Kambi za wakimbizi za Kakuma na Daadab zitafungwa mwaka ujao

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Serikali ya Kenya imeamua kwamba hizi refugee camps zitafungwa by June 2022. Hizi refugee camps zina watu takriban 500,000. Akina Ilhan Omar ambaye ni house representative wa Minneapolis, Minnesota na Wasomali wengine mashuhuri kama Halima ambaye ni supermodel wamepitia kwenye hizi refugee camps. Story hii imefika CNN

 
Tukiitisha mchango tunaweza kulegeza haya masharti ya kufunga hizi camps? Like, tukatumia hawa refugees ku rise funds
 
Back
Top Bottom