kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Anita Makirita

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mapendekezo ili Kupunguza vitendo vya unyanyasaji kwa wadada wa kazi za ndani (House Girls)

    Habari wanajukwaa Tumeskia vitendo vya kuogofya vya wadada wa ndani, kuumiza hadi kuua Watoto, ushirikina n.k. Ila pia Kumekua na Habari nyingi za vitendo vya unyanyasaji vya wafanya kazi wa ndani, wengi wanapewa kazi nyingi, maslahi hafifu, kupewa mimba na ma boss wao kisha kukataliwa hizo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tuliwambia hii Nchi bila wapinzani kuitetea ni kazi bure. Mmeona wenyewe. Msilie sasa kaeni kwa kutulia.

    Ni miaka mingi sana wapinzani tumekuwa tukipigania maslahi ya taifa kwa udi na uvumba. Kwa miaka yote tumekuwa na matokeo chanya ikiwemo kuzipinga bajeti nyonyaji kwa wananchi. Ilifika mahali bajeti pendekezwa za Mbadala kutoka kambi ya upinzani Bungeni zinachanwachanwa kwenye makamera ili...
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anaishi maisha na kazi ya ndoto yake hapa Tanzania

    Hivi kwa Africa kweli kuna mtu anaishi kwenye ndoto zake yaani kama ulikuwa unatamani kuwa pilot ukawa pailot. Sijui hii ipo kweli mimi nilikuwa nandoto kuwa kapteni wa meli daah nikikumbuka hii ndoto wakati namuona mjomba zamani akija nyumbani basi nikawa nasema mimi nitakuwa kama wewe...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Safaricom kumlipa jamaa kipofu KSh6M kwa kumnyima kazi

    Mahakama Kuu jijini Nairobi imeamuru kampuni ya mawasiliano ya Safaricom kumlipa mwanamume kipofu KSh 6 milioni kwa kukosa kumuajiri. Wilson Macharia alituzwa kima hicho cha pesa baada ya kushtaki Safaricom kwa kile alitaja kama kukiukwa kwa haki zake. Macharia alisema alinyimwa nafasi ya...
  5. David M Mrope

    JamiiForums Tanzania Umakini katika kazi ni bora zaidi ya ubunifu

    🌺Hivi ulishawahi kuwaza kama inawezekana kwa muuza genge la nyanya, vitunguu, kabichi n.k akapata mafanikio zaidi ya mwenye duka hata la nguo au lingine lenye hadhi kubwa? 🌺Hapa ishu ni umakini. Katika kile kidogo ulichonacho kama utajitahidi kukipa umakini mkubwa unaweza ukawazidi wengi wenye...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba

  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo

  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi mashambani na viwandani

    Habari wakuu Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 nipo dar Kwa miaka 10 sasa nimekuwa nikijishughulisha na Kazi za ukarani (tally clerk),operation manager, c&f agent na mtunza kumbukumbu za maghala katika makampuni mbali mbali Kutokana na mifumo ya Kazi nilizowahi kufanya nimekuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi kazi za Mtibwa Sugar ni kweli, au utapeli

    Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli
  10. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Hii ni Orodha ya Kazi zilizodharaulika mwanzoni lakini zikiwa na pesa nyingi

    Miaka michache nyuma kabla ya ajira kuwa kitendawili (kuwa adimu)kuna kazi hazikupendwa kabisa japo zilikuwa na pesa nzuri sana. 1.MAMA NTILIE/BABA NTILIE. Kwanza ilionekana kazi wanayofanya watu duni wasiokuwa na elimu. Wasiokuwa na kazi walikuwa tayari kukaa nyumbani kuliko kufanya kazi hii...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rombo: Aweso amsimamsha kazi meneja RUWASA

    Waziri wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Usambazaji wa Maji vijijini (Ruwasa), Mhandisi Nevard Kihaka kwa kumdanganya na kumpa taarifa za uongo juu ya upatikanaji wa maji katika vizimba 14 Kati ya 16 jambo ambalo sio kweli. Aweso amemsimamisha kazi jana...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya wapelekwe kwenye vituo vyao vipya vya kazi

    Habari wa na jamvi, Umekuwa na shida kubwa katika Halmashauri zetu kuhusisna na waalimu wanaoripoti kutokupelekwa vitu vyao vipya wanaambiwa waende wenyewe. Ikumbukwe walimu hawa ni wageni katika mazingira haya. Kuna mmoja kakoswa kosa kutafunwa na mamba alipokuwa akivuka ili kukifuata kituo...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ombi la kazi yoyote nimehitimu wa Diploma ya Procurement

    Umri miaka 25 muhitimu wa diploma ya procurement nimefanya kazi miaka miwil na nusu stationery, secretary, reception pia sales naweza kufanya kazi yoyote.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi jifunzeni kutendea kazi hekima za wazee wakiwa bado hai, Ni aibu na unafiki kusubiri kumpongeza Mzee Warioba msibani

    Wakati huu wapo hai, wanaongea hamuwasikilizi, wanashauri mmeziba masikio, wanapendekeza lakini mmeshupaza shingo! Mtapata faida gani kutokusikiliza hitaji LA watu! Viongozi wakuu mnachokifanya ni kama dereva na tairi! Sisi wananchi ni matairi hivyo tunapitia msoto mkali sana kuwabeba nyinyi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mwajiri kwenye Utumishi wa Umma atakubali cheti changu cha elimu ya juu nilichokificha

    MTU ANAHITAJI MSAADA WA MAWAZO, NA CASE YAKE NI KAMA ILIVYO HAPA Kama nilimaliza Degree yangu 2014, kisha mwaka 2016 nikasoma kozi ngazi ya cheti, na mwaka 2019 nikatumia elimu ngazi ya cheti kuomba kazi kupitia sekretariate ya Ajira, nikafaulu ule usaili na kupata kazi, na sasa nalipwa kama...
  16. DustBin

    JamiiForums Tanzania DC mpya Gairo una kazi kubwa ya kurejesha tabasamu kwa wananchi

    Nawasalimu kwa jina JMT Napenda nielekeze maoni yangu kwa DC mpya wa Gairo, mdogo wangu Jabiri M. Omari na nimzindushe kwamba wana gairo walinyanyaswa sana na yule dada. Nimepata kuzungumza na baadhi ya wananchi wa Gairo wakanieleza hili, kwamba yule dada hakuwa mstaarabu na wala hakua na...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuliko kuajiri mfanyakazi wa ndani tuwe na utaratibu wa kuchukua watoto wa ndugu kwa nia ya kuwaendeleza

    Unakaa na mtoto kwa mkataba wa kumsomesha au kumuendeleza. Mnapanga muda wake wa kwenda shuleni au mafunzoni na muda wake wa kazi. Anaishi kama mtoto wa nyumbani, unamnunulia mahitaji yake madogo madogo. Sehemu kubwa ya mshahara unakwenda kulipia ada na Bima ya afya. Akihitimu mafunzo...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Badala ya baadhi ya viongozi kusimama kwenye nafasi zao, wamekalia kuwasema watu

    Kuna baadhi ya viongozi badala kusimama kwenye nafasi zao kufanya kazi wamekalia kuwasema watu ndio maana mnaleta uzembe mpaka watu wanapoteza mali zao. Rais amewaweka mmsaidie kufanya kazi na sio kuwasema watu. Hivi mkiwasema watu mnafaidika na nini. Fanyeni kazi acheni maneno, kila mmoja...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaendelea kushika kazi Afrika Kusini kufuatia kukamatwa kwa Jacob Zuma

    Mamia ya watu wamekamatwa nchini Afrika Kusini huku ghasia zikienea kufuatia kufungwa jela kwa rais wa zamani Jacob Zuma. Waandamanaji wanaomuunga mkono Zuma kwanza waliingia mitaani baada ya kiongozi huyo wa zamani (79) kujisalimisha kwa mamlaka Jumatano ili kuanza kifungo cha miezi 15...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Habari, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimemaliza Chuo mwaka 2020 , natafuta sehemu ya kufanya interniship ili niweze kupata uzoefu katika fani yangu. Nina ufaulu mzuri wa masomo yangu ya engineering (Nina upper second class GPA) na nina ufahamu wa juu kuhusu:- 1. PLC programming...
Back
Top Bottom