Profesa Ndalichako heko kwa kazi unayofanya ya kuitisha mikutano ya kusikiliza kero za wastaafu

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
Nimekuwa nikifuatilia utaratibu mzuri ulioanzishwa na Waziri, Profesa Joyce Ndalichako wa kusikiliza wastaafu alianza Dodoma na leo Dar es Salaam natumaini zoezi hili litafika ngazi ya wilaya ili kuweza kuwafikia wastaafu wengi ambao hawana mahali pa kusemea shida zao.

Kongole sana Profesa Ndalichako kwa kazi nzuri hii ya kufuatilia wastaafu.

---
Maelfu ya wastaafu Mkoani Dar es Salaam wajitokeza kwa wingi katika mkutano wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Profesa Joyce Ndalichako wa kuwasikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wastaafu.

Waziri Prifesa Ndalichako leo tarehe 22 Julai, 2022 alikutana na baadhi ya wastaafu wa Mkoa wa Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa kukutana na wastaafu kwenye mikoa mbalimbali nchini kwa lengo la kuwasikiliza na kutatua changamoto zao mbalimbali ambapo mkutano huo ulianza juzi Mkoani Dodoma.

"Tayari kama mnavyoona kazi imeanza tunawasikiliza na tunatatua changamoto na kama nilivyosema Wizara yangu pamoja na mambo mengine ina dhamana ya kusimamia wastaafu wanaolipwa mafao kupitia Mfuko wa NSSF na PSSSF," alisema.

Waziri Ndalichako alisema hayo leo wakati alipokutana na wastaafu zaidi ya 1, 000 wa Mkoa wa Dar es Salaam ambao wanahudumiwa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya NSSF na PSSSF.

Aidha alisema anatambua kuwa wapo wastaafu ambao wanalipwa mafao yao kupitia Hazina kuwa wakifika katika mkutano huo kuna fomu watapewa kwa ajili ya kuzijaza na baadaye fomu hizo zitawasilishwa Wizara ya Fedha na Mipango.

"Tunao uwezo wa kutatua changamoto moja kwa moja za wastaafu ambao wanalipwa kupitia Mfuko wa NSSF na PSSSF," alisema.

Waziri Profesa Ndalichako alisema anathamini mchango mkubwa uliotolewa na wazee katika ujenzi wa Taifa hivyo atahakikisha kwa kushirikiana na watendaji wa NSSF na PSSSF changamoto zao zinasikilizwa, kutatuliwa na kupatiwa ufumbuzi.

Alisema miongoni mwa changamoto za wastaafu aliokutana nao ni pamoja na mapunjo ya mafao na huku akisisitiza kuwa changamoto zote zitapatiwa ufumbuzi na kila mstaafu atapata huduma anayostahiki.

ndalichako.jpeg

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akiwasikiliza na kuwahudumia wastaafu waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wake wenye lengo la kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wastaafu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: MAELFU YA WASTAAFU WAJITOKEZA KUSIKILIZWA NA KUTATULIWA KERO ZAO NA WAZIRI NDALICHAKO
 
Kusikiliza kero ni jambo moja. Kutatua kero ni jambo lingine.
Huyu anasikiliza kero tu hakuna la ziada.
 
View attachment 2300055
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akiwasikiliza na kuwahudumia wastaafu waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wake wenye lengo la kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wastaafu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: MAELFU YA WASTAAFU WAJITOKEZA KUSIKILIZWA NA KUTATULIWA KERO ZAO NA WAZIRI NDALICHAKO

Profesa Ndalichako ni msanii Hana jipya. Aliharibu wizara ya Elimu kabisa. Huko kwa wastaafu Ndio Hakuna kitu​

Watu wamejuchokea mbaya Hawa wazee. Hawawezi pata mko wa kawaida kabisa.
Akitaka ashauri Serikali kujenga Nyumba za kuishi hawa wazee kila mkoa nadhani utakuwa msaada kwao. Vinginevyo hapa anawasanifu sura zao walivyochoka!!!
 
Baba na mama yako walipozeeka walikuwa yatima hawana makazi? Hiyo ni dharau, kati yao wapo wanaoweza kukuajiri, kukuvisha na kukulisha.
 
Aongee na wastaafu watarajiwa pia ikimpendeza ili wamshauri juu ya kikokotoo chefuchefu huenda akapeleka mswada bungeni wa kukifuta kabisa kwani ni wizi wa mchana kweupe!
 
Back
Top Bottom