Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Ziara ya Rais Samia Kenya imewaibua wafahidhina makanjanja wasiojua chochote kuhusu umuhimu wa mahusiano mazuri kwa manufaa biashara na uchumi kati ya nchi mbili.
Wameibuka vihiyo wenye mawazo ya kijima wanaofikiri vita vya kibiashara na mahusiano mabovu katika ya Kenya na Tanzania yana faida...
Wanajamvi mwaendeleaje wanangu?
Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.
Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?
Je...
Wanangu hamjambo humu ugani? Leo nimeona bi mkubwa SSH alipohutubia mabunge ya Kenya maspika alikuwa wamevalia wigs. Je, kweli bado kuna haja ya waswahili kuvaa katani na kudai bado wako huru? Wanangu nisaidieni.
Pia hata majaji wa Kenya huvaa wigs. Kipindi cha Dr Willy Mutunga yalipigwa chini...
Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.
Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake.
Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote...
Salaam JF,
Hivi karibuni Mhe. Rais Samia alifanya ziara nchini Kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Kilichonishtua ni kuona namna haya mahusiano yanavyokwenda kwa kasi...
Mfanya biashara billionea wa Tanzania bwana Rostam Aziz leo akizungumza kwenye kongamano la wafanyabiashara kati ya Tanzania na Kenya kwenye ziara ya rais Samia amesema mazingira ya uwekezaji kati ya hizi nchi mbili hayako sawa.
Rostam amesema ni rahisi sana kwa Mkenya kuwekeza Tanzania lakini...
Nimepitia nyuzi nyingi sana naona wanazi wa kwenda zake wakianza kumponda mama Samia kwa kufungua mipaka ma Kenya.
Hoja zao zilizokufa:
1. Ooh Kenya iko juu kiuchumi watatuzidi tukiwapa gesi
2. Ooh Kenya wana viwanda vingi vyetu vitakufa kisoko.
3. Ooh Kenya watafaidika kuliko sisi n.k.
Sasa...
Analihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo.
=======
Rais Samia Suluhu Hassan
Nina furaha kubwa kupata nafasi ya kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Seneti na la Kitaifa Nchini Kenya - Tanzania tuna Bunge moja. Kwangu, ndio mara ya kwanza...
Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu. Ni hivyo hivyo kwa makabila mengine. Maana yake, hakuna ajira kwa M-TZ, labda kama ni kuzoa uchafu...
Hii ni habari njema kwa wakulima wa mahindi kwamba mzigo wao uliozuiliwa mpakani utaingia nchini Kenya ndani ya wiki mbili zijazo na hapatakuwepo na usumbufu tena.
Rais Uhuru amemtaka waziri wake kusimamia hilo.
Rais Samia amesema Kenya wana bahati wanaye Uhuru atakeyewaletea Uhuru wa kufanya...
Rais Uhuru Kenyatta amesema ikiwa Kenya na Tanzania zitashirikiana, ushindi utakuwa wa wananchi wa Nchi hizo mbili. Amesema Mataifa hayo yajiona kama Nchi ambazo zinashindana hazitaweza kupata Wawekezaji wakubwa
Ameeleza kuwa, Wananchi wa Mataifa hayo wakijiona kama ndugu na kushirikiana badala...
Rostam Aziz speaks out on the difficulty of Tanzanians investing in Kenya
WEDNESDAY MAY 05 2021
Mr Rostam Aziz in an interview with BusinessWeek PHOTO|SYRIACUS BUGUZI
Summary
Rostam was speaking at a high level business forum that was hosted by Presidents Samia Suluhu Hassan and Uhuru...
Industries goods za Tanzania huwa hazipati nafasi Kenya na huwa zinapigwa vita mbaya mno, tofauti na Tanzania ambako zimejaa bidhaa za Viwandani kutoka Kenya.
Nakumbuka bia za TBL zilipigwa vita sana Kenya, ilihali huku Tuska na Prisner zinazwa na hakuna aye zipiga vita.
Wakenya kutoka...
Rais Samia amefungua kongamanano la wafanyabiashara nchini Kenya ambalo limehusisha pia wafanyabiashara kutoka Tanzania.
Rostam Aziz ametaka uwepo wa uwiano mzuri wa kibiashara kati ya Kenya na Tanzania badala ya nchi moja kuwa msambazaji wa mali ghafi na mwingine akiwa muuzaji wa finished...
Ukienda kwa Museveni Uganda
Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.
Ukienda kwa Kenyatta Kenya
Huku utapata sana 'Madili' ya...
Nimekua napitia nyuzi za Watanzania tangu ujio wa Mama Samia jana hapa nchini Kenya, hamna hata uzi mmoja unaojadili au kudadavua huu ujio kitaalam, kwa minajili ya kuelewa dhamira ya mama kwenye jitihada zake za kuifanya Tanzania iamke tena. Kila Mtanzania analalamika tu, watu wameingiwa na...
TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA
Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika...
Uugwana ni vitendo, kitendo cha Serikali ya Magufuli kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya lilikuwa jambo la kinyama lililobeba aibu ya kuifedhehesha serikali ya Tanzania kwa fedheha ya kutia aibu ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi.
Sitaki kurudia kusimulia unyama ule...
Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign.
1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.