kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ime-deport mzungu mmoja aliyeshiriki vurugu huko Marekani katika Capitol riots ya Jan 6th

    Kuna mzungu mmoja mjinga kwa jina la Isaac Sturgeon alienda kufanya fujo katika Jan 6th capitol insurrection in Washington DC ambapo supporters wa Trump walienda kuzuia Joe Biden kuwa confirmed kama rais wa Marekani. Baada ya kufanya fujo na kushindwa kuzuia Biden kuwa confirmed kama rais mpya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa huu uzushi Serikali ipige marufuku mahindi kwenda Kenya, badala yake mahindi ya ziada yatumike kuzalisha vyakula vya mifugo

    Hivi karibuni kumetolewa madai na kenya kuhusu mahindi yetu kuwa na sumu kuvu. Swala la milipuko ya watu kuugua na kufa kwa kula mahindi yenye viwango vya juu vya aflatoxin limekuwepo nchini kenya tangu mwaka 1981. Mfano, mwaka 2004 wakenya 317 waliugua na 125 walifariki kutokana na kutumia...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A Grandma's Perspective On The Benefits of Going Solar in Kenya

    A Grandma's Perspective On The Benefits of Going Solar in Kenya
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mahindi tani 260 kutoka Tanzania yakwama mpaka wa Holili upande wa Kenya

    Takribani tani 260 za mahindi kutoka Tanzania yamekwama katika mpaka wa Holili upande wa Kenya yakihofiwa kuwa na sumu kuvu Meneja wa TRA kituo cha Holili amesema mahindi hayo yamepimwa upande wa Tanzania na kuonekana ni salama kwa chakuka lakini yapofika Kenya yalizuiwa na kuchukuliwa sampuli...
  5. Ikaria

    JamiiForums Tanzania "Unatutia aibu Gigy!" Watanzania wakerwa na tabia za Gigy Money huko Kenya

    Watanzania wengi katika mitandao ya kijamii hususan instagram wameonekana kukerwa na msanii Gigy Money kwa namna alivyokuwa akicheza densi isiyo ya kistaarabu huku ameshika bendera ya taifa mkononi, katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya. Kwenye video hio Gigy anaonekana akicheza...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Malori 25 ya Mahindi yazuiliwa kuingia Kenya

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akiwa na Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini (TBS) Yusufu Ngenya, pamoja na mkuu wa kitengo cha Afya ya mimea, katika mpaka wa Namanga, ambapo kwa pamoja wameonekana kushangazwa kwa kuzuiliwa kwa malori 25 ya shehena ya Mahindi kutoka Tanzania. Hata...
  7. J

    JamiiForums Tanzania RC Shigella: Hakuna mahindi yaliyozuiwa kuingia Kenya kupitia mpaka wa Horohoro, Jana na leo tumevusha tani 570

    Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigella amesema habari zilizoenea mitandaoni kwamba Kenya imezuia mahindi kutoka Tanzania hazina ukweli wowote. Shigella ambaye amefanya ziara ya kushtukiza mpakakani horohoro ameelezwa na afisa forodha wa hapo kuwa tangu tarehe 5 march hadi leo zaidi ya tani 570 za...
  8. Shark

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za kutoka Kenya zina usalama kweli? Kwa kiwango gani?

    Wakuu Kwema, Nimewaza Tanzania tunatumia Bidhaa nyingi sana kutoka Kenya. Za matumizi ya ndani ya Mwili wa Binadamu, mpaka matumizi ya nje ya Mwili wa Binadamu na matumizi mengine. Kuanzia Dawa za Meno, Mafuta ya Kupaka, Dawa za Viatu (KIWI), etc. Nawaza tu hivi vitu vina usalama gani kwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ryoba: Mwalimu Nyerere alikuwa tayari Uhuru wa Tanganyika uchelewe ili tupate pamoja na Kenya na alikuwa tayari Kenyatta awe Rais!

    Mwanafalsafa Ayoub Ryoba ambaye pia ni Mkurugenzi wa TBC amesema Mwalimu Nyerere alipenda zaidi Tanzania na Kenya ziungane na kuwa nchi moja. Dkt. Ryoba anasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kuchelewesha uhuru wa Tanganyika ili tupate pamoja na Kenya kadhalika alikuwa tayari kumwachia mzee...
  10. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania is to retaliate a maize ban by Kenya

    What next for Tanzania maize after Kenya ban? SUNDAY MARCH 07 2021 Trucks loaded with maize from Tanzania parked at the Namanga border today. Photo| Filbert Rweyemamu Summary Speaking from Namanga border, Agriculture ministry’s deputy minister Hussein Bashe noted that no official communication...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Zuio la mahindi kwenda Kenya tusiwatupie lawama Wakenya. Nchi yao inayo haki kulinda raia wake

    Inashangaza sana kuona watu wanailaumu nchi ya Kenya kuzuia mahindi toka Tanzania kuingizwa nchini humo. Watu wengi wanailaumu Kenya kana kwamba haina mamlaka ya kulinda raia wake na mipaka yake. Kama mahindi ya Tanzania au nchi nyingine yamepimwa mamlaka husika za Kenya na kuonekana yana sumu...
  12. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatakiwa iuze unga wa mahindi nje ya nchi, ni muda muafaka Sasa kulisimamia hilo tusililie kupeleka mahindi Kenya

    Kuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

    Kenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda. Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana aliyeshika mpini anajulikana. Nawatakia Kwaresma yenye baraka. Maendeleo hayana vyama!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Hatujapokea taarifa rasmi kutoka Kenya kuhusu kuzuiwa mahindi yetu ila magari yetu yamezuiwa!

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijapokea taarifa rasmi kutoka Kenya juu ya kuzuiwa kwa mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo. Bashe amesema wakipewa taarifa watachukua hatua stahiki japo mkuu wa TRA Namanga amethibitisha mahindi ya Tanzania kuzuiwa kuingia Kenya kwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

    Kati ya majirani zetu ambao wanapaswa wawe soko letu kubwa la bidhaa za kilimo na biashara nyingine ni Wakenya. Ila Kati ya watu ambao tumekuwa tukiishi nao Kama maadui kwa miaka sita Sasa ni Kenya. Nchi inayotaka kuinua wakulima na wafanyabiashara uwekeza kwenye diplomasia ya eneo lilipo...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

    Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imesema uchunguzi umebaini kuwa mahindi yayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya wakenya Wamesema mahindi hayo yana kiwango kikubwa cha mycotoxins, hasa aflatoxins na fumonisins ambazo yanajulikana kusababisha saratani Sumu hizo...
  17. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umoja wa Madaktari wa Kikatoliki Kenya watoa tamko la kupinga chanjo ya corona

    Umoja wa Madaktari wa Kikatoliki nchini Kenya umetoa tamko la kupinga utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kwa madai ya kulinda afya za watu na utakatifu wa maisha. Tamko hilo limesema wanaona kuna nia isiyo njema na upotoshaji katika zoezi zima la utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa...
  18. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imekuwa kimbilio la Wakimbizi kwa muda mrefu

    Wale malazy wanaopenda kuropokwa kwamba Wakenya wana roho mbaya na kwamba hatusaidii majirani, nataka leo mtazame hapa muone jinsi nchi yetu ndio kimbilio la wakimbizi kutoka Sudan Kusini na Somalia. Kenya na Uganda ndio nchi zinazopokea wakimbizi wengi Africa. Watanzania nyie ndio mna roho...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata njia mpya ya kudhibiti rushwa kwa Askari Polisi , nchi zingine ziige

  20. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - Kenya electric car company - opibus

Back
Top Bottom