Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Wanafunzi waliomalizi kidato cha nne wamelala katika viwanja vya Uhuru Park jijini Nairobi baada ya kukamilisha mitihani yao ya mwisho.
Hii ni baada ya kushindwa kuendelea na safari yao ya kuelekea nyumbani baada ya muda wa amri ya kutotoka nje kuwapata wakiwa bado hawajaondoka mjini humo...
Na Elius Ndabila
0768239284
Ni kweli kuwa lugha ya Kiswahili pamoja na historia yake kubwa, lakini ni ukweli kuwa inazungumzwa sana pwani ya Afrika Mashariki. Na Tanzania ndiyo nchi ambayo ni Mama wa Kiswahili.
Tulimushuhudia Rais wa awamu ya Tano akitumia kila jitihada za kukuza na kueneza...
Kenya is still miles ahead of Tanzania.
Jubilee insurance ksh4.09B profit
8 top insurance companies in Tanzania Ksh 900M
The Standard - Breaking News, Kenya News, World News and Videos
The Standard - Breaking News, Kenya News, World News and Videos
☰
Jubilee Insurance cuts costs to post Sh4.09...
- Mengi yanaendelea kuhusu chanjo ya covid ambayo ilitolewa ndan ya miezi michache tu na tukalazimishwa kuchanjwa wote bila kuuliza maswali, sasa taarifa nnayotoka kuskiliza apa ni kwamba achana na wale wa blood clotting, sasa hivi imepiga hatua zaidi izi taarifa zimfikie mbowe
Habari za muda huu ndugu zangu? Ukweli ushamba mzigo kumbe kenya wanabei ndogo ya simu kuliko aliexpress? Juzi nilikuwa nataka simu aliexpress nilikuwa na laki 8 niliona ngoja nitafute xiamon maana kunawatu walikuwa wanazisifia sana nilipata xiamo note 10 pro kwa bei ya laki 8 niliongea na yule...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Henley Passport index.
• Pasipoti ya Kenya ni ya 8 yenye nguvu zaidi barani Afrika.
• Pasipoti ya Tanzania ni ya 9 kwenye orodha.
✓Pasipoti ya Ushesheli🇸🇨 ni ya kwanza barani Afrika, ikifuatiwa na ya Afrika kusini🇿🇦.
Hivi jangwa kama Kenya linapata miti ya kuchoma makaa wapi? Tukiwaabia muwache wizi wa makaa ya somalia hamsikii. Haya somalia sasa wamechukua bahari lenu..Pwangu kapata pwanguzi!
--------
https://nation.africa/kenya/business/kenya-overtakes-somalia-main-exporter-charcoal-region-3361282
There is a reason why Uhuru is the best performing President in East Africa when it comes to infrastructure. There's no President both past and present in the entire region that can stand shoulder to shoulder with Uhuru in this sector. Below are top 20 list of ongoing NATIONAL PROJECTS in Kenya...
Kwenye nyanja mbalimbali kenya wametuacha sana lakini nini tatizo kubwa linalofanya muziki wa Kenya usifanye poa kuliko wa Tanzania kwenye mziki wao?
Tz pamoja na kutumia zaidi Swahili katika nyimbo zetu tofauti na majirani Kenya wenye kutumia lugha zaidi ya moja; bado angalau katika soko la...
Going by the report which CAG just released. I can only say that Uhuru's government was infant in the game of corruption compared to Magufuli's Govt. The only reason Kenya appeared to be more corrupt than Tanzania was because Kenyan media exposed all the dirty deals conducted by the government...
Tanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.
Baada ya UK kumwaga mboga, Kenya iliamua kumwaga ugali. Hawa wazungu wanastahili wakikupiga kofi kwenye shavu, usiwape shavu la pili, rudisha nawe kofi au ngumi ili wapate funzo. Sasa foreign minister wa UK na foreign minister wa Kenya wamepigiana simu na kukubali kusitisha vita hivi. Wataunda...
Marekani imetahadharisha Raia wake wasisafiri kipindi hichi cha #COVID19 kuingia Kenya kwa kuwa matukio ya kihalifu yameongezeka mara dufu.
Onyo limetolewa kuwa kuna ongezeko la ugaidi, utekaji watu, na utekaji magari pia masuala ya afya na ujambazi ambayo ni pamoja na kuvunjiwa nyumba.
Maeneo...
Muigizaji wa filamu ya ’12 years a Slave’ na mshindi wa tuzo za Oscar Lupita Nyong’o, ameonekana kuwajibu waliomponda kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya kwa kuposti picha akiwa katika hifadhi ya taifa ya Serengeti Tanzania.
Wengi walionekana kumkosoa kwa kulitangaza na kulisifia taifa...
Bodi ya Famasia na Sumu(PPB) ya #Kenya imesema watu 279 walioripotiwa kupata madhara baada ya kupata chanjo ya Astrazeneca 272 walipata nafuu baada ya muda mfupi
Na wengine saba waliokuwa katika hali mbaya waliropotiwa na kutibiwa ambapo wamerudi katika hali ya kawaida ndani ya muda mfupi
PPB...
Watu 279 wamepata madhara baada ya kuchoma chanjo ya COVID19 ya Astrazeneca huku watu 7 wakiwa na dalili za hatari na mmoja akiripotiwa kufariki.
Bodi ya Famasia na Sumu(PPB) ya Kenya imeanza uchunguzi wa kifo kilichoripotiwa na majibu yatatoka Ijumaa, Aprili 9, 2021.
Kaimu Mkurugenzi wa PPB...
Watu 15 wameripotiwa kufariki dunia nchini Kenya baada ya mabasi mawili kugongana maeneo ya Kizingo katika barabara Kuu ya Malindi kwenda Mombasa. Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Malindi
Kamishna Kutswa Olaka wa Kilifi amesema basi la Muhsin lilipoteza uelekeo na kuligonga gari la Sabaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.