kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Jiwe la dhahabu lilokamatwa Kenya na kurudishwa nchini kipindi cha JPM umma ulitangaziwa

    Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu? Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha...
  2. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya kuandamana kupinga ushindi wa Rais William Ruto

    Pamoja na rais wa kenya William Ruto kukejeli maandamano ya Azimio na kuwapiga dongo viongozi wa umoja huo kuwa wamepeleka watoto wao kwenye bunge la Afrika Mashariki, bado wananchi wameonyesha umoja na wao na msimamo kuwa wataandamana. Hapo kabla wananchi walionekana kumuunga mkono Rais wao...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania afungwa Jela Miaka 30 Kenya kwa Usafirishaji Haramu wa Watoto

    James Sengo Nestroy alikamatwa baada ya kubainika anajihusisha na Usafirishaji Haramu wa Watoto na Watu wenye Ulemavu ambapo aliamriwa na Mahakama, alipe faini ya Tsh. Milioni 563.8 au atumikie kifungo jela. Baadhi ya Waathirika wa Biashara hiyo wengi wakiwa ni Wenye Ulemavu (Raia wa #Tanzania)...
  4. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kenya lililopelekwa nchini Congo linatia aibu

    Kwema wakuu, Wengi tulijua tu kwamba jeshi la Kenya halitaweza hata kurusha jiwe kwa kundi hilo la waasi wa M23, kutokana na jeshi hilo kuliogopa vibaya kundi hilo. Sasa hali inazidi kuwa mbaya na kundi hilo linazidi kuteka maeneo mbele ya macho ya jeshi la Kenya huku Wakenya wakiangalia tu...
  5. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

    Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali. Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3)...
  6. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kenya nao waguswa, wamtakia Rais Samia heri ya siku ya kuzaliwa

  7. K

    JamiiForums Tanzania Tusione aibu kuiga katiba ya Kenya kwenye mwelekeo wa Katiba Mpya

    Watanzania tunachotaka ni katiba mpya kusaidia nchi. Katiba hii mpya ambayo majadiliano yameanza sio ya vyama vya siasa ni ya Tanzania nzima kwa ujumla. Tusiwe wazito kuchukuwa na kuiga wenzetu wa Kenya kwenye vifungu ambavyo tunajua kabisa vinafanya kazi vizuri. Vifungu hivi ni pamoja 1. Tume...
  8. Moronight walker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania General Muhoozi, mtoto wa Museveni kaitishia Kenya kwa mara ya pili

    Kwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye. Mara ya kwanza Museveni aliomba Wakenya wamsamehe kijana wake ila kwa sasa kurudi tena. Kwa sasa tweet hizi zimefutwa!
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dah! Tembea uyaone, sikujua barabara za Kenya zimeboreshwa kiasi hiki

    Mgala muue, haki umpe! Jameni aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta hata kama ana mapungufu mengine lakini kwenye hili nampa hongera za dhati. Nina miaka mingi sijasafiri, ila jana nimekatiza kutokea gatuzi za Magharibi hadi Nairobi, barabara zimetanuliwa na kuboreshwa aki ya nani mpaka...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa matajiri wanne Kenya unazidi Wakenya milioni 22 wakiunganishwa kwa pamoja. Tanzania vipi?

    Oxfam imesema matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26). Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karim Mandonga alivyopokelewa kwenye ofisi za Balozi wa Tanzania Nchini Kenya

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. John Simbachawene amekutana na bondia Mtanzania Karim Mandonga na kumpongeza kwa ushindi wake dhidi ya bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi katika pambano lililofanyika Jumamosi nchini Kenya.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Uganda nchini Kenya afariki dunia

    Balozi wa Uganda nchini Kenya Dr Hassan Waswa Ggaliwango amefariki dunia. Mwanafamilia wa karibu anasema kwamba Ggaliwango aliaga dunia katika Hospitali moja jijini Nairobi ambako alikimbizwa Alhamisi wiki iliyopita hali yake ilipozidi kuwa mbaya. Ggaliwango, ambaye amekuwa akipambana na...
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mandonga ametua Kenya, huyu jamaa huchekesha sana

    Jamaa amepata mashabiki Kenya kimzaha mzaha, tambo zake yaani, huwa namfatilia sana. Mandonga mtu kazi tuko nawe kwenye hili, uzalendo pembeni, ukipigwa ni kama umepiga. ================ Amekuja na ngumi inaitwa Sugunyo ambayo imetoka Ukraine kwa mlipuko wa mabomu. Tanzanian boxer Kareem...
  14. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Waamuzi 13 na Wachezaji 2 wasimamishwa kwa upangaji matokeo ya Ligi

    Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limesema uamuzi huo unatokana na ripoti za siri za uchunguzi zilizooneshai kuhusika kwa wachezaji na waamuzi hao katika shughuli za upangaji matokeo ya mechi. Kupitia taarifa yake, Katibu Mkuu wa FKF, Barry Otieno amesema "Katika juhudi za kulinda uadilifu wa...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania M23 wakutana na aliyekua Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, waendelea kuachia maeneo

    Wakubali kuachia mkoa wote wa Kaskazini mwa Kivu, kama tulivyosema amani DRC ni kwa hiari au shari lakini lazima ipatikane, hamna taifa ndani ya EAC litaruhusiwa kuwa na mavita vita ndani. ====== Leaders of the M23 rebel group met with regional peace facilitator, former Kenyan President Uhuru...
  16. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kujenga SGR kuelekea Kenya kwa kuwatumia wakandarasi wa Yapi Merkezi. Je, SGR ya Tanzania itaweza ushindani wa Kenya na Uganda?

    ..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya? ===== Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya Tanzania Serikali ya Uganda imechukua uamuzi huo wa kusitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mandonga kuzichapa Kenya

    Bondia wa Tanzania, Karim Mandonga a.k.a Mandonga mtu Kazi anatarajia kuzichapa na bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi. Pambano hilo litafanyika Jumamosi, Januari 14, 2023 nchini Kenya. Pambano hilo ni pambano lisilo na ubingwa
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania zatatua kero 23 na mahusiano ya kibiashara

    Tangu mama Samia aukwae uongozi aliamua kubadilisha taswira kabisa, alidhamiria kufuta zile chuki chuki na majungu zilizokua zimetamalaki kwenye awamu ya tano, watu walikua makatili hadi kutia viberiti vifaranga vya kuku. Kuongoza nchi kwa misingi ya chuki utazidi kuwafanya watu wako wawe...
  19. Belindahadventure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya after president Uhuru

    There is Doubt Kenya is doing well after previous regime. The economy is steadily and slowly improving and this should be something to be celebrated about. as a matter of fact through the 3 months the current president has been in office there has not been heard a single case of corruption...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania William Ruto wa Kenya moja ya wakopaji maarufu barani Afrika kwa sasa

    WILLY RUTO WA KENYA MOJA YA WAKOPAJI MAARUFU BARANI AFRIKA KWA SASA. George Michael Uledi. Kyela,Mbeya. Januari 9,2023. Moja kati ya Propaganda kubwa ambayo ilikuwa inaendelea kutembea jana katika Magroup mengi ya CCM na Magroup mengi ya diaspora ni kipande cha picha ya Rais wa Kenya Mh Ruto...
Back
Top Bottom