Kenya suspends Somalia flights for three months

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
42,891
2,000
Kenya on Monday suspended flights from Somalia in the latest show that relations between the two sides have not thawed as announced last week.

kenya.jpg

A Notice to Airmen (Notam) on Monday indicated that flights departing for or arriving from Somalia will not be allowed for three months from May 11 to August 9 this year. Only humanitarian deliveries and medical evacuation flights will be allowed into the country, according to a notice by the aviation regulator, the Kenya Civil Aviation Authority (KCAA).

The Authority did not elaborate on reasons but suggested there had been a security directive from the government to restrict air traffic between the two countries. The decision means all chartered and scheduled flights to Somalia will not be allowed.

However, flights from Somalia passing through the Kenyan airspace to another destination will be exempted. The announcement was made just as Somalia’s President Mohamed Farmaajo was flying over Kenya to Uganda for the inauguration of President Yoweri Museveni for the fifth term.

Also exempted are military flights which are not within the jurisdiction of the KCAA.

The move, however, dents any latest efforts to revive relations between the two countries.
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
42,891
2,000
Kenya is a sort of US type --- tifu ikiisha kwa nchi moja anamwanzishia mwingine. Juzi mahindi yetu hayana sumu tena, leo Somalia kumenoga. ^Ukizoea kula nyama ya watu, huwezi kuacha^ ~ JKN
sasa wanafunga flights huku KQ ipo death bed?
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,967
2,000
sasa wanafunga flights huku KQ ipo death bed?

It doesn't matter to them as long as there is a pretense of exhibition of some power on their part. Poor African leaders. Divide & Rule at work. Kenya inatumika sana na Magharibi na Ulaya kudistebilaiz ukanda wetu usiwe na amani wala usiwe kitu kimoja. Hayo ni madhara ya kuwachagua viongozi wanaoangalia matumbo yao na yale ya familia zao na masponsaz wao.
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,783
2,000
Lazima tufinye hawa Shabab m*kende kwa miezi mitatu ili wajue nani baba yao ukanda huu. Mpaka wakuje kuomba msamaha wakitembea kwa magoti ndio tutaconsider normalising relations.
 
Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,844
2,000

Kenya na Somalia zimekumbwa na mzozo mkali wa mpaka baharini tangu mwaka 2014

Kenya imepiga marufuku safari zote kutoka nchi jirani ya Somalia wiki moja tu baada ya nchi hizo mbili kutangaza kurejesha mahusiano yao ya kidiplomasia uliodumu kwa miezi kadhaa.

Taarifa ya iliyotolewa na mamlaka ya anga ya Kenya imesema ni ndege tu za dharura za kitabibu na wale walio katika ujumbe wa masuala ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa wataruhusiwa kuingia kwenye anga ya Kenya.

Hakuna sababu iliyotolewa ya kuahirishwa huko, lakini Mkurugenzi wa mamlaka hiyo alikiambia kituo cha televisheni nchini humo kuwa maelekezo yalitoka serikalini.

Wizara ya mambo ya Nje haijatoa taarifa bado kuhusu marufuku hiyo.

Kenya na Somalia zimekumbwa na mzozo mkali wa mpaka baharini tangu mwaka 2014, wakati Mogadishu ilipopeleka kesi dhidi ya Kenya katika Mahakama ya kimataifa ICJ.

Chanzo: BBC Swahili
 
yorkshire

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
2,163
2,000
nilishasema hawa huwa wasengerema ...eti siku hizi wanajiita watetea maslahi ya waafrika
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,783
2,000
Hiv Somalia hawanaga majirani Zaid ya Hawa Manyang'au?
Ethiopia na Kenya ndio jirani zao pekee. Somaliland pia ni jirani ya Somalia kwa maana wamejitenga na Somalia. Kenya itafungua representative office in Somaliland hivi karibuni. Somalia ilianzisha vita wakati rais wa somaliland alipotembelea Kenya on an official state visit. Somalia lazima tuifunze adabu. Tulia uone jinsi mziki unavyochezwa.
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,783
2,000
Hiv Somalia hawanaga majirani Zaid ya Hawa Manyang'au?
By the way Ethiopia na Somalia wameshawahi kupigana vita moja kali sana kuwahi kutokea Afrika Mashariki. Somalia ndiye aliyeanzisha choko ila Ethiopia ndio ilishinda vita. Usione Somalia kwamba ni watu wazuri sana. Wanapenda vita kutoka zamani. Somalia huwa wanataka kunyakua Northern frontier district ya Kenya na Ogaden region ya Ethiopia kwa kisingizio kwamba maeneo haya ni ya jamii ya wasomali. Kenya na Ethiopia zimesign defence agreement ya kusaidiana kupigana na Somalia ikiwa Somalia watajaribu kunyakua maeneo haya.
 
carter

JF-Expert Member
Jan 23, 2009
3,559

Somalia wakiruhusu miraa kuingia kwao bado mtaendelea ku ban flights?
 
Babaguy

JF-Expert Member
May 19, 2017
487
250
By the way Ethiopia na Somalia wameshawahi kupigana vita moja kali sana kuwahi kutokea Afrika Mashariki. Somalia ndiye aliyeanzisha choko ila Ethiopia ndio ilishinda vita. Usione Somalia kwamba ni watu wazuri sana. Wanapenda vita kutoka zamani. Somalia huwa wanataka kunyakua Northern frontier district ya Kenya na Ogaden region ya Ethiopia kwa kisingizio kwamba maeneo haya ni ya jamii ya wasomali. Kenya na Ethiopia zimesign defence agreement ya kusaidiana kupigana na Somalia ikiwa Somalia watajaribu kunyakua maeneo haya.
Ethiopia and Somalia war was a real battle compared to wanamgambo shenanigans.They hoodwinked museveni and obote not to claim theft that occurred during and after removal of amin dada.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom