kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Moja kwa moja kwenye mada... Vijana wengi wanamaliza vyuo kila mwaka ilihali wengine bado tuko mtaani hawajui hatima ya maisha . Kwa interview baadhi yao wanaitwa lakini nyingi ni kama danganya toto tu walio na iyo kazi wapo tayari wengine wanapoteza tu muda..n Sasa wandugu wewe uliwezaje...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi Wakurugenzi wangebadilishwa vituo vyao vya kazi

    Ni ushauri tu Uchaguzi umekwisha na maisha inabidi yaendelee huku kasi ya kujiletea maendeleo ikiongezeka. Rais Magufuli alisema hatafanya teuzi mpya kwa maRC, maDC, Wakurugenzi nk nami nakubaliana naye kwa 100% ila namwomba kwa Wakurugenzi angewabadilishia vituo vya kazi ili kuongeza kasi ya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CCM,Mrisho Gambo aanza kazi kwa kishindo kwa kununua nondo zenye thamani ya milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa sekondari

    Mrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha Tuliahidi Tunatekeleza
  4. JamiiForums Tanzania Serikali haiwezi kukwepa lawama ya kuadimika na kupanda kwa bei ya Saruji nchini. Waziri wa Viwanda ana kazi sana, kuna janga linatunyemelea

    Habarini wakuu na raia wenzangu wa taifa la chama kimoja, japo nna uchungu mkubwa, lakini kamwe siwezi kuwa mvivu wa kutumia kalamu yangu kuihabarisha jamii na taifa langu, nimeteseka sana kwenye hii nchi, na nimekuwa nikitamani kuona hii nchi siku moja inapiga hatua moja ama nyingine -...
  5. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya wataka wabunge 4 walioachishwa kazi Hong Kong kurejeshwa katika nafasi zao

    Umoja wa Ulaya umeitaka China leo kubatilisha mara moja sheria zake mpya zilizopelekea kupigwa marufuku kwa wabunge 4 waliochaguliwa, ikisema uamuzi huo ni pigo kubwa kwa utawala wa ndani wa Hong kong. Katika taarifa nchi ishirini na saba za Umoja wa Ulaya zimesema hili ni pigo kubwa kwa uhuru...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Trump amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper

    Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake Esper alipishana kauli na Rais Trump kuhusu namna Ikulu (White House) ilivyotumia Jeshi wakati wa...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Adelardus Kilangi aapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais Magufuli kutofanya mabadiliko watendaji wa Serikali, Mawaziri kubadilishwa

    Prof. Adelardus Lubango Kilangi amekuwa mtu wa kwanza kuteuliwa na Rais John Magufuli kwa kipindi cha muhula wa pili wa Uongozi wa Rias Magufuli. Prof. Kilangi ameteuliwa na kuapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ambapo amesema hii imeonesha Rais ana imani naye kwa hivyo ameahidi...
  8. JamiiForums Tanzania A-Z: Wazo langu la biashara lililokamilika kwa kila kitu linalohitaji Mtaji

    Bila ya kupoteza muda ningependa kuchukua nafasi huu kwenda moja kwa moja kwenye mada husika. Ninakwenda kufunguka na kueleza kila kitu hatua kwa hatua juu ya wazo hili lilipotokea na kwanini muda huu ni muafaka kulitekeleza Bila kificho nitaeleza kila kitu kinachohitajika na namna wazo hili...
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya utafutaji wa kazi nchi za Canada, Sweden na Norway kama Forklift Operator

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mi ni kijana wa Kitanzania nadhamira yangu kubwa ni kutaka kuthubutu kwenda nchi za ng'ambo kutafuta ridhiki. Nimebahatika kupata diploma in water supply and sanitation engineering pia baada ya msoto mrefu nikasomea Mambo ya kuendesha mitambo ijulikanayo kama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea huko Mtwara: Je, Serikali ilifanyia kazi ushauri wa Marekani?

    Ingawa hatupewi taarifa za kueleweka lakini yanayoendelea Mtwara kwa uchache yanafahamika. Kuna uwezekano mkubwa kabisa Tayari kile kikundi cha ugaidi kilichokuwa kinasumbua kule Msumbiji Ni rasmi Kiko Tanzania. Watu wa Mtwara wanaweza kuthibitisha hili. Miezi kadhaa iliyopita Serikali ya...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu ndugu zangu

    Habari za saa hizi ndugu zangu, Aise! Maisha ni changamoto kubwa sana kwangu kwa sababu ya kukosa hata kodi ya nyumba. Nilikuwa nasoma chuo Dar es Salaam. Chuo nimemaliza natafuta kazi. Elimu yangu: BA-ED (Bachelor of arts with Education). (Nimemaliza mwaka huu nasubiri transcript). Masomo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali jijini Dodoma

    Huu uzi ufutwe. Nilikuwa na kijana Namuombea kazi. Alikiwa ni kijana wa Dodoma Elimu yake Undergraduate Development Economics. Masters Degree in Finance and Investment. AMEMALIZA MASOMO NA AMEPATA KAZI. Asanteni kwa ushirikiano. 🙏
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nina cheti cha IT, natafuta kazi

    Naombeni msaada wana JF nina cheti cha IT pamoja na mambo ya Clearing and Forwarding nina leseni ya udereva Class D naombeni msaada hata kwa kujitolea nijifunze kazi.
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hongera Dkt. Magufuli kwa ushindi wa kishindo. Tuliyoyaona kwenye kampeni tujifunze

    Nichukue Fursa Hii kukupongeza Dokta John Joseph Pombe Magufuli kwa ushindi wa Kishindo wa 84% ya kura zote. Nikupe pole kwa uchovu wa hekaheka za kampeni kwa Siku 60 wakati pia ukitekeleza majukumu ya Urais. Niwashukuru pia wananchi kwa kukuamini na kukupatia awamu ya pili ya miaka mitano...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani ni muda wa kufanya kazi nyingine, siasa hailipi tena

    Namwamgalia Tundu Lissu namuona kama hana shida ya kuhangaika tena, apumzike ajilie mafao yake mdogo mdogo. Mbowe akifanya biashara itamtoa tu au hata kilimo. Zito Kabwe wewe sijajua una fani gani ila siasa sio dili tena, achana nayo kabisa. Godbless Lema wewe bora uendelee kutrade tu forex...
  16. JamiiForums Tanzania Unga wa kwenye bomba la kutolea moshi wa gari una kazi gani?

    Sijui mimi ni mshamba au vipi! Lakini ukweli ni kuwa inaonesha unga huo umekuwa dili, unatolewa sana. Sasa je, hakuna madhara kwenye gari lililotolewa huo unga?
  17. JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa na vp bado WhatsApp haifanyi kazi

    Tangu juzi nikiwa na VPN nilikuwa naweza kupata huduma ya mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp ila kwa leo imegoma. Kuna njia nyingine?
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni; Arusha Mjini: Mrisho Gambo (CCM) - Kura...
  19. JamiiForums Tanzania TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

    Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza sana. Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia. Mmenipa hasara kubwa sana. Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Shukrani za dhati kwa wote walioshiriki kusambaza taarifa za Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu tangu mwanzo hadi mwisho

    Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…