kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania MOROGORO: Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi sita

    MOROGORO :- Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi sita Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasimamisha kazi watumishi sita akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA), Tamimu Katakwemba pamoja na Afisa Maji Bonde la Wami-Ruvu, Simon Ngonyani kwa tuhuma...
  2. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwita Waitara akagua kazi za ujenzi mkoani Mara

    Leo amekagua sehemu mbali mbali mkoani Mara ambazo zinafanyiwa ukarabati baada ya kuharibika sababu ya Mvua. Huyu ndie jembe aliesambaratisha iliyokuwa ngome ya Chadema Tarime. Bigup Waitara piga kazi
  3. JamiiForums Tanzania Neno "HAPA KAZI TU" Layeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

    Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO? Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
  4. JamiiForums Tanzania Kwa upande wako unaweza toa Tsh milioni 2 upate kazi ?

    Habari yenu wana jf. Ikiwa imetokea nafasi au fursa ya kupata kazi serikalini lakini ukaambiwa utoe pesa huyo na ukahakikishiwa utapata kaz, vipi kwa upande wako ungetoa?
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

    Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana. Asema lengo la Serikali ni kutumia vyanzo vyote ili mradi vilete umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa mwananchi Asema umeme...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nina Shahada ya Sosholojia, natafuta kazi

    Habari za wakati WanaJF, Kwa majina naitwa Annette nina shahada shahada ya sosholojia kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma. Nimekuja mbele yenu nikiomba kazi yoyote Ile hata nje ya Taaluma yangu au sehemu yoyote ile ya kujitolea nipo tayari. Natanguliza shukrani zangu.
  7. JamiiForums Tanzania Austria: Waziri wa Afya ajiuzulu, asema ni kwasababu ya kufanya kazi kupitiliza na uchovu

    Waziri wa Afya wa Austria, Rudolf Anschober ametangaza kuachia wadhifa huo kwasababu ya uchovu, akisema miezi 15 aliyokuwa ofisini imeonekana kama miaka 15. Anschober (60) aliyeteuliwa Januari mwaka 2020 na kuongoza Taifa hilo katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona amesema Taifa linahitaji...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Laboratory Assistant

    Mimi ni mtaalam wa maabara (lab assistant), mwenye uzoefu wa miaka 3 na kazi, natafuta kazi katika kanda ya kaskazini, naishi Arusha. Vigezo vyote ninavyo pia nina lessen ya kudum (ERP) nahitaji mtu aliye serious na kazi yake mwenye kufuata ushauri wa mtaalamu. Namba ya simu 0625318808
  9. JamiiForums Tanzania Aibu yetu: Karne ya 21 bado unaamini maendeleo ni imani pasipo kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuwa na nidhamu ya pesa na muda

    Karne ya 21 bado unaamini maendeleo ni imani pasipo kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuwa na nidhamu ya pesa na muda. Aibu yako! Matokeo ya kutafasiri maendeleo kama imani utaishia kuchinja albino, kuchanjwa chale makalioni, kulala makaburini, kuvaa hirizi kiunoni, kujisaidia haja kubwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mbona Profesa Assad muda wake wa kuwa GAG ulipoisha hakuteuliwa kufanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa?

    Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa. Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za kujitolea

    Tanzania Rural Empowrnment Organization-TAREO, Ni Asasi isyo kuwa ya kiserikali yenye makao yakee makuu Moshi, Kilimanjaro. Asasi hii inafanya kazi na jami hususani za vijijini. Tunapenda kutangaza nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu ,sita au mwaka mmoja (3-12 ) katika...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Kufuatia ripoti ya CAG, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi asimamishwa kazi

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali. =============== DEVOTHA MDACHI =============== "Mimi naweza kuwekwa Pembeni...
  13. JamiiForums Tanzania IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  14. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia ni mfuasi wa sera ya kazi na bata?

    Habari wa jf wenzangu, Kwa mujibu wa hotuba ya mheshimiwa rais ya tarehe 6April2021. Nmesikia mama amezungumza mengi lakini muelekeo wake najaribu kuuhusianisha na kaulimbiu ya mzee wa dakika 90,bwana Membe, Je,kwa mujibu wa hotuba ile ni kweli inawezekana BCM nae akawa mshauri maana...
  15. JamiiForums Tanzania CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali. Kazi ya UDHIBITI hajaifanya ndio maana kuna madudu kibao kwenye ripoti yake, atimuliwe

    CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali. Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni...
  16. JamiiForums Tanzania CAG isiwe na kazi ya kutuletea taarifa ya majizi na pesa waloziiba serikalini ni bora watafute mbinu ya kuzuia wizi, hili pendekezo

    Ndugu wana jamii Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji. Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
  17. JamiiForums Tanzania Huu wote ni mpango wa kulegeza vyuma,Rais Samia bado hana slogan lakini si mbaya akichukua ile ya kazi na bata

    Habari wakurugenzi..! Kiukweli mama mpaka sasa hana slogan au msemo au kauli mbiu yeye kama rais .Maana yule alikuwa na hapa kazi tu 2015 na Kazi Iendelee 2020 .Vipi mama akiamua kuchukua ile "kazi na bata" mkamuazima mara moja mpaka miaka yake itakapokwisha 2025. Mama kweli amekusudia...
  18. JamiiForums Tanzania Ipo timu ya Pro CCM ndani ya JF isiyoyumbishwa na muda, Rais Samia chapa kazi

    Hii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini. Ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose. Timu hii itasimama na CCM katika hali zote. Timu hii hupewa majina mengi. Timu hii inasimamia uzalendo. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Maombolezo yamekwisha leo, kuanzia kesho wananchi wote nendeni mkachape kazi

    Waziri mkuu mh Majaliwa ametangaza hitimisho la maombolezo ya msiba wa hayati Magufuli na kwamba kuanzia kesho wananchi warejee katika shughuli za kawaida na kuchapa kazi. Chanzo: ITV habari Ukinizingua Nakuzingua!
  20. H

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yoyote hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu

    Maendeleo yoyote yawe binafsi au ya nchi hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu. Heshima katika kazi ndio msingi wa kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu. Watu wakifanya kazi kwa nguvu na kwa bidii wanazalisha mali. Wakizalisha mali, uzalishaji wa taifa unaongezeka, ukiongezeka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…