kula viungo vyake vya ndani.

Msichana huyo mwenye umri wa miaka 24 alijifungia ndani ya chumba chake akiwa uchi wa mnyama na kumchinja kama mnyama bintiye “huku akinena kwa lugha na ndimi sisizoeleweka.”

Majirani wa mwanafunzi huyo wa somo la biashara aliye na misuli mithili ya mwanaume walisema walishtushwa na makelele ya mtoto huyo aliyekuwa anaomba msaada.

Majirani walidhania kwamba amevamiwa na majmbazi, ndipo wakamkuta mwanachuo huyo aliyetambuliwa kwa jina Olivia Kaserran akifanya kitendo hicho.

Hadi wanafanikiwa kuvunja mlango tayari Olivia alikuwa amemuua bintiye. Baada ya muda Polisi walifika na kumtia nguvuni.

NB: Video yake ipo ila sio busara kuiweka hapa.
 
Kuanzia anampiga visu mia na kula Figo na utumbo mtoto akaenda kufika hospital kweli?!!! Hi simulizi au tukio ni la ajabu
Tumeipokea Habari tutairekebisha wenyewe
 
Yani mgogoro umesingiziwa
Ni kichaa kabisa apimwe akili mana kuna binti namfahamu ni kichaa huku mtaani ana pigo hizo za kutaka kuua kwa kisu ila ni wale ambao ukimuona utadhani mtu kawaida kumbe ni kichaa
Serious,
Hakuna mwanamke timamu utajifungua kwa uchungu na afanye unyama kwa kiumbe kikichotoka mwilini mwake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Weka video wacha porojo sensitive ndo madudu gani

Back
Top Bottom