kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Tanzanite Digital Agency

    Jinsi Ya Kupata (win) Kazi on Upwork

    Lets keep it straight and simple, Upwork ni platform kwaajili ya professionals so, you have to be an expert in your skills na kama sio expert basi ujue how to source that skill properly. Points you should consider au ku-note kabla hujaapply kwa hizo kazi. 1) Apply to your skills related jobs...
  2. Zanzibar-ASP

    DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana

    Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...
  3. Greatest Of All Time

    BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

    Waislam duniani kote wanasubiria kuandama kwa mwezi ili kujua kama kesho ni sikukuu au laa. Kwasisi hapa Tanzania chombo kinachopaswa kutangaza sikukuu hiyo ni Bakwata. Ewe mwana jf kama utakuwa na taarifa zozote huko ulipo kwa waliopo Tanzania, tujuzane kama mwezi utakuwa umeonekana maeneo...
  4. B

    Wakili Peter Madeleka umekuwa lini msafi hadi umfundishe Rais kazi?

    Naandika hapa nikiwa na maumivu binafsi juu ya clip ya wakili Peter Madeleka. Sipingani na hoja alizotoa kwa sababu nyingi zina mashiko na mjadala aliouibua unatija kwa haki jinai Tanzania. Kilichonisukuma kuandika ni baada yakumsikiliza akitamka haki kwenye vyombo vya habari akijitapa kwamba...
  5. B

    Mwalimu Mishael Muze alikataa uteuzi wa Rais ili aendelee na kazi ya Ualimu

    Wengi wamekuwa wakiuliza kama kuna Mtanzania mwenye ujasiri wa kukataa uteuzi wa Rais. Ukweli ni kwamba wapo na imepata kutokea kwa Mwalimu Mishael Muze ambaye alikataa uteuzi wa kuwa mkurugenzi wa maendeleo na kuendelea na kazi yake ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwenge Mkoani Singida...
  6. N

    Kampuni yatangaza nafasi za kazi ya kulala mshahara milioni 3.2

    Kampuni moja nchini Marekani ambayo hutoa vidokezo vya usingizi imetangaza nafasi za kazi ya weledi wa usingizi. Kampuni ya Eachnight ilisema inawatafuta watu wa kujiunga na kikosi cha utafiti kama weledi wa kulala kubaini umuhimu wa usingizi na hasara yake. "Kwa sasa tunaajiri kikosi cha watu...
  7. M

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  8. HAZOLE

    Malimbikizo ya mshahara 2015-2019 kwa aliyeacha kazi

    Umofia Kwenu! Wakuu mimi niliacha kazi (resign) serikalini mwaka 2019. Nimesikia malimbikizo ya nyongeza ya mshahara yatatolewa kwa 2015 kuja 2021. Je, mimi nahusika hapo kujaza na kufuatilia pale zoezi litakapoanza? Naombeni ufafanuzi kwa wajuzi
  9. GENTAMYCINE

    Msichana wa Kazi wa Jirani yangu ana tabia hizi je, atakuwa anasumbuliwa na tatizo gani labda?

    Kitu chochote tu akikisikia ama kiwe hakichekeshi au kweli kinachekesha atatumia muda mrefu 'kuchekacheka' huku 'akirembua' Macho yake. Na hata akienda Kuchota Maji Bombani utaona akijifunua funua Nguo yake ( Dela ) huku akijiangalia Matiti yake na Makalio yake ambayo hata hivyo Mwenyezi Mungu...
  10. L

    Wimbi la kukimbia kazi Clouds FM

    Kazi iendelee. Inashangaza kusikia mtu kama B12 kuacha kazi Clouds FM, kweli binafsi nilishangaa sana maana ulisikia B12 Clouds inaclick kichwani, Diva Clouds, kuna kina Lilian Mwasha nasikia na Komando Kipensi Casto Dickson naye kaondoka au wameondoka sababu uvuli wa jasiri muongoza njia the...
  11. tutafikatu

    Viongozi Wizarani Wasikwapue Kazi za Uandishi Wafanyazo Watumishi Wadogo

    Kumekuwa na tabia ya kipindi kirefu sana, za viongozi waliopo katika Wizara mbalimbali kuwatumia watumishi waliopo katika taasisi zilizopo chini ya Wizara hizi, kutengeneza taarifa mbalimbali. Bahati mbaya sana, viongozi wa Wizara wakitengeneza machapisho kutokana na kazi hizi zilizofanywa na...
  12. Abdul Ghafur

    Mafundi Ujenzi, Carpenters, Plumbers wenye uzoefu wanahitajika haraka

    Mafundi ujenzi, plumbers, carpenters wenye uzoefu wanahitajika. Wawe wenye kuijua kazi zao na kuweza kusimamia wengine wasio na uzoefu. Wakiweza kufundisha itakuwa ni plus. Location yetu ni Misugusugu, Kibaha, Mkuranga Mkoa wa Pwani. Kazi zinaweza kuwa za kusafiri na kuhamahama. Kwa maelezo...
  13. K

    Ushauri BASATA wasanii wetu kazi zao ni za kimataifa sio Tanzania pekee

    Ushauri wangu kwa Basata ni huu kazi za wasanii sio za Tanzania pekee na hamuwezi kukaa vikao bila kuelewa hilo. Usanii ni biashara ambayo serikali inanufaika kwa ubunifu sasa cha ajabu ni watu kuwa katikati na kutaka kuwaeleza wabunifu etu wabuni vipi!. Dhana ya hiki chama ni kusaidia kusiwepo...
  14. B

    Kazi inapoendelea kila Rais anapohutubia Makamu na Waziri Mkuu nao wapo. Imekaaje hii?

    Mabibi na mabwana awamu hii ina maajabu yake. Imekuwa kila Mama Samia anapokuwa anahutubia hapa nchini, basi waheshimiwa: Mpango, Majaliwa na vigogo wa juu nao never miss. Haiyumkiniki vigogo hawa walipenda pia kuwapo Kampala na Nairobi. Hiiiiii bagosha! Wajameni, hizi gharama za...
  15. D

    Kamati ya Corona ifanye kazi kwa siri, kuepuka madalali

    Hawa jamaa chenga kabisa! Ndugu yako akiwa dalali basi kuwa nae makini sana. Kazi ya udalali ina mapepo. Wapo wadogo na wale wakubwa. Wanaweza kudalalia hata mambo ya hatari cha muhimu wamepewa ofa mezani. Nashauri ile kamati ya mheshimiwa rais kuhusu Corona ibaki siri/ ifanye kazi kwa...
  16. Mbaga Jr

    Nina Diploma in Film Production, natafuta kazi

    Inasikitisha sana wakuu
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ukweli uliofichwa makusudi

    UKWELI ULIOFICHWA MAKUSUDI Kuelimika siyo kufaulu kwa vyeti vya alama za juu, bali kuwa na uwezo wa kuhoji mambo na kuyaelezea katika upeo mwingine wa uelewa. Wakati nasoma moja ya shida nilikuwa napata ni kutopewa nafasi ya kuekezea mambo niyoaminishwa kwa namna nilivyokuwa nikiyaona mimi...
  18. ubongokid

    Je, wamachinga ni watu wavivu wasiopenda kazi?

    Sijui kama ni tafsiri sahihi ili kuna wanaosema wamachinga maana yake ni wazururaji,watembea hovyo. Je, kuna ukweli kwenye hili? Binafsi nafikiri kuna ukweli kwamba Wamchinga ni watu wavivu, ambao wanajificha mjini kufanya kazi ambazo hazina tija.Wamchinga wa zamani walikuwa wanabeba maduka yao...
Back
Top Bottom