muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,115
- 4,802
Ifike hatua tuache kubembelezana, Serikali ilisema kabisa imeongeza mshahara ikiwemo kima cha chini kwa 23%, hamkuelewa nini?
Hawa watu wa kima cha chini wa TGS A walikuwa wanapata hadi 280, 000/= Hawa ndio wamepewa 23%
Sasa wewe una mshahara wa milioni na wewe unataka 23% unaumwa eti?
Acheni dharau basi, kama huridhiki acha kazi uende wanapolipa vizuri kwani umelazimishwa?
Ifike hatua Serikali iache kubembeleza watu
Hujaridhika sepa