Kamati ya Corona ifanye kazi kwa siri, kuepuka madalali

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,368
2,000
Hawa jamaa chenga kabisa!

Ndugu yako akiwa dalali basi kuwa nae makini sana.

Kazi ya udalali ina mapepo.

Wapo wadogo na wale wakubwa.

Wanaweza kudalalia hata mambo ya hatari cha muhimu wamepewa ofa mezani.

Nashauri ile kamati ya mheshimiwa rais kuhusu Corona ibaki siri/ ifanye kazi kwa siri.

Ikiwekwa wazi tu Makampuni ya chanjo hususani Astra Zenneca watawakamata ili waliponze taifa.

Muasisi wa kazi ya udalali ni LUCIFER.
 
TASK FORCE

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
2,481
2,000
Madalali wengi wanaishi Kwa dhuluma.

Mtu anauza kiwanja milioni 8.

Dalali anauza milion 20 anachukua milioni 12.

Ndo maana wengi wanaishi Kwa shida

Pesa wanapata baraka hawana
Udalali wa ivyo ushapitwa na wakati nadhani, yaani me Mali yangu niuze milion kumi na tano then wewe umpate mteja umwambie million thelasini, halafu unategemea Mimi eti niwe zuzu ela ikishaingia kwenye account yangu nitoe iko kiasi kilichodhidi nikupe,never ever,

Udalali wa kisasa ni dalali kuchukua asilimia kadhaa, au labda wale madalali ambao wapo kisheria kidogo huwezi kuwageuka
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,726

Wanaaazima hela wananunua kabisa
Halafu kesho yake wanauza Kwa mteja
 
Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
6,017
2,000
Hawa jamaa chenga kabisa!

Ndugu yako akiwa dalali basi kuwa nae makini sana.

Kazi ya udalali ina mapepo.

Wapo wadogo na wale wakubwa.

Wanaweza kudalalia hata mambo ya hatari cha muhimu wamepewa ofa mezani.

Nashauri ile kamati ya mheshimiwa rais kuhusu Corona ibaki siri/ ifanye Nazi kwa siri.

Ikiwekwa wazi tu Makampuni ya chanjo hususani Astra Zenneca watawakamata ili waliponze taifa.

Muasisi wa kazi ya udalali ni LUCIFER.
Lucifer ambae kamshauri Bill Gates aachane na MKE wake Melinda. Bill Gates na utajiri wake weshindwa na Lucifer
 
dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,368
2,000
Udalali wa ivyo ushapitwa na wakati nadhani, yaani me Mali yangu niuze milion kumi na tano then wewe umpate mteja umwambie million thelasini, halafu unategemea Mimi eti niwe zuzu ela ikishaingia kwenye account yangu nitoe iko kiasi kilichodhidi nikupe,never ever,

Udalali wa kisasa ni dalali kuchukua asilimia kadhaa, au labda wale madalali ambao wapo kisheria kidogo huwezi kuwageuka
Ndo mapepo
 
Mzeembuz

JF-Expert Member
May 10, 2015
207
500
Udalali wa ivyo ushapitwa na wakati nadhani, yaani me Mali yangu niuze milion kumi na tano then wewe umpate mteja umwambie million thelasini, halafu unategemea Mimi eti niwe zuzu ela ikishaingia kwenye account yangu nitoe iko kiasi kilichodhidi nikupe, never ever,

Udalali wa kisasa ni dalali kuchukua asilimia kadhaa, au labda wale madalali ambao wapo kisheria kidogo huwezi kuwageuka
Mkuu biashara ni makubaliano kama wewe mwenye mali ulikuwa unataka 15 baada ya Dalali kuja na Mteja wa 30 na biashara kufanyika unabid uchukue pesa mliyo kubaliana tofauti na hapo utakuwa umeingiwa na tamaa
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,907
2,000
Madalali wengi wanaishi Kwa dhuluma.

Mtu anauza kiwanja milioni 8.

Dalali anauza milion 20 anachukua milioni 12.

Ndo maana wengi wanaishi Kwa shida

Pesa wanapata baraka hawana
kuna jamaa alichomoa eneo alikuwa anauza m30 dalali kafanya yake m50
jamaa akamwambia dalali unakula m5 dalali akawa mbongo biashara ikaahirishwa
baadaye eneo likauzwa m47 bila dalali
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,907
2,000
Mkuu biashara ni makubaliano kama wewe mwenye mari ulikuwa unataka 15 baada ya Dalali kuja na Mteja wa 30 na biashara kufanyika unabid uchukue pesa mliyo kubaliana tofauti na hapo utakuwa umeingiwa na tamaa
hiyo ni biashara haramu unavuna usichopanda
 
TASK FORCE

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
2,481
2,000
Mkuu biashara ni makubaliano kama wewe mwenye mari ulikuwa unataka 15 baada ya Dalali kuja na Mteja wa 30 na biashara kufanyika unabid uchukue pesa mliyo kubaliana tofauti na hapo utakuwa umeingiwa na tamaa
Kwa hakika mimi lilinishinda ilo mkuu, kwenye hela uwa nakuwa simba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom