Mbegu, mayai ya uzazi biashara inayokua kwa kasi Kenya

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,007
9,873
Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya.

Kenya. Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya.

Ila kwa sasa imekuwa biashara inayokua kwa kasi kwa wenza wanaoshindwa kupata mimba na wanawake ambao hawajaolewa wakitafuta watoto kupitia njia ya urutubishaji wa mayai nje ya mwili (IVF), ambapo mbegu na yao hurutubishwa maabara na kuwekwa kwenye tumbo la uzazi.

Nchini Kenya, wanaume sasa wameamua ni wakati wa kuwa watoaji wa mbegu na wanawake wakichagua kuwa watoaji wa mayai.

Mtaalamu wa tiba aliwahi kutania kwamba, “hii itaepusha nafasi ya mwanamke kuchukua mtoa shahawa anayefanana na mwanaume waliyeachana au rafiki yake wa siri.”

Kwa mkupuo mmoja wa mbegu kwa mwanaume wa Kenya hulipwa kati ya Sh3,000 za Kenya (sawa na Sh65,000) hadi Sh10,000 (karibu Sh217,000).

Wanaume katika eneo la Afrika Mashariki kwa mfano Tanzania wanapata Ksh10,000 kama fidia. Ikiwa mwanaume wana sifa nzuri zaidi fidia hufikia hadi Ksh25,000 na Ksh30,000 (Sh651,000).

Kwa sifa chache ambazo mtoa shahawa kama vile kuwa na macho ya kijani au ya njano, ngozi nyeupe, mwili na nywele za kupendeza na akili nyingi, ndiyo sifa zinazoangaliwa kwa malipo mazuri.
 
Hapana hilo sijamaanisha mimi. Mimi namaana kuwa wanaume wa TZ tuje KE tuwasambazie dada zenyu mbegu kwa bei nafuu.
kwa kua huku hakuna wanaume sio? mbona wewe usije na ukoo wako wote muje kunyunyiziwa shahawa kutoka Kenya?
 
Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya.

Kenya. Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya.

Ila kwa sasa imekuwa biashara inayokua kwa kasi kwa wenza wanaoshindwa kupata mimba na wanawake ambao hawajaolewa wakitafuta watoto kupitia njia ya urutubishaji wa mayai nje ya mwili (IVF), ambapo mbegu na yao hurutubishwa maabara na kuwekwa kwenye tumbo la uzazi.

Nchini Kenya, wanaume sasa wameamua ni wakati wa kuwa watoaji wa mbegu na wanawake wakichagua kuwa watoaji wa mayai.

Mtaalamu wa tiba aliwahi kutania kwamba, “hii itaepusha nafasi ya mwanamke kuchukua mtoa shahawa anayefanana na mwanaume waliyeachana au rafiki yake wa siri.”

Kwa mkupuo mmoja wa mbegu kwa mwanaume wa Kenya hulipwa kati ya Sh3,000 za Kenya (sawa na Sh65,000) hadi Sh10,000 (karibu Sh217,000).

Wanaume katika eneo la Afrika Mashariki kwa mfano Tanzania wanapata Ksh10,000 kama fidia. Ikiwa mwanaume wana sifa nzuri zaidi fidia hufikia hadi Ksh25,000 na Ksh30,000 (Sh651,000).

Kwa sifa chache ambazo mtoa shahawa kama vile kuwa na macho ya kijani au ya njano, ngozi nyeupe, mwili na nywele za kupendeza na akili nyingi, ndiyo sifa zinazoangaliwa kwa malipo mazuri.
Hahaha. Story zingine bana sio lazima ulete huku.
 
Wanachama wa punyeto wanauliza vipi mbona hawakutangaziwa mapema kuwa mali yauzwa hela ndefu tu? 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom