kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Senzo aomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga, Akubaliwa ombi lake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kazi gani zitamfaa?

    Habarini! Hivi mtu akisoma shahada ya uchumi anaweza kufanya kazi wapi au kampuni zipi na je atajikita zaidi kwenye maeneo yapi?
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt Stergomena: Changamoto za wanajeshi zinaendelea Kufanyiwa Kazi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa changamoto za wanajeshi zinaendelea kufanyiwa kazi na Wizara kwa kushirikiana na Makao Makuu ya Jeshi. Waziri ameyabainisha haya wakati akiongea na Maafisa na Askari, alipofanya ziara ya kikazi ya...
  4. Timothy Sawe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maroboti yanakuja kutunyang'anya kazi

    Chanzo: Mwananchi, Tani 7,400 za mahindi zakosa soko (2014) Nilikuwa Kilombero, na kama masihara, gunia la mchele lilikuwa linamwagwa mbele ya uso wangu jalalani. Nisingeamini ningehadithiwa na mtu mwingine. Mazao mbalimbali yaliyokuwa yanaelekea masokoni yalitekelezwa pembezoni mwa barabara...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Karim Mandonga mtu kazi, kesho sio mbali

    Kwa tunaojua boxing hii ni kawaida stunts kama hizi. Ila kibongo-bongo Mandonga kazidi mikwara. Kama una roho ndogo unaweza usitokee ulingoni. Kesho sio mbali Mandonga Vs Kaoneka
  6. H

    JamiiForums Tanzania Zile taa kama balbu za rangi rangi kwenye malori kazi yake nini au faida yake?

    Wadau salama leko Kichwa kinaeleza hapo juu. Kuna malori baadhi yana taa za rangi rangi kama balbu za chumbani kuanzia mbele ya gari nyuma pembeni kushoto kulia juu chini ya gari kuna wengine wanaweka taa mpaka karibu na tairi kwenye yale madude kama makapeti yanayoning'inia karibu na...
  7. Mnyakyusa5000

    JamiiForums Tanzania SoC02 Acheni kutusimanga sisi wasomi wa Tanzania

    Sio kwa nia mbaya ila ni ukweli kuwa kwa miaka ya hivi karibuni imezuka kasumba ya kila mtu anayetaka hoja zake kuhusu maendeleo zisikilizwe basi lazima awaseme vibaya wasomi wa nchi (Tanzania) na kubeza kabisa mfumo wa elimu yetu. Kama wasomi hatukatai kukosolewa lakini kwa sasa watu...
  8. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Mtaani hali ngumu hata kazi za kujitolea hakuna wap tunaekea?

    Nimetoka ofisi moja asubuh kutafuta kazi ya kujitolea wameniambia hakuna imagine kazi ya kufanya bure hakuna vitu bei juu wap tunaelekea hali ni ngumu mno hela haina thaman kabisa soon tutaelewana .
  9. Saidama

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Mipango Miji wana kazi gani?

    Hawa jamaa bana ni miyeyusho yani sijui hata wanafanya vipi kazi. Ukiangalia kwa sasa kasi ya watu kujenga maeneo ya pembezoni mwa mji imekua kubwa lakini hawa jamaa siwaoni kabisa wakitimiza majukumu yao ya kupima viwanja kwa kasi ili watu wanapojenga, haya maeneo mapya angalau yawe na...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kama nitakuwa nmewakosea Mnisamehe lakini hili pia naomba lifanyiwe kazi kipindi hiki

    Wadau kama nitakuwa nimewagusa sehemu mbaya mnisamehe tu ... Tunapofanya sensa mwaka huu naomba tusiishie tu kuhesabu watu. Tuendelee mbele kidogo. Tuhesabu watu wenye utimamu wa akili. Unaweza ukawa unahesabu mayai ya kuku na kudhani atatotoa vifaranga kumi. Kumbe mayai mengine mengi tu...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini, Tanzania hadi sasa ina flyover mbili (2) tu zinazofanya kazi rasmi

    Maana kwanza nicheke, hivi hii nchi tunaambiwaga ina watu milion 60 ni kweli au ni nadharia? Yaani flyover 1 kwa watu milioni 30?! Hivi hii inaingia akilini kweli? Hebu tusubiri Sensa tuone, hadi majibu ya Sensa yatoke ndio ndio nitaamini
  12. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Tusio na kazi tunaitamani sana

    Nawasalimu wote JF. Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Kumekuwa na malalamiko ya nyongeza za mishahara kila pembe ya nchi na wengine wakitishia kususa kazi na wengine wanatishia kuacha kazi, ukweli msioujua sisi tusio na kazi tunatamani hata robo tu ya huo mshahara. Mimi hasa kwa upande...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Haji Manara arudie kazi yake ya udalali na kufundisha madrasa, maisha yatamuwia magumu

    Namshauri Haji Manara arudie kazi yake ya zamani ya kufundisha madrasa na udalali wa nyumba na magari. Muda si mrefu GSM atachoka kumlipa mshahara wa Bure.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma mna akili finyu, acheni kazi sisi tutazifanya kama mshahara hautoshi

    Wameongezewa mshahara ambao wanadai ni kidogo ila jinsi wanavyoleta taharuki utadhani kuna crisis kubwa kama vile Tanzania imepigwa bomu la nyuklia Hivi Hawa watu hawajui kuna watu wasomi zaidi yao wapo mtaani miaka zaidi ya 10 hawana ajira na wanatamani hata walipwe nusu ya huo mshahara...
  15. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kuacha kazi na kujiajiri. Tupatieni fao la kujitoa

    Kumekua na kauli za kubeza watumishi pindi tunapo lalakikia maslahi duni. Wanasiasa wengi na watu binafsi wanekua wakitamka kuwa asiyetaka au anaye ona mshahara haitoshi aache kazi. Ifahamike kuwa wapo watumishi ambao tuko tayari kuachia nafasi ili na wengine wapate Ajira ili sisi tukajiajiri...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona haya mashirika ya umma yakitangaza kazi

    Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa 1. NSSF 2. NHIF 3. PSSSF 4. TCRA 5. WCF 6. MSD 7. TPDC 8. TIC 9. NGORONGORO CONSERVATION...
  17. Lenin23

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni mpango kazi wa miaka 100-50

    Ati tujifunze Kwa Kiswahili masomo ya sekondari, icho Kiswahili chenyewe mnakijua? au mnataka kuzalisha kizazi cha lomolomo? Je, kwani tumesahau visa na Mikasa ya vijana wadogo maarufu kama panya road? Kwa idadi wapo wangapi au tunahitaji wangapi zaidi Ili kujua kua swala la ajira ni changamoto...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wizara ya Kilimo hizi hapa

    Mkuu SHOMBE la Kisomali, uwanja wako wa nyumbani huu sasa.ushindwe mwenyewe kujidai
  19. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti wa kazi za ndani

    Habari zenu jamani. Natafuta Binti wa kazi, Eneo ni Dar es salaam (Mbweni) ! Binti awe na uwezo wa kusoma na kuandika, umri kuanzia miaka 18. Kazi ni ya kuish hukuhuku na nyumba haina watoto. Mshahara maelewano. 0692917101 (call or whatsap tu)
  20. Vito Ferari

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Tecco.

    TECCO is an organization which provide loans to small and medium scale farmers and entreprenuers in Kondoa and Ruvuma regions. We are looking for loan officers at our branches( Kondoa and Ruvuma). Job Responsibilities: - Conduct members recruitment and screening. To orient clients to the...
Back
Top Bottom