luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Kama kichwa cha Habari kisemavyo hapo Juu.
Kenya imejumuisha wanachi wenye asili tofauti tofauti wakiwemo wazungu, wa asia, na wabantu wenyewe wazawa wa kenya ambao jamii kubwa ndiyo ilikuwepo wakat Kenya ina kuwa huru, lakin miaka ya 1990's kuendelea taifa hiki limekumbwa na wimbi la watu wenye asili ya somalia ambao uwepo wao kwa kiasi kikubwa umechangiwa na ukaribu na nchi ya somalia upande wa Kaskazini.
Wimbi ilo limezaa vizazi vilivyo lowea kenya lakini wana kizungumza kisomalia vizuri na wana ndugu upande wa somalia. Miaka ya 2000's kumeshuhudiwa ongezeko la viongozi kqdhaa ktk ngazi za uwakilishi wenye asili ya somaalia waki shika hatamu ikumbukwe hii tofauti kabisa na asili zingine zilipo jaribu kushika hatamu mbalimbali za uongozi haikuwa raisi sana kwao kwa sababu taifa ilo kwa kiasi kikubwa lilikuwa lina tawaliwa na jamii za waluo na Kikuyu, awali jamii za asia zilijaribu kupenya penya ktk uongozi lkn zilipata tabu sana ktk ngazi za chama hasa enzi za KANU
Hali ni tofauti kwa upande wa jamii ya kisomali wenye asili ya Kenya hawa wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupenya na kushika nafasi kubwa za juu za serikal kuu hii inatosha kusema ipo siku ukabila wa kenya utamalizwa na hii jamii ya kisomalia ambapo ipo siku taifa hili litapata kiongozi ambae hatokani na makabila yale ya asili ya kenya na kiongozi huyo atakuwa mwenye asili ya Somalia.