Kozi ya architecture kwa ambaye hakusoma masomo ya Sayansi

Kozi ya architecture kwa ambaye hakusoma masomo ya Sayansi

Joined
Jul 18, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu,

Nina swali kuhusiana na kozi ya architecture hapa Tanzania.

Kwa mwanafunzi ambae hajafanya combination ya science na anataka kusoma architecture, inawezekana?

Mwanafunzi mwenye issue kama hii afanyeje?

Asanteni
 
Back
Top Bottom