Uchaguzi 2020 Amemaliza Chuo hana kazi mwaka wa 4 anaishi Tosamaganga anasema anaipenda CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo Dar

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo.

Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.

Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.

Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
 
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza chuo Jordan morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwasababu imejenga fyover ubungo.

Kwahiyo ulitaka aandamane au?
 
Mkuu kwani kaandika wapi anatafuta UDC? Kwani siku hizi uteuzi unafanyikia mitandaoni?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Huyo best yako hana la maana zaidi ya kuimba mapambio ya Kuisifu CCM kila kuitwapo leo. Hana la maana zaidi ya hilo.

At least Pascal Mayalla anajenga hoja ila hawa best zako wengine akina Kawe aluminum, bia yetu na wengineo ni vichwawazi wanaotumika kama toilet paper tu.

Narudia tena hawalambi hata uDC.
 
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza chuo Jordan morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwasababu imejenga fyover ubungo.

Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.

Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.

Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.

Mkuu,

Unataka kufikisha ujumbe gani kwa hadhira?

Mantiki yako ni ipi hasa?

Kwamba kwa Maajabu yaliyofanywa na Awamu
ya Tano kuna msomi ana mahaba na Chama Cha
Mapinduzi?!

Kwamba CCM ni wanauza pombe kama chanzo chao cha Mapato?!

Mkuu,

Naomba nikupe darasa kidogo( elimu hii huilipii, Nakupa bure)

Chama Cha Mapinduzi kinaundwa na nguzo Nne.

1)CCM ina Wanachama
2)CCM ina Wakereketwa
3)CCM ina Washabiki
4)CCM ina Wapenzi

Hivyo usishangae kumwona mtu msomi anaisifia CCM kwenye kadamnasi, au kuvaa hizo CCM Gear ( kofia na skafu) Ni dhahiri kabisa yuko Kwenye kundi moja wapo hapo juu.

CCM wana maeneo ambayo wanayapangisha kwa raia, ukishapanga kwenye eneo la CCM na ukamalizana nao, CCM hawakuchagulii Biashara gani ya kufanya mahali hapo, uko huru kufanya biashara yeyote uitakayo wewe mhuska.

Mkuu, Inaonekana ni mfwatiliaji mzuri sana wa mambo yanayofanyika kwenye maeneo ya CCM Nchini, kwa mantiki hiyo ndiyo maana maeneo mengi ya CCM kuna pub na majiko ya kitimoto siyo kwamba ndiyo mapato ya CHAMA. USIPOTOSHE!

Naamini hapo ulipo unaikubali CCM kiana( in Chidi BenzVoice)

Shukrani sana
 
Yule alie andika tangazo la kutafuta kazi, akataja wasifu wake na kusema pia ana kadi ya CCM ni mwanachama wa enzi zile.

Kumbe kuna mwenzake uko muunganishe nae nafasi za kazi bungeni saivi ni nyingi sana sifa ni kujua kusoma na kuongea tuu
 
Mkuu,

Unataka kufikisha ujumbe gani kwa hadhira?

Mantiki yako ni ipi hasa?

Kwamba kwa Maajabu yaliyofanywa na Awamu
ya Tano kuna msomi ana mahaba na Chama Cha
Mapinduzi?!

Kwamba CCM ni wanauza pombe kama chanzo chao cha Mapato?!

Mkuu,

Naomba nikupe darasa kidogo( elimu hii huilipii, Nakupa bure)

Chama Cha Mapinduzi kinaundwa na nguzo Nne.

1)CCM ina Wanachama
2)CCM ina Wakereketwa
3)CCM ina Washabiki
4)CCM ina Wapenzi

Hivyo usishangae kumwona mtu msomi anaisifia CCM kwenye kadamnasi, au kuvaa hizo CCM Gear ( kofia na skafu) Ni dhahiri kabisa yuko Kwenye kundi moja wapo hapo juu.

CCM wana maeneo ambayo wanayapangisha kwa raia, ukishapanga kwenye eneo la CCM na ukamalizana nao, CCM hawakuchagulii Biashara gani ya kufanya mahali hapo, uko huru kufanya biashara yeyote uitakayo wewe mhuska.

Mkuu, Inaonekana ni mfwatiliaji mzuri sana wa mambo yanayofanyika kwenye maeneo ya CCM Nchini, kwa mantiki hiyo ndiyo maana maeneo mengi ya CCM kuna pub na majiko ya kitimoto siyo kwamba ndiyo mapato ya CHAMA. USIPOTOSHE!

Naamini hapo ulipo unaikubali CCM kiana( in Chidi BenzVoice)

Shukrani sana
Thread closed
 
Loo, sijasoma taarifa yenyewe, lakini nimevutiwa na kichwa cha mada ulivyoiweka mkuu 'superburg'.

Ni wazi una uwezo mkubwa wa kufikisha ujumbe kikamilifu katika maandishi machache.

Hapa JF siku hizi pamekuwa na kila aina ya uandishi. Mada zinapewa vichwa vya habari, aya nzima, lakini ukisoma habari yenyewe inayohusika unashindwa kujua mleta mada aliunganisha vipi yaliyo kwenye mada na kichwa chake cha habari..
Kwa hili nakupongeza kwa dhati kabisa.

Baada ya kuandika hayo, nisema hapa kwamba kwa vile sijaisoma mada yako, inawezekana kabisa huyo jamaa anazo sababu zake nyingine za kuishangilia CCM mbali ya hizo 'flyover' za Ubungo!

Au pengine, hiyo ndio njia yake ya kujikwamua na hali inayomkabili. Ana matumaini kwamba huenda sifa hizo anazotoa zitawafikia anaowasifu na hapo ndipo juhudi zake zitakapoonekana.

Hali ilivyo sasa hivi nchini, kila mtu anapambana kwa aina yake, na wanaoonekana kufanikiwa zaidi ni waimba nyimbo za CCM.

Ngoja nikakusome mzimamzima.
 
Mkuu,

Unataka kufikisha ujumbe gani kwa hadhira?

Mantiki yako ni ipi hasa?

Kwamba kwa Maajabu yaliyofanywa na Awamu
ya Tano kuna msomi ana mahaba na Chama Cha
Mapinduzi?!

Kwamba CCM ni wanauza pombe kama chanzo chao cha Mapato?!

Mkuu,

Naomba nikupe darasa kidogo( elimu hii huilipii, Nakupa bure)

Chama Cha Mapinduzi kinaundwa na nguzo Nne.

1)CCM ina Wanachama
2)CCM ina Wakereketwa
3)CCM ina Washabiki
4)CCM ina Wapenzi

Hivyo usishangae kumwona mtu msomi anaisifia CCM kwenye kadamnasi, au kuvaa hizo CCM Gear ( kofia na skafu) Ni dhahiri kabisa yuko Kwenye kundi moja wapo hapo juu.

CCM wana maeneo ambayo wanayapangisha kwa raia, ukishapanga kwenye eneo la CCM na ukamalizana nao, CCM hawakuchagulii Biashara gani ya kufanya mahali hapo, uko huru kufanya biashara yeyote uitakayo wewe mhuska.

Mkuu, Inaonekana ni mfwatiliaji mzuri sana wa mambo yanayofanyika kwenye maeneo ya CCM Nchini, kwa mantiki hiyo ndiyo maana maeneo mengi ya CCM kuna pub na majiko ya kitimoto siyo kwamba ndiyo mapato ya CHAMA. USIPOTOSHE!

Naamini hapo ulipo unaikubali CCM kiana( in Chidi BenzVoice)

Shukrani sana
Eeenh, hili ndilo darasa?

Basi tumekwisha, kama mambo yenyewe ndiyo haya.
 
Back
Top Bottom