Hata bado hajaanza kazi ameanza na kauli hii ya kipuuzi. Hivi ni nani huwa anawaroga ubongo viongozi wa Afrika?

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amevionya Vyama vya Upinzani kuwa havitapata nafasi, huku akihoji mantiki ya kuipinga Serikali. Aidha, amevisihi Vyombo vya Habari na Watetezi wa Haki za Binadamu kushirikiana na Serikali, vinginevyo watakuwa wanatumikia watu wengine.

Chanzo: swahilitimes

Na kilichoniuma zaidi Mzukulu ni kuona Makamu wa Rais Mama Samia na Rais Mstaafu Kikwete wamepoteza muda wao kwenda huko kwa Mpuuzi.
 
Ndio maana maraisi walituma wawakilishi! Waliogopa kushuhudia bomu.
J K aliongea kwa hekima kweli.
Ndayi hana tofauti (in deep view) na viongozi waliotokea msituni
 
Usikute mweka mada ulichokiandika hapa ni ujinga! Kwa maana hii.. wewe haujui yaliyo sirini ktk viti vya urais ila wenyewe wanaelewa in deep kamaanisha Nini..!
Kwa maana ktk jicho la kawaida unaweza sema ni kauli ya kawaida ila ktk ulimwengu wa siasa za ndani zaidi ya kile unachokiona ni kauli ya kujihami!!

Vitu vyengine tusiwe tunaropoka tu tukazani walioongea wameviropoka ila kumbe wanamaana ambayo sio wote wanatakiwa kuvielewa bali wahusika..
 
Mkuu unausingizi au umelala na mvinyo kichwani rudi kitandani ukiamka njoo soma ulichoandika.
 
Usikute mweka mada ulichokiandika hapa ni ujinga! Kwa maana hii.. wewe haujui yaliyo sirini ktk viti vya urais ila wenyewe wanaelewa in deep kamaanisha Nini..!
Kwa maana ktk jicho la kawaida unaweza sema ni kauli ya kawaida ila ktk ulimwengu wa siasa za ndani zaidi ya kile unachokiona ni kauli ya kujihami!!

Vitu vyengine tusiwe tunaropoka tu tukazani walioongea wameviropoka ila kumbe wanamaana ambayo sio wote wanatakiwa kuvielewa bali wahusika..

Ni kweli Mimi nimeandika Ujinga ila Wewe umejibu Upumbavu kama vile ambavyo Upumbavu wako huo huo unao na Umekukomaa mpaka Damuni.
 
Back
Top Bottom