Russia kupeleka mbolea bure nchini Kenya

Hiyo haiwezi kuhalalisha Uvamizi wake nchini Ukraine lazima tusimamie haki siku zote
.
Screenshot_20230320-175502.jpg
Screenshot_20230324-091126.jpg
 
Hakuna mtu mbaya kwa kila kitu, na hakuna mtu mzuri wa kila kitu. Ubaya usemwe na uzuri usemwe
Hebu leo useme ubaya wa Marekani hapa...,,, kila siku Marekani ni Malaika...sijawahi kukusoma ukiuleze ubaya wa Marekani iwe kwenye Silaha yy ni bora kuliko, iwe kwenye Tech..yy ni bora kuliko...iwe kijamiii yy ni bora kuliko...haya leo hebu ueleze ubaya wake...

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Uzi unahusu uzuri wa Urusi na kugawa mbolea na nimepongeza. Uzi unaohusu ubaya wa Marekani nitachangia ubaya wake
 
Back
Top Bottom