kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. N

    Natafuta kazi yoyote ndani ya Dar es Salaam

    Habari naitwa John Niko Dar natafuta kazi yoyote. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Kenya, ila kwasasa Niko likizo. Natafuta kazi yoyote. Kazi ya halali. Mawasilano yangu: +254781847643( WhatsApp) +255755938804 +255714540040
  2. A

    Ni wakati muafaka wa Kurekebisha Taasisi za TRA na PCCB kufanya kazi kwa Weledi

    Katika kipindi cha awamu ya tano kilichojibatiza na kujiita serikali ya "mwendazake" ampapo mzee wa Lupaso RIP Ben Mkapa alilikemea hilo bila kificho. 1. TRA waligeuka kuwa genge fulani la wahalifu kwa kupora pesa kwa wafanyabiashara kwa kuwabambikiza kodi za juu na za uongo ili kutengeneza...
  3. Mlenge

    Matrafiki Wanaongoza Magari Wakati Taa Zinafanya Kazi

    Matrafiki Wanaongoza Magari Wakati Taa Zinafanya Kazi Kwa wale wanaojiunga hivi punde na haya yanayojiri, ambao bado wanajiuliza kwani je vipi somo mbona trafiki kuongoza magari wakati taa za kuongozea magari zinafanya kazi? Hii hapa historia fupi. Miaka ileeee palizuka kelele nyingi kwa nini...
  4. H

    Msaada: Natafuta kibarua au kazi yeyote ile halali

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana wa kiume Elimu: Bachelor of science in mathematics and statistics. Ninatafuta kazi au kibarua chochote kile halali, hata kuwa msaidizi kwenye shughuli yeyote ile halali. Hata kazi za kuanzia jioni mpaka usiku sana nafanya. Ninaweza kufanya masuala yahusiyo...
  5. Mkaruka

    Prince Harry na Mkewe: Ni Kazi Kazi

    👇👇👇
  6. Corticopontine

    Rais Mwinyi yeye kazi tu, hakuna mibarakoa

    Baada ya kufanya ziara katika maeneo ya Kichwele na Salem Mkoa wa Kaskazini Unguja, nimeamua kubadili matumizi ya mashamba ya mpira kuyafanya kuwa maeneo ya viwanda kufuatia mashamba hayo kutotumika ipasavyo na kuleta tija kwa Taifa.
  7. Influenza

    Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

    Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amewasimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na Huduma za Biashara wa TANESCO, Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Nja. Ametaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini. == Waziri...
  8. The Palm Tree

    Tovuti ya Serikali ya 'Wananchi' hivi inafanya kazi kweli?

    Hii tovuti wananchi.go.tz inaendeshwa na iko chini ya Wizara ya habari, utamaduni na michezo. Lengo lake kubwa ni kwa kila mwananchi mwenye kero, malalamiko, maoni, ushauri, kutoa ripoti za uhalifu, rushwa nk kuandika kero au taarifa yake kwa maandishi na wao wizara wanaipokea na kisha...
  9. J

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

    Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi. Mengine tutakujulisha ukishafika. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
  10. Analogia Malenga

    UN: Vifo 745,000 vimetokona na kufanya kazi sana

    Utafiti wa Shirika la Afya duniani WHO, na la kazi duniani ILO unaonesha kufanya kazi kwa muda mwingi katika kipindi cha mwaka 2016, kumechangia vifo 745,000. Katika utafiti weao huo, mashirika WHO na ILO kwa pamoja yanakadiria watu 398,000 wamekufa kutokana na ugonjwa wa kiharusi na 347,000...
  11. Mohamed Said

    Nyumbani kwa Clement Mohamed mtamila ndipo ulipotoka uamuzi wa julius nyerere kuacha kazi ya ualimu

    HAPA NDIPO ILIPOJADILIWA BARUA YA JULIUS NYERERE KUCHAGUA SIASA AU UALIMU Hapo liliposimama jengo hilo ndipo ilipokuwa nyumba ya Clement Mohamed Mtamila katika miaka ya 1950 harakati za TANU kudai uhuru zilipopamba moto. Huu ni Mtaa wa Kipata (sasa Mtaa wa Kleist Sykes) na unaokatiza ni Mtaa...
  12. sinza pazuri

    Kama upo mtaani muda mrefu bila kazi, tatizo ni wewe!

    Siingiagi sana huku jukwaa la ajira lakini leo nimepitia post nyingi sana na nimesoma comments mbalimbali za watu. Nachotaka nikwambie tu wewe unaeangaika muda mrefu kutafuta kazi na hupati tatizo sio mtu mwingine yoyote tatizo ni wewe mwenyewe. Yes tatizo ni wewe, japo wengi hatupendi...
  13. Erythrocyte

    Mkoa wa Mbeya unahitaji RC Mwenye uzoefu , hawa Makada wa ccm mnaowaleta kuja kujifunza kazi hawana uwezo wa kubadili chochote

    Baada ya Amos Makalla aliyekuwa Katibu wa uchumi na fedha wa CCM Taifa kuteuliwa kuwa RC na kuletwa Mbeya kujifunza uongozi na baadaye kushindwa na kutimuliwa , akaletwa kada mwingine aliyeitwa Chalamila , huyu alitolewa kwenye ukatibu wa ccm Iringa , huku akiwa hajui lolote kuhusu uongozi zaidi...
  14. M

    Kama Slogan yako ni ya 'Kazi Iendelee' kwanini Wamachinga hawana imani nawe?

    Binafsi hivi majuzi tu tena nikiwa Sokoni nimekutana na Wamachinga na Wanyonge ( Masikini ) wakiwa wanasema hauna Upendo Kwao kama aliokuwa nao Mwendazake. Nilijitahidi kukutetea kwa Nguvu zote mpaka pale nilipoona naanza Kuzungukwa nao ( kuwekwa Mtu kati ) huku Nyuso zao zikiwa na Jazba na...
  15. Mowwo

    Ikiwa hatutumii asilimia 90 ya tunavyojifunza shuleni, kwanini tunajifunza?

    Kuna maana gani kama 90% ya tunavojifunza shuleni(msingi na sekondari) hatuvifanyii kazi? Elimu ni ufunguo wa maisha, nakubaliana kabisa na hii kauli. Lakini tuje kwenye uhalisia mwanafunzi wa shule ya msingi anasoma sii chini ya masomo 9 hadi anamaliza darasa la 7. Mwanafunzi wa sekondari...
  16. Fundi Madirisha

    CCM wenye GUBU mwacheni Mhe Rais afanye kazi yake.Dhihaka hazijengi, na atawapuuza.

    Salaam za Eid El Fitri! Ndugu zangu wanaccm hasa waliojawa na roho za chuki na Gubu nawaomba ujumbe huu uwafikie siku ya leo mpate kuelewa. Acheni dhihaka zenu za reja reja kwenye mamlaka inayotambuliwa na katiba ya jamuhuri wa muungano wa Tanzania, hizi Gubu,chuki na roho mbaya zenu ni kelele...
  17. S

    Tundu Lissu: Rais umekosea na umevunja sheria, Biswalo Mganga alistahili kufukuzwa kazi na si kupewa hadhi ya Jaji

    Ameandika hivi kupitia mtandao wa Twitter: Mh. Rais umekosea & umevunja sheria: DPP Biswalo Mganga alitesa watu wasio & hatia kwa mashtaka ya uongo ya uhujumu uchumi & utakatishaji fedha. Wengi wanaozea magerezani kwa sababu yake. Alistahili kufukuzwa kazi chini ya Sheria hii; sio kupewa hadhi...
  18. Dr Rutagwerera Sr

    Anahitajika mdada wa kazi Ruangwa, Lindi

    Habarini. Kama kuna yoyote ana mdada wa kazi anayemjua anatafuta kazi anicheki PM. Anahitajika kwenda kufanya kazi Ruangwa, Lindi. Muhitaji ni mwanamama mtu mzima mtumishi wa serikalini. Hana mtoto wala familia. Watakua ni wao pekee wawili.
  19. Idugunde

    Hata kama Sabaya akifutwa kazi hamuwezi kupata 'Politcal Gain'

    Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa CHADEMA ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi. CHADEMA inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa...
  20. Mystery

    Kusimamishwa kazi kwa Ole Sabaya, liwe somo kwa wale viongozi wanaopenda kutumia ubabe na kutotii sheria za nchi

    Miongoni ya habari ambazo zimepokelewa kwa shangwe kubwa hapa nchini, ni hii ya kusimamishwa kazi kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Ole Sabaya Kulikuwa na malalamiko mengi sana toka kwa wananchi, kwa kipindi kirefu kuwa huyu jamaa, anatumia ubabe, tena kwa kutumia vyombo vya dola...
Back
Top Bottom