kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. vnn

    JamiiForums Tanzania Kama hujaridhika na nyongeza ya mshahara, Acha kazi uende wanapolipa vizuri!

    Ifike hatua tuache kubembelezana, Serikali ilisema kabisa imeongeza mshahara ikiwemo kima cha chini kwa 23%, hamkuelewa nini? Hawa watu wa kima cha chini wa TGS A walikuwa wanapata hadi 280, 000/= Hawa ndio wamepewa 23% Sasa wewe una mshahara wa milioni na wewe unataka 23% unaumwa eti...
  2. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Je, ipo siku watumishi wa umma watasusia au kuacha kazi?

    Nafahamu tu: (a). Nyongeza ya mishahara ilisimama mpaka tulipomaliza ujenzi wa barabara nchini - walitulia kimyaa; (b). Kikokotoo kimepita - wao wametulia kimyaa; (c). Nyongeza ya mishahara kwa Julai hii haikuonekana benki - tena wako kimya. SASA JE HILI NI TABAKA LINALOJITAMBUA KWELI?
  3. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako heko kwa kazi unayofanya ya kuitisha mikutano ya kusikiliza kero za wastaafu

    Nimekuwa nikifuatilia utaratibu mzuri ulioanzishwa na Waziri, Profesa Joyce Ndalichako wa kusikiliza wastaafu alianza Dodoma na leo Dar es Salaam natumaini zoezi hili litafika ngazi ya wilaya ili kuweza kuwafikia wastaafu wengi ambao hawana mahali pa kusemea shida zao. Kongole sana Profesa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi na hujawahi kuona tajiri ndani ya Tanzania achana nayo haraka tafuta kazi nyingine

    Ni kweli kabisa sifa na utu wa mtu upo kwenye kufanya kazi, lakini si kweli kila kazi inalipa , kazi nyingine zinakupotezea muda tu. Kila kazi unayoifanya jitahidi sana kuifanyia tathimini inakupa nini kwenye maisha yako. Je, inakupa pesa inayoendana na kasi na mabadiliko ya maisha duniani na...
  5. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Ukisoma course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology inakupa opportunity ya kufanya kazi sehemu zipi?

    Jamani naomba kufahamishwa kwa anayeifahamu kwa ukaribu course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology.. mtu aliyesoma hii course ni kwamba anakuwa Sociologist na Economist kwa wakati mmoja? Naomba majibu tafadhari
  6. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Tunampenda sana msaidizi wetu wa kazi za ndani, anatulipa wema

    Mimi na wife ni watumishi, wife ni mwalimu na mimi ni afisa manunuzi wa taasisi fulani, tulipoanza maisha hatukuwa na msaidizi wa kazi, ila tulipo barikiwa kupata mtoto wakwanza tuliona kuna haja ya kuwa na binti wa kutusaidia kazi za nyumbani. Basi katika kutafuta tafuta siku moja nikaenda...
  7. Quince de Junio

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wa mimi member mpya

    Habarini za humu jukwaani ndugu zangu. Mimi ni member mpya humu ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu kidogo humu jukwaani. Hope mtanikaribisha kwa bashasha tele ndugu zangu wenyeji wa humu. Pamoja na hayo naomba niwajuze kuwa mimi ni msanii wa kizazi kipya ninayechipukia hivyo siku chache...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tumia pesa yako ndogo watu wakufanyie kazi

    Inawezekana una kaela kadogo; labda umepata kama mshahara, au kuuza kitu n.k, na ungependa pesa yako ikuzalishie na isipotee. Unaweza ukawekeza kwenye haya makundi:- Wauza mishikaki Wauza matunda Mama ntilie Utaanzaje anzaje:- Tembelea hayo makundi hapo juu Tathmini mauzo yao kwa siku Kwa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Bumbuli alitaka Kutuongopea Watanzania ila Shukran kwa Manara Kukiri na Kuonyesha Professionalism na kuwa amekomaa kwa Kazi

    Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli alitaka Kutudanganya na Kutuficha kuwa Yanga SC hawako katika Mzozo wa Kimkataba na Wakala wa Hoteli huko nchini Uturuki ambako Klabu ya Yanga ilikuwa waende kwa ajili ya Pre Season yao. Wakati 'Hopeless' Bumbuli akijitahidi kutaka kuleta Uswahili wake juu ya...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hatukuwahi kuwa na mchakato wa Katiba. Kikosi kazi cha nini sasa?

    Kama kuliundwa mpaka Bunge la Katiba na "Katiba pendekezwa" ikatolewa, leo Kikosi kazi kilichoundwa kinafanya kazi gani tena? CCM inajua sana kufuja fedha za Watanzania.
  11. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Ngongo anatarajiwa kufika mbele ya kikosi kazi wakati wowote kuanzia kesho

    Heshima sana, Mimi Ngongo Balozi wa kumi natarajia kufika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yangu kuhusu Katiba. Mosi,naunga mkono katiba mpya kwakuwa hii ya sasa imepitwa na wakati. Natarajia kuangazia mambo manne tu mengine nawaachia waTanzania wengine. Katiba lazima ipunguze...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dar: DC Gondwe ashindwa kuwalinda waliompa taarifa za Siri, wote waachishwa kazi

    Salaam Wakuu, Mkuu wa Wilaya Godwin Gondwe alipokuwa Mkuu wa Wilaya Temeke, kulikuwa na Mgogoro Hospitali ya Dar Group. Gondwe akaitembelea, na kuwaambia Wafanyakazi na Madaktari wafunguke matatizo yao kwamba atawalinda. Watu wakajiachia. Leo kahamishwa Wilaya kapewa Jokate. Wote walioongea...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Connection kazi za nje ya Afrika

    Habari ndugu zangu wa JamiiForums, am Mechanical Engineer by professional in oil and gas industries, niko natafatu connection za kazi za nje ya nchi hususani Canada, Belgium, France na Germany. Msaada kwa mwenye connection.
  14. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Samia Suluhu Hassan: Rais Magufuli anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo, Machi 15, 2021 Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salamu...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Lugha za mwili unazotakiwa kuziepuka wakati wa usaili wa kazi

    1. Epuka kuegemea ukuta au kupishanisha miguu 2. Epuka kukunja mikono yako kifuani; inaonyesha unajiamini kupita kiasi au dharau 3. Unapoulizwa maswali; daima angalia mbele, usiiname chini 4. Epuka kutafuna kitu chochote mdomoni au kung’ata kucha 5. Kama umekaa usiegemee sana kiti -...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Rais Zelensky awafuta kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu na Mkuu wa Idara ya Usalama

    Rais Volodymyr Zelenskyy ametoa amri za kuwafuta kazi, Mkuu wa Idara ya Usalama Ivan Bakanov, na Mwendesha Mashtaka Mkuu, Iryna Venediktova na kumteua Naibu wake Oleksiy Symonenko kama Mwendesha Mashtaka Mkuu mpya Amesema hatua hiyo kufuatia tuhuma za maafisa wao kushirikiana na Urusi, huku...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kozi ya architecture kwa ambaye hakusoma masomo ya Sayansi

    Habari zenu, Nina swali kuhusiana na kozi ya architecture hapa Tanzania. Kwa mwanafunzi ambae hajafanya combination ya science na anataka kusoma architecture, inawezekana? Mwanafunzi mwenye issue kama hii afanyeje? Asanteni
  18. L

    JamiiForums Tanzania “Fanya kazi halisi ili kutangulia mbele” - Rais Xi Jinping wa China

    Xi Jinping, Mwaka 1989 alipokuwa Katibu wa Kamati ya Chama ya Eneo la Ningde la Mkoa wa Fujian alishiriki kazi kijijini. “Maneno matupu yanaleta madhara kwa taifa, juhudi halisi zinastawisha taifa.” Siku 15 tu baada ya kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, Bw. Xi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania “Kufanikisha kazi si lazima niwepo” - Rais Xi Jinping wa China

    Mei 9, 2014, Xi Jinping alipofanya ukaguzi mkoani Henan, aliangalia hali ya ukuaji wa ngano kwenye mashamba ya Zhangshi Wilaya ya Weishi Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama, Bw. Xi Jinping alipotoa hotuba mara kwa mara alisisitiza nia yake kuhusu kusukuma mbele mageuzi...
  20. Giftitz

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Habari ndugu zangu naitwa John nipo Kibaha Natafuta kazi yeyote iwe ya kuuza duka aina yeyote kazi ya house boy nitafanya. Msaada wenu wakubwa😔
Back
Top Bottom