Natafuta kazi ila sina aina yoyote ya ujuzi

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Nipo napatikana Mara - Musoma kwa Mawasiliano zaidi nicheck 0674615883 nyote mnakaribishwa

NOTE: Nikisema sina ujuzi wowote nifaamike hivyo mwenye kuniitaji ili niwe napata angalau ugali wangu wa kila siku anione, nipe kazi yoyote ila sio ya wizi,ujambazi wala utapeli, 🙏🙏
 
Nipo napatikana Mara -musoma kwa Mawasiliano zaidi nicheck 0674615883 nyote mnakaribishwa

NOTE: Nikisema sina ujuzi wowote nifaamike hivyo mwenye kuniitaji ili niwe napata angalau ugali wangu wa kila siku anione, nipe kazi yoyote ila sio ya wizi,ujambazi wala utapeli,
Una umri gani na jinsia gani?
 
ujuzi ni nini?

kama ujuzi ni kujua kitu ina maana wewe hakuna unalolijua?

Na kama hakuna unalolijua sasa unaomba kazi ambazo hujui ili kuharibu kazi za watu?

Na kama kweli hujui je hufundishiki ?, na kama unafundishika kwanini badala ya kuomba kazi usiombe kufanya shughuli ya bure ili upate ujuzi (beba zege kwa mafundi nyumba, beba spana n.k.)
 
ujuzi ni nini ?
kama ujuzi ni kujua kitu ina maana wewe hakuna unalolijua ?
Na kama hakuna unalolijua sasa unaomba kazi ambazo hujui ili kuharibu kazi za watu ?
Na kama kweli hujui je hufundishiki ?, na kama unafundishika kwanini badala ya kuomba kazi usiombe kufanya shughuli ya bure ili upate ujuzi (beba zege kwa mafundi nyumba, beba spana n.k.)

Una utofauti gani na kile kiumbe chenye Maskio marefu Mawili na Mkia mrefu.. (mboga ya wahehe)
Asante sana
 
Nipo napatikana Mara -musoma kwa Mawasiliano zaidi nicheck 0674615883 nyote mnakaribishwa

NOTE: Nikisema sina ujuzi wowote nifaamike hivyo mwenye kuniitaji ili niwe napata angalau ugali wangu wa kila siku anione, nipe kazi yoyote ila sio ya wizi,ujambazi wala utapeli, 🙏🙏
hata kupasua mbao au kukoroga mchanga hujui? haiwezekani bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom